Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 12,417
- 30,926
Amin usiamini uingereza ndio taifa tata zaidi kuliko lolote lile duniani.
Hakuna Cha USA Wala Israel baba Yao mkuu Alie domant ni uk.
Uingereza ameamua to mkimya na mpole kwenye anga za kimataifa ila kila Jambo kubwa duniani anahusika nalo Yani Yuko behind it. Liwe baya au zuri.
Mfano
Industrial revolution niwao.
Slave trade abolition niwao.
Israel creation niwao.
USA creation niwao.
Brexit niwao.
Taiwan vs China wapo.
World war one walikuwepo.
World war tu niwao.
Kiufupi uk ndio baba wa dunia muoneni vilevile .
Nitaanza kuwaletea picha zangu binafsi nilizopiga Edinburgh Scotland na pale London ila nutaziedit kidogo sura au mnaonaje......!
Tofauti Kati ya England great Britain Ireland Scotland na Wales najua wengi mnaijua.
Nani anaepinga kwamba uingereza sio baba lao? Beberu kuu la mabeberu.
Superbug...!