Ubalozi wa Uingereza nchini Kenya umetuma ‘tweet’ kutoa taarifa kuhusu Kenya kutuma chakula nchini Uingereza ili kulinda ajira za wakenya walioko Uingereza
Serikali ya Kenya imepeleka tani 40 za matunda na mboga za majani Uingereza ili kufanya ‘supermarkets’ za Uingereza ziwe na vitu na wakenya...
Mwanamama Connie Titchen ana miaka 106, ameruhusiwa kutoka hospitali baada ya kupona #Covid19 iliyomkamata kwa wiki tatu
Wiki za hivi karibuni wazee wengi wameonekana kupona #Covid19, kuna mzee aliyepigana vita ya pili ya dunia, Alex Chamber mwenye miaka 100, amepona #CoronaVirus pia
Kuna...
Mary Agyapong (28) nesi aliyekuwa mjamzito, amefariki huku mwanae aokolewa. Japo mtoto bado hajapimwa kuthibitisha kama ana #Covid19 au la
Kutokana na hali mbaya ya afya yake alilazimika kufanyiwa upasuaji ili kumuokoa mtoto kwa kuwa hali ya Mary ilikuwa inazidi kuwa mbaya
Mary alikutwa na...
MIEZI miwili tangu Uingereza ilipotangaza rasmi kujitoa katika Umoja wa Ulaya (EU), tayari imeanza kuonja machungu ya kujitoa katika umoja huo, baada ya kukosa fursa ya kupata msaada wa kupambana na majanga katika kipindi hiki ambacho nchi hiyo imekubwa na janga la homa kali ya mapafu...
Gazeti la Evening Standard linaripoti kuwa wazir mkuu Boris Johnson amehamishiwa ICU baada ya hali yake kiafya kuzorota.
Prime Minister Boris Johnson has been moved to intensive care after his coronavirus symptoms worsened, Downing Street has confirmed.
Hili janga la Korona linazidi kuitikisa...
Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson amelazwa hospitalini ili kufanyiwa uchunguzi wa kimatibabu.
Katika taarifa kutoka kwa ofisi yake siku ya Jumapili, Aprili 5, kiongozi huyo bado anaonyesha dalili za virusi vya corona siku kumi baada ya kuthibitishwa kuwa na virusi hivyo.
Waziri Mkuu wa...
Kutoka na Hali mbaya ya Timu yetu sisi Watanzania katika Msimamo wa Ligi Kuu Uingeleza basi ninaombea sana Ligi hiyo Ifutwe ili kuinusuru Timu yetu sisi Watanzania tukiwakilishwa na Mwanetu Samatha Mbwana Timu ya Aston Villa.
Kwani Timu hii ikishuka Daraja watanzania tutakosa uwakilishi...
Prime Minister Boris Johnson has tested positive for coronavirus, Downing Street has said.
Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Waziri huyo amethibitisha kuwa na maambukizi huku akiwa na dalili za kawaida za #Covid_19
Amesema yupo karantini na ataendelea kuwa kiongozi wa Serikali katika kupambana...
Wanaojitenge kwa siku 14 ili wasieneze ugonjwa wanatakiwa kulipwa pesa kamili za mshahara. Serikali itawarudishia pesa hizo waajiri kutokana na kodi ili kuepusha biashara na uchuni kuanguaka.
On 17 March, the Chancellor announced an unprecedented package of government-backed and guaranteed...
Watanzania wote hatujui Kiingereza katika viwango vya 3.5-4 hii ni kutokana na kukaririshwa zaidi sarufi ya Kiingereza kuliko lugha yenyewe/mawasiliano.
Serikali inapaswa kugharamia waalimu wageni ambao watakuja kufundisha lugha ya kingereza kwa ufasaha ambapo watatumia mbinu za ufundishaji wa...
Habari ndiyo hiyo.
Wameafikiana kuwa michezo iliyobaki itakuwa ikichezwa kila hali inaporuhusu hadi pale yote itakapokamilika.
Hii ina maana kuwa bila kujali ligi itahitimishwa lini, majogoo wa pale Merseyside (Liverpool Football Club), watatawazwa kuwa machampioni wakishinda mechi 2 tu kati...
Tukiwaambia Corona saa hz ni tishio
Angalia Jana Ufaransa imezuia mashabiki wa PSG kwenda Uwanjani
Uingereza imetoa €30 billion kuzuia athari za kiuchumi
Angela Mekel amesema ugonjwa huu unaweza kuambukiza 75% ya watu usipozuiriwa
China itatoa $40 billioni kufidia athari za kiuchumi...
Amekutana na maofisa, wafanyakazi pamoja na Mkurugenzi wao.
Amefurahishwa sana na namna JF inavyowahudumia wateja wake.
Mungu ibariki JF
======
BALOZI WA UINGEREZA ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JAMIIFORUMS
Balozi wa Uingereza, Sarah Cooke leo Machi 06, 2020 ametembelea Makao Makuu ya JamiiForums...
ATCL ordered to pay Liberian company $40 Million
THURSDAY FEBRUARY 27 2020
By The Citizen Reporter.
Dar es Salaam. Air Tanzania (ATCL) has suffered a blow after a United Kingdom court ruled that it will have to pay a Liberian company $30.1 million (Sh69.23bn) in compensation for an aborted...
Ripoti mpya inasema kuwa zaidi ya nusu (61%) ya wanawake waliuawa na wanaume nchini Uingereza mwaka 2018 ambao walikua ni waume zao au waliokua waume zao.
Matokeo ya uchunguzi huo yametokana visa ambavyo vimeshtakiwa au wahusika wamepatikana na hatia.
Sensa ya mauaji ya wanawake, ilifanywa na...
Mzuqa wanajamvi,
Mvua kubwa na kali inayoendelea kunyesha nchini Uingereza inaiweka Timu ya Liverpool pabaya na njia panda kutokutwaa ubingwa wa EPL ambayo wameisubiri miaka 30.
Mvua iyo kubwa inayoambatana na radi inanyesha kila siku nchini uingereza na kusababisha maafa na uharibifu wa...
Aliyekuwa mwendeshaji wa kipindi maarufu Uingereza cha Love Island, Caroline Flack amejiua jana nyumbani kwake London.
Caroline alikuwa ni mwendeshaji wa kipindi hicho kwa miaka kadhaa mpaka mwisho mwa mwaka Jana ambapo alilazimika ku resign kutoka na tuhuma za kumpiga mpenzi wa kiume na taa ya...
Rais mstaafu mzee Kikwete amesema binadamu ili awexe kuishi ni lazima apambane na changamoto za kimaendeleo, ndio maana ana ubongo ili aweze kufikiri.
Mstaafu mzee Kikwete ameyasema hayo jijini Arusha alipokuwa anafungua mradi wa maji.
Kikwete amesema hata Marekani na Uingereza bado hadi leo...
Wanawake wa kiislamu wengi wanakuwa katika hatari ya kuuwawa inapotokea wakathibitika kuwa wameolewa bila kuwa na bikra.
Baadhi yao wamejiwekea utaratibu wa kuwafuata madaktari ili kuwarudishia bikra zao, tabaka la ngozi kwenye uke.
Kuna hatari ya kuwa kama utengenezaji wa bikra utazuiwa basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.