Mahari na Tendo la Ndoa vina uhusiano gani?!

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
15,920
14,819
Money Penny me bado sijaelewa, kwani Mahari na Tendo la Ndoa vinaingiliana vipi?!

Money Penny: kwanini?!

Mdau: huyu bwana amenilipia mahari milion 8, lakini tangu tufunge ndoa NI kama ananilioiza mahari aliolipa

Money Penny: analipizaje sijaelewa

Mdau: huko kitandani ananifanya Kwa nguvu Sana kama ana hasira vile, sikuelewi, nikimwambia apunguze anasema sijaja kwenye ndoa kucheza hapa NI mechi mpaka mwisho

Money Penny: kabla hamjaoana mlikaa kwenye mahusiano Miaka mingap?!

Mdau: mmh hatujawahi kuwa kwenye mahusiano, ye aliniona akanipenda akaja moja Kwa moja Kwa Mzee akajitambulisha na mie sikuwa na MTU nikaona muda unaenda nikakubali, tukaoana ndani ya Miezi 2 na sasa NI mkewe Ila ananifanya Sana mpaka nashindwa kuelewa NI mahari anailipia au??

Jamani wadau JF mnamsaidiaje bintietu mdau??
 
Mjinga huyo dada angejaribisha kwanza kabla hajaingia kwenye ndoa
Na hiyo ingempa picha kama mziki anauweza au la
 
😂😂😂ko jamaa anatumia pesa yake, ila ajue Hilo shimo halikomolewi🤣🤣
Ndo shida ya kuoana bila kupitia uchumba...najiuliza wale Dada zetu wanaosema tusifanye Hadi ndoa ikitokea hii si balaa😅..
Yote kwa yote wakae amueleze tendo la ndoa cyo nguvu au kukomoana Bali ni upendo ulojaa hisia
 
Jamaa kanunua kifurushi cha milele..😂
Kama vipi amruhusu achepuke maana Kuna usemi usemao kizuri kula na nduguyo..😜
 
Back
Top Bottom