Jina la "Kenya" na "Kenyatta" vina uhusiano gani?

Morning_star

JF-Expert Member
Apr 21, 2018
4,160
11,483
Kuna jina la kipande cha ardhi cha Africa mashariki kinaitwa "Kenya". Wakati huo huo kiongozi aliyekiletea Uhuru kipande hicho cha ardhi kutoka kwa wakoloni waingereza anaitwa " Kenyatta". Nini maana ya "Kenya" na "Kenyatta", kwa kiswahili?
 
Kuna jina la kipande cha ardhi cha Africa mashariki kinaitwa "Kenya". Wakati huo huo kiongozi aliyekiletea Uhuru kipande hicho cha ardhi kutoka kwa wakoloni waingereza anaitwa " Kenyatta". Nini maana ya "Kenya" na "Kenyatta", kwa kiswahili?

Angeweza kujibu comandoo Dedan Kimathi rafiki yake wa Kenyatta sasa aliishatangulia
 
Tupende kufanya research...

The Origin of the Name Kenya
In Akamba, the word kenia translates as glitter or shine. The mountain was called "the mountain that shines" by the Akamba due to the fact that it is perennially capped with snow despite the tropical climate of the Kenyan lowlands.



Born Kamau Wa Ngengi at Ng'enda village, Gatundu Division, Kiambu to Muigai and Wambui, Jomo Kenyatta served as the first Prime Minister (1963–1964) and President (1964–1978) of Kenya. His date of birth, sometime in the early to mid 1890s, is unclear. In 1914, he was baptized a Christian and given the name John Peter which he changed to Johnstone. He again later changed his name to Jomo in 1938. He adopted the name of Jomo Kenyatta taking his first name from the Kikuyu word for "burning spear" and his last name from the masai word for the bead belt that he often wore.
 
Nachojua Jomo Kenyatta sio jina lake la kuzaliwa.Huyu mzee alikuwa anabadili majina kila mara.Nadhan alibadili majina mara 4 au 3.By the time of his death alikuwa anajiita Jomo Kenyatta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njooo na maana iliyonyooka ya neno "Kenya" vs "Kenyatta" kwa lugha ya Kiswahili sio kunijia na copy&paste quotation zisizo na maana.
Kama hujui kusoma hilo sio tatizo langu nimekupa full reference hapo sasa kama unategemea mtu atakupa jibu kuliko maelezo yaliyopo kwenye written word..., kafukue makabuli ya waliokuwepo wakati huo.....
 
Back
Top Bottom