DC Charles Kabeho ana uhusiano wowote na marehemu Dr Charles Kabeho?

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,230
6,471
Halo JF siasa.
Mkimbiza mwenge Kitaifa 2018 Engineer Charles Kabeho ambaye sasa ni DC Chato, ana uhusiano wowote na waziri wa zamani wa Elimu, hayati Charles Kabeho?
 
Ni machenical engineer, sasa ukimuita tu Engineer unakosea sana.
Halo JF siasa.
Mkimbiza mwenge Kitaifa 2018 Engineer Charles Kabeho ambaye sasa ni DC Chato, ana uhusiano wowote na waziri wa zamani wa Elimu, hayati Charles Kabeho?
 
Halo JF siasa.

Mkimbiza mwenge kitaifa 2018, Engineer Charles Kabeho, ana uhusiano wowote na waziri wa zamani wa Elimu, hayati Dr Charles Kabeho?
Kwa sasa ni DC Chato.
 
Ni machenical engineer, sasa ukimuita tu Engineer unakosea sana.
Acha kupotosha watu. Sio mechanical engineer. Ni Civil Engineer na alikua anafanya kazi Serikalini Dar Es Salaam (sitotaja ofisi yake ya zamani mpaka ikinibidi).
 
Yupo sahihi. Ni Eng. Charles Kabeho. Haitakiwi ku_specify kuwa engineer wa aina gani. Ni sawa na madaktari, unapomtaja jina unatanguliza tu Dk. au Dr. bila kujali ni daktari wa aina gani.
Kula like zangu
 
Back
Top Bottom