Ushauri: Nilikuwa na uhusiano na single mother, sasa kanizalia mtoto, je nimuoe awe mke wa pili?

44mg44

JF-Expert Member
Jun 16, 2019
2,135
2,139
Wadau kama heading inavyoeleza, mimi kuna kipindi nilikuwa na mahusiano na single mother kabla sijaoa, ambaye amefankiwa kunizalia mtoto.

Baadae kidogo nikaoa msichana mdogo ambaye ndo mke wangu wa maisha.

Nimekaa natafakari kuwa huyu single maza namwachaje? Je, nimuoe awe mke mdogo?

Nipo njia panda wadau, ushauri wenu ni muhimu sana.

Karibuni sana wadau.
 
Mbona haukuomba ushauri wakati unaenda kuoa huyo mke mwingine? Inaonekana unampenda huyo 'singo maza' ila umeenda kuoa mtu mwingine kwa mihemko tu na kufuata mkumbo. Hapa unataka uambiwe 'singo maza hafai' ili upate kisingizio cha kumkwepa!
 
Mnasababisha wanawake wadharaurike sababu ya mihemko yenu wajinga wachache, hapo unatengeneza picha gani mbele ebu chukulia tu iwe binti yako kafanyiwa hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mini alaumiwe mwanaume wakati mwanamke naye ni MTU mzima aliyeshiriki tendo huku akijua matokeo yake.

Inashangaza sana wanawake wanapotaka haki sawa na wanaume, but you can't have rights without responsibilities.

Women should stop the blame game and start being responsible for their actions.
 
Ushauri: muhudumie mtoto wako mahitaji yote(basic needs) na umuwezeshe huyo single maza kifedha ili mwanao aishi maisha bora
Nb:
siyo lazima umuoe, ww hakikisha unamuhudumia mtoto
 
Ahsanten kwa mawazo yenu!! bado nasubr mawaz mengne
 
Back
Top Bottom