Kuna uhusiano gani kati ya wauza alkasusu na itikadi kali ya kidini?

Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
54,713
2,000
Sijawahi kuona mtu ambaye anauza alkasusu akiwa amevaa suti, au jezi, au mavazi mengine yoyote.

Wote huvaa ki Aswar Sunnah, suruali fupi na kanzu. Wanavaa sare.

Je, kuna uhusiano gani kati ya wauza alkasusu na itikadi kali za dini?

Je, hawa wauza alkasusu wanafanya biashara au kuna majukumu mengine ya kisiri wanayatekeleza?

Hebu tutafakari
 
AbouZakariya

JF-Expert Member
Mar 19, 2013
1,059
2,000
Weka facts zako Mkuu, maneno matupu hayavunji mfupa
Bujibuji nina miaka kadhaa tokea nijiunge na jamiiforum na kwa muda wote huo nimekuwa nikiona post zako na baadhi ya michango yako yaonyesha u mkongwe, lakini kwa hili inaonyesha ni kiasi gani unaporomoka ki uchunguzi uchambuzi na kimtazamo, hao uwaonao wengi wao kama si wote hawana tofauti na wauza kahawa, kuona wamevaa mavazi fulani hiyo si hukumu ya kwamba wao wanawezekana kuwa ni wafuasi wa kundi fulani, ukienda uganda kanzu ni vazi la kitamaduni la baganda, sijui na wao tuwahukumu vipi kwa kuvaa kanzu.
Tusihukumu kitabu kwa sura ya jalada lake.

Pia tambua Answar sunna ni taasisi iliyosajiliwa serikalini kisheria na si itikadi fulani kama walio wengi wanavyofikiri.
Tafakari kabla ya hatua.
 
Loyalist

JF-Expert Member
Aug 28, 2020
202
500
Hapa kuna fikirisha sana, mimi ni mzawa na mkazi wa hapa Dar, tangu nimeanza kuwaona wauza alkasus sijawahi ona wamevaa t-shirts na trousers au shirts and shorts tofauti na wauza kahawa na Tangawizi,

Wauza alkasus mara zote huwaona wamevaa kanzu na vilemba huku miguuni wamevaa makobanzi au sandals, wamebeba thermos na vikombe vyeupe vidogo vingi vya plastics,,,,

Kweli inafikirisha sana Bujibuji
 
Well said
 
Mr Dudumizi

Senior Member
Sep 9, 2020
115
250
Sijawahi kuona mtu ambaye anauza alkasusu akiwa amevaa suti, au jezi, au mavazi mengine yoyote.

Wote huvaa ki Aswar Sunnah, suruali fupi na kanzu. Wanavaa sare.

Je, kuna uhusiano gani kati ya wauza alkasusu na itikadi kali za dini?

Je, hawa wauza alkasusu wanafanya biashara au kuna majukumu mengine ya kisiri wanayatekeleza?

Hebu tutafakari
[/Q

Na mimi najiulizaga kuna uhusiano gani kati ya wamiliki mabasi ya kwenda mikoani na udini. Maana 90% ya mabasi ya mikoani hupenda kuweka nyimbo za kwaya kwenye mabasi yao, bila kujali kwamba mabasi hayo wanapanda watu wa dini tofauti. Hapo sijawataja waubiri wao wanaopandaga njiani kuhubiria watu ndan ya mabasi. Mleta mada una idea yoyote kuhusu nlichouliza?
 
Mr Dudumizi

Senior Member
Sep 9, 2020
115
250
Sijawahi kuona mtu ambaye anauza alkasusu akiwa amevaa suti, au jezi, au mavazi mengine yoyote.

Wote huvaa ki Aswar Sunnah, suruali fupi na kanzu. Wanavaa sare.

Je, kuna uhusiano gani kati ya wauza alkasusu na itikadi kali za dini?

Je, hawa wauza alkasusu wanafanya biashara au kuna majukumu mengine ya kisiri wanayatekeleza?

