Mahakama Maalum ya Umoja wa Mataifa inayosikiliza mashtaka dhidi ya rais wa zamani wa Liberia, Charles Taylor imesema kiongozi huyo wa zamani ataendelea kutumikia kifungo chake nchini Uingereza, na si nchini Liberia kama alivyoomba hapo awali kutokana na kigezo cha usalama.
Kiongozi huyo wa...
Hii hapa chini ni statement ya Petra diamonds leo asubuhi kwenye soko la hisa London(LSE)
Petra Diamonds Limited
("Petra" or the "Company")
Statement regarding allegations of human rights abuses
at the Williamson Mine in Tanzania
Petra Diamonds Limited states that a UK-based law firm, Leigh...
England to limit gatherings to six amid coronavirus resurgence
At least 2,460 new infections were reported on Tuesday - a sharp rise from levels of around 1,000 per day in August.
September 9, 2020
Tough new lockdown restrictions on social gatherings across England are to be announced on...
4 September 2020
Video source : millard ayo
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imeihakikishia Uingereza pamoja na Jumuiya ya Kimataifa kuwa uchaguzi mkuu unaotegemewa kufanyika mwezi Oktoba mwaka 2020 utafanyika kwa...
Taarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma
Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu, akiwa pamoja na Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais, Mhe. Salum Mwalim Juma Mwalim, muda huu wanaelekea Ofisi za Tume ya...
basi
ccm
cuf
jaji
john
john magufuli
jpm
lissu
lisu
maamuzi
magufuli
maji
marekani
mtu
nchi
ofisi
rais
rais magufuli
sababu
tundu lissu
uchaguzi
uingereza
urais
video
wabunge
wote
Jameni ifahamike corona imebadilisha dunia na hatuishi kwa mazoea tena, hili linapaswa kuwa somo kwa majirani zetu wanaotulilia sana, hatuwachukii wala kuwadharau, ila ni mwendo wa tahadhari tu, tumeweka afya ya Wakenya kama kipaumbele.
Ufaransa wameapa kulipiza kisasi kwa Uingereza maana hao...
Itakuwa kosa kubwa sana kwa Wazanzibari kukubaliana na sera ya serikali tatu inayopigiwa chapua na ACT chini ya jemedali Maalim Seif.
Siku zote formula ya 1+1 = 3 ina manufaa makubwa na hasa kwa muungano wetu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania japo una changamoto zake, lakini changamoto siku...
Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Ziwa, Mhandisi Francis Mihayo amevitaka Vituo vya Utangazaji (Radio, Televisheni, Blogs na Online Tv) kuzingatia Kanuni mpya za Maudhui Mtandaoni 2020 na Kanuni Mpya za Redio na Televisheni 2020.
Mihayo ameyasema hayo wakati wa kikao kati...
Wakuu, Ninaombeni maelekezo kuhusu kufanya masters online kwa vyuo vya ulaya na marekani, Ni njia gani rahisi ya kufanya hivyo? Naomba msaada kwa mtu mwenye uzoefu na hayo mambo.
Ni chuo gani kilicho Bora na Cha uhakika?
Mafunzo yanapatikana kwa muda gani?
Ni majira gani ya kufanya...
Serikali ya uingereza inafikiria kuanza kuwataka wapelelezi wote wa kigeni(foreign spies) wanao ishi nchini humo kusajiliwa kwenye register ya wapelelezi wa kigeni.
Wapelelezi wote wanaishi kwa mwamvuli wa diplomasia au diplomatic missions kwenye balozi zote nchini humo wanatakiwa kusajiliwa...
Klabu ya Leeds United inatajwa kuwa na uhasimu mkubwa na vilabu vya Jiji la London vikiongozwa na Chelsea FC
Leeds United wamefanikiwa kurejea EPL baada ya kuinyuka 1-0 dhidi ya Barnsley katika Uwanja wa Elland Road
Washindani wao wa karibu West Bromwich Albion walipaswa kushinda dhidi ya...
Serikali ya Uingereza imetangaza kuwa kuanzia tarehe 31 Desemba mwaka huu, kununua vifaa vya teknolojia ya 5G kutapigwa marufuku, na vifaa vyote vya kampuni ya Huawei vya teknolojia ya 5G vitaondolewa nchini Uingereza kabla ya mwisho wa mwaka 2027. Hatua hii inaonyesha kuwa Uingereza imesujudu...
Nchi ya Uingereza imepiga marufuku kampuni ya Huawei kuweka mitambo ya 5G nchini humo.
Mwezi January Uingereza iliipa Huawei tenda ya kuweka mitambo ya kawaida au non core ya 5G.
Mwezi wa 5 Marekani iliiwekea vikwazo vipya kampuni ya Huawei vitakavyoiondolea kampuni hiyo uwezo wa kupata au...
The UK government has said it will no longer publish data on the daily number of individual people being tested for coronavirus, after five weeks of failing to release such statistics
Downing Street said the decision had been taken because figures only count people having their first Covid-19...
Serikali ya Uingereza inategemea kuiondoa Huawei kwenye mfumo wa 5G kabla ya mwaka huu kuisha.
Mwezi January mwaka huu serikali ya Bw. Boris Johnson iliipa huawei kandarasi ya kutengeneza mfumo wa 5G ndani ya Uingereza kwa baadhi ya sehemu, kwamba ingeshiriki kwa 35% kuunda mfumo wa 5G na...
Serikali ya Venezuela imefungua kesi ya madai nchini Uingereza kudai kiasi cha dhahabu yake yenye thamani ya dola bilioni 1 ilohifandhiwa katika benki kuu ya Uingereza.
Kesi hiyo itakayosikilizwa kwa siku nne mjini London itahusisha pande mbili ambapo ni wawakilishi wa serikali ya Venezuela na...
Wakati wa mechi kati ya Burnley na Manchester City, iliyochezwa Jumatatu, Juni 22 katika uwanja wa Etihad, kuna ujumbe uliosema “White Lives Matter” ulipitishwa uwanjani hapo kwa ndege
Ligi ya Uingereza ilionyesha kuunga mkono juhudi za watu wanaoendelea kupinga ubaguzi wa rangi unaoendelea...
Serikali ya Uingereza imesema kuwa dawa ya Dexamethasone itakayoanza kutumika mara moja kwa wagonjwa wa COVID 19 nchini humo ina uwezo wa kuokoa maisha ya waliopata maambukizi ya virusi hivyo.
Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson Jumanne Juni 16, amewashukuru wanasayansi wa Chuo Kikuu cha...
Waziri Mkuu wa Uingereza ameazimia kuivunja idara ya kimataifa ya misaada na maendeleo Department for International Development (DfID). Kwa kuona inatumia pesa bila ufanisi na Uingereza haifaidiki.
Na moja ya nchi iliyotajwa kufaidika zaidi ni Tanzania kuliko hata nchi za ulaya mashariki...
Baada ya Gazeti la Jamvi la Habari kuandika habari iliyodai Zitto alikutana na Balozi wa Uingereza nyumbani kwa Balozi huyo,kuna barua mitandaoni(twitter) inayodaiwa kuwa ni ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini akiwaandikia barua ACT-Wazalendo akitaka wajieleze.
Kulingana na barua hiyo,Msajili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.