Mwanamfalme Philip ambaye ni mume wa Malkia wa Uingereza, Elizabeth II kwa zaidi ya miongo 7 anasherehekea miaka yake 99 ya kuzaliwa, leo Juni 10
Philip 'The Duke of Edinburgh' atatumia muda wake katika nyumba ya Kifalme ya Windsor huko Magharibi mwa London ambapo yeye na Mkwe, Elizabeth (94)...
Bi Sarah Cooke anaeleza kusikitishwa na tukio la Mbowe kushambuliwa, aidha anavitaka vyombo vya usalama kuhakikisha kuwa wanasiasa wanatoa maoni yao kwa uhuru kuelekea uchaguzi mkuu.
''I am deeply concerned by the attack on Chadema Chairman Freeman Mbowe. All politicians in Tanzania must be...
Jumla ya watu 36 wamaekamatwa wakati wa maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi na ukatili wa Polisi uliofanyika na kusababisha kifo cha Mmarekani mweusi George Floyd.
Waandamanaji hao wamekamatwa kwa kufanya fujo, uharibifu na kuwashambulia polisi.
Taarifa iliyotolewa hivi karibuni imesema...
Video ikionyesha waandamaji wakiangusha sanamu ambayo imedumu toka karne ya 18.
Sanamu ya Edward Colston katika sehemu ambayo inajulika The centre, Bristol.
Wakiwa wanaitupa Bristol harbour.
Sanamu ya aliyekuwa mfanyabisha maarufu ya utumwa katika karne ya 17 imeangushwa na kutupwa...
Mmiliki wa shirika la ndege la Uingereza la British Airways anatafakari kuifungulia mashtaka serikali ya Uingereza kuhusiana na mpango wake wa karantini.
Afisa mkuu mtendaji wa shirika hilo, Willie Walsh amesema sheria hiyo mpya itahujumu hatua ya shirika hilo kuanza tena safari zake mwezi...
Timu zinazoshiriki ligi kuu ya Uingereza, sasa zitakuwa na uwezo wa kufanya mabadiliko ya wachezaji watano, badala ya watatu kama ilivyozoeleka katika mechi, mabadiliko ambayo yataenda hadi mwishoni mwa msimu, baada ya vilabu kuidhinisha sheria hizi mpya.
Katika sheria hizi mpya, timu pia...
Berry farm vacancies 2020
Thank you for showing an interest in working on one of our fruit farms this summer.
As a result of the business impact of COVID-19, we know many people are looking for work and we have numerous seasonal vacancies available on our farms up and down the country. From...
Shirika la ndege la viwango nafuu, London nchini Uingereza imepanga kupunguza wafanyakazi 4,500 na kupunguza huduma zake ili kufiti kwenye soko dogo lililopo kutokana na CoronaVirus. Kampuni hiyo imeajiri watu 15,000 katika nchi nchi nane ndani za Ulaya
CoronaVirus imeathiri kwa kiasi kikubwa...
Inafahamika kwamba taarifa kuhusu korona zinatolewa na Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.
Balozi za Uingereza na Marekani zinatoa vipeperushi na kusambaza dunia nzima kwamba Dar es Salaam na maeneo mengine nchini, corona imetapakaa na mahospitali yamezidiwa wagonjwa.
Kauli hizi zinaingilia...
Waziri wa mambo ya ndani wa Uingereza Priti Patel
Serikali nchini Uingeeza leo jioni inatarajia kutangaza kuwa abiria wote wa kimataifa ambao watatua kwenye viwanja vya ndege vya nchi hiyo watatakiwa kujiweka wenyewe karantini kwa gharama zao wenyewe.
Pia abiria hao watatakiwa kutoa taarifa...
Leo raia wapatao 200 wameondoka Tanzania kurudi Uingereza ikiwa ni kundi la mwisho la raia hao kuondoka.
======
UK repatriates 200 British nationals from Tanzania
Two hundred British nationals were on Wednesday, May 20, 2020 repatriated from Tanzania amid Covid-19 pandemic...
Mwanamuziki Robyn Rihanna Fenty (32) maarufu Rihanna kwa mara ya kwanza ameingia kwenye orodha ya Wanamuziki tajiri wanaoishi Uingereza na kushika nafasi ya 3. Amehamia London mwaka 2019
Rihanna ambaye pia ndiye Mwanamke wa kwanza kwa utajiri kwenye orodha hiyo ana utajiri wa takriban Tsh...
Coronavirus: Victoria ticket worker dies after being spat at
Ticket office worker Belly Mujinga died of coronavirus in April
A railway ticket office worker has...
Vifo vinavyotokana na CoronaVirus vya wagonjwa wanaouguziwa nyumbani inaongezeka kwa kasi kuliko wale wanaoguziwa hopitalini Ofisi ya Takwimu ya Uingereza yasema
Katika wiki iliyoisha Mei 1, vifo vya CoronaVirus viivyotokea katika nyumba binafsi vilikuwa ni 35.7% ya vifo vyote, na idadi hiyo...
1. Vyafikia 29,427
2. Ndiyo nchi yenye madhara makubwa Ulaya
Sky Eclat kuna nini mbona kunazidi kutisha? What is wrong there? pamoja na measures zote
=====
UK overtakes Italy to record highest coronavirus death toll anywhere in Europe
A member of the UK ambulance service wearing personal...
Idadi iliyokusanywa kutoka mahospitalini na kwenye nyumba za kulea wazee imefika 288 kwa siku. Hii ni idadi ndogo kutangazwa tangu mwezi March.
Waziri Mkuu Boris Johnson ametangaza hatua zitakazo chukuliwa kuitoa nchi kwenye lockdown..
The number of people who have died after testing...
The UK is at the moment of maximum risk in the coronavirus outbreak, Boris Johnson has said, as he urged people not to lose patience with the lockdown.
Speaking outside No 10 for the first time since recovering from the virus, Mr Johnson said "we are now beginning to turn the tide" on the...
Uingereza inaanza majaribio ya kutumia damu ya waliopona virusi vya corona kuwatibu wagonjwa walio na maambukizi hayo ambao wapo hospitali.
Taasisi ya damu na upandikizaji ya Uingereza inawataka watu waliopona homa ya mapafu, covid-19 kuchangia damu ili waweze kutathimini tiba hii iliyo kwenye...
Malkia Elizabeth II anatarajiwa kuadhimisha kumbukizi la kuzaliwa Aprili 21, ambapo atakuwa anatimiza miaka 94, mwaka huu hatofanya sherehe ya kumbukizi la kuzaliwa kwake kama ilivyozelewa
Malkia amefuta sherehe hizo kwa kusema haitakuwa sahihi kutokana na mlipuko wa #COVID19. Sherehe ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.