Hebu tutafakari
Na mimi huwa najiuliza kuna uhusiano gani kati ya wamiliki mabasi ya kwenda mikoani na udini. Maana 80% ya mabasi ya mikoani hupenda kuweka nyimbo za kwaya kwenye mabasi yao bila kujali kwamba mabasi hayo wanapanda watu wa dini tofauti. Hapo sijawataja waubiri wao wanaopandaga njiani kuhubiria watu ndan ya mabasi huku wakijua kwamba ndan ya mabasi hayo kuna abiria wa dini tofauti tofauti. Mleta mada una idea yoyote kuhusu hili swali ninalojiulizaga kila siku?
 
shirima Mathias

JF-Expert Member
Feb 9, 2017
336
1,000
Ni kama wakamua juice ya miwa,, wengi ni kutoka zenji

Ni kama wauza nyama idodomya

Ni kama wauza kahawa, idodomya

Ni kama wakata majani ya ngombe hapa mjini wasukuma

Ni kama waendesha mkokoteni hapa mjini, sambaa

Ni kama wenye pesa hapa mjini chagga

Ni kama omba omba hapa mjini gogo

Ni kama wafuga kuku hapa mjini, kurya

Ni kama wamachinga hapa mjini, chinga

Ni kama wachoma/ wakaanga mdudu hapa mjini

Ni kama wakwea minazi hapa mjini, zaramo

Mwisho: Hakuna mzaramo ambae ni MBUNGE hapa mjini
 
JFK wabongo

JF-Expert Member
Aug 11, 2015
3,870
2,000
Sijawahi kuona mtu ambaye anauza alkasusu akiwa amevaa suti, au jezi, au mavazi mengine yoyote.

Wote huvaa ki Aswar Sunnah, suruali fupi na kanzu. Wanavaa sare.

Je, kuna uhusiano gani kati ya wauza alkasusu na itikadi kali za dini?

Je, hawa wauza alkasusu wanafanya biashara au kuna majukumu mengine ya kisiri wanayatekeleza?

Hebu tutafakari
Ni kweli inatafakafisha. Hivi karibuni nimekuta wamachinga wanauza mazaga zaga yako branded kama Alshabaab. Nikajiuliza kwa nini mamlaka husika zinaruhusu brand kama hiyo hata kama haihusiani na kikundi cha kigaidi? Vipi mtalii anayeijua alshabaab akikutana na hiyo brand, ataamini ni brand tu au ataamini propaganda za kuwa Tanzania ndo supplier wa vijana wanajiunga huko? Nafikiri tunapaswa kuwa macho zaidi.
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
54,713
2,000
wa swahili wana TABIA ZA KUOA WAKE 4 so hivyo vitu lazima wavitumie sana.

MATUMIZI YA SUPU YA PWEZA KAHAWA NK ni vitu vya kawaida kwao.

NDOA NNE SI MCHEZO.
TANZANIA YA VIWANDA.
Kwa hiyo ukiwa na wake wanne ni lazima uwagegede wote daily?
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
54,713
2,000
Ni kweli inatafakafisha. Hivi karibuni nimekuta wamachinga wanauza mazaga zaga yako branded kama Alshabaab. Nikajiuliza kwa nini mamlaka husika zinaruhusu brand kama hiyo hata kama haihusiani na kikundi cha kigaidi? Vipi mtalii anayeijua alshabaab akikutana na hiyo brand, ataamini ni brand tu au ataamini propaganda za kuwa Tanzania ndo supplier wa vijana wanajiunga huko? Nafikiri tunapaswa kuwa macho zaidi.
Bill of lading hazisomwagi ndio maana tunaingiza matajataka ya ajabu nchini
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
54,713
2,000
Ni kama wakamua juice ya miwa,, wengi ni kutoka zenji

Ni kama wauza nyama idodomya

Ni kama wauza kahawa, idodomya

Ni kama wakata majani ya ngombe hapa mjini wasukuma

Ni kama waendesha mkokoteni hapa mjini, sambaa

Ni kama wenye pesa hapa mjini chagga

Ni kama omba omba hapa mjini gogo

Ni kama wafuga kuku hapa mjini, kurya

Ni kama wamachinga hapa mjini, chinga

Ni kama wachoma/ wakaanga mdudu hapa mjini

Ni kama wakwea minazi hapa mjini, zaramo

Mwisho: Hakuna mzaramo ambae ni MBUNGE hapa mjini
Kuna mkoa kila nyumba ina shoga na mganga
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom