uhuru

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Lupaso, Mtwara: Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa azikwa kwa Heshima

    Historia ya Benjamin Mkapa MFULULIZO WA MATUKIO MBALIMBALI YALIYOTOKEA WAKATI WA MSIBA NA MAZISHI YA HAYATI MZEE BENJAMINI WILLIAM MKAPA WANANCHI WASIMAMA BARABARANI KUAGA MWILI WA RAIS MKAPA Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, wameonekana wakisimama barabara kuonyesha heshima kwa...
  2. Kenyan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru Kenyatta: Wakenya hawapaswi kujilinganisha na mataifa yanayoficha taarifa za COVID-19

    Rais Uhuru Kenyatta amesema Wakenya hawatakiwi kujilinganisha na mataifa yasiyo uhuru wa habari na ambayo yamekuwa hayatangazi taarifa za CoronaVirus Amesema wananchi wanatakiwa kufurahia kuwa Serikali haifichi kitu chochote na imekuwa ikiwaambia wananchi ukweli kuhusu hali ya mlipuko huo...
  3. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Viongozi CHADEMA wazuiliwa kuingia Uwanja wa Uhuru kumuaga Mzee Mkapa. Waitaka Serikali itoe maelezo...

    Msafara wa Viongozi Wakuu wa CHADEMA, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe. Freeman Mbowe, wamezuiliwa kuingia Uwanja wa Uhuru walikokuwa wameenda kuhudhuria shughuli ya kutoa heshima za mwisho na kumuaga Rais Mstaafu wa Awamu Tatu, Hayati Benjamin William Mkapa. Mwenyekiti wa Chama...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya tasnia ya habari, uhuru wa kujieleza na dhana ya Haki za Binadamu

    Demokrasia dhidi ya uhuru wa kujieleza/vyombo vya Habari Demokrasia sahihi hutegemea uhuru wa vyombo vya habari vinavyoweza kusimamia maslahi ya jamii. Kimsingi, haki zinazohusiana na uhuru wa kutoa maoni na kujieleza bila ya kuingiliwa, kutafuta, kupokea, na kusambaza taarifa na mawazo ya aina...
  5. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania CHADEMA/ Tundu Lissu

    CHADEMA, Fanyeni upesi, mtuletee Tundu Lissu aje Kumjambisha huyu wa maendeleo ya vitu Kuliko watu. Lissu anafaa sana na ana vigevyo vyote. Pombe ikichacha humwagwa, nani wa kuimwaga basi, ni Lissu. Pombe ya bia haiwezi kujiona bora bila kupambanishwa na vileo vingine kama gongo, whiskey...
  6. beth

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Uhuru wa DRC: Mfalme Philippe wa Ubelgiji amtumia barua Rais Felix Tshisekedi na kuelezea majuto yake kutokana na utawala wao nchini humo

    Mfalme Philippe wa Ubelgiji ameeleza majuto yake kutokana na unyanyasaji uliofanywa na nchi yake wakati wa ukoloni Katika maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa DR Congo, Mfalme Philippe amesema hayo katika barua aliyoandika kwa Rais Felix Tshisekedi Ubelgiji ilikuwa Mtawala wa DR Congo kutoka...
  7. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Fight against COVID-19: Let's be fair towards the likes of Donald Trump, Uhuru Kenyatta, Cyril Ramaphosa, etc

    Don't get me wrong. Trump is not my cup of tea.....my opinion is that he could probably be the worst president the US has hitherto ever had (but that's the funeral for Americans, not me). It's a well documented fact that on a world scale, the US appears to be the most hit by the corona-virus...
  8. Influenza

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani nchini wasikitishwa na Uminyaji demokrasia na ukamataji wa Viongozi wa Upinzani nchini

  9. Cannabis

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya yarekodi ongezeko kubwa la matumizi kwa "burudani/sherehe" za Ofisi ya Rais, lengo la ukusanyaji kodi 2019/20 lashindwa kufikiwa

    Ofisi za Rais Uhuru Kenyatta na Makamu wa Rais William Ruto zilitumia KSh1.18 bilioni kwa sherehe na maadhimisho mbali mbali, katika miezi tisa iliyopita hadi Machi 2020; hii ikiwa ni ongezeko la Sh422 milioni kutoka kipindi kama hicho kilichopita mwaka jana. Kulingana na taarifa zilizotolewa...
  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Miradi iliyoachwa na Wakoloni kabla ya uhuru

    Ifuatayo ni miradi mikubwa iliyojengwa na wakoloni:- 1. Ujenzi wa Bandari ya DSM 2. Ujenzi wa Bandari ya Tanga 3. Ujenzi wa Bandari ya Mtwara 4. Ujenzi wa uwanja wa ndege wa DSM 5. Ujenzi wa uwanja wa Bandari ya Pemba 6. Ujenzi wa Ikulu ya DSM 7. Ujenzi wa Dsm College (Baadae ikaboreshwa na...
  11. Aizi Azma

    JamiiForums Tanzania Uhuru huu waliopewa bodaboda ni takrima?

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amenukuliwa akisema; - "Hakuna Bodaboda wala Bajaji itakayokamatwa eti kisa ameingia katikati ya Jiji, mtafanya kazi zenu kwa uhuru mipaka yote ya Dar es Salaam ni halali yenu, hata mkisema tunafanya tamasha la Bajaji na Bodaboda hapa Mnazi Mmoja tutafanya, kikubwa...
  12. WilsonKaisary

    JamiiForums Tanzania Nelson Mandela ni msaliti wa harakati za Uhuru wa Afrika Kusini na Afrika kiujumla?

    Kwa takribani miaka 27 Nelson Mandela (Tata/Madiba) amekuwa gerezani Hadi mwaka 1990 alipoachiwa. Hadi kufikia mwaka 1990 nchi zote za kiafrika zilikuwa zimepata Uhuru kutoka kwa wakoloni. Ikumbukwe Afrika Kusini ilipata Uