Bernard bakari
JF-Expert Member
- Mar 30, 2016
- 407
- 781
Wanajopu tupeane uzoefu kidogo hapa je ni sehemu ipi nzuri kwa kumtoa out mwanamke mnapokuwa katika uhusiano wa mwanzo ili afurahi na aone umemtendea vyema.
Nikifikiria kwenda naye club nahisi atakuona kama mtu wa viwanja sana na ikampa wasiwasi juu yako kama yeye si mtu wa kwenda katika kumbi za miziki.
Nikisema uende naya bar nzuri labda mkakae tu hapo anaweza kukuona mlevi au mtu wa kushinda kwenye bar na kama si mpenzi wa kukaa bar unawwza kumwacha na maswali mengi sana
Sasa tupeane uzoefu na maarifa kidogo wanawake watatusaidia zaid wapi mnapenda kutolewa out siku za mwanzo za uhusiano kabla hamjazoeana ili tusiwakwaze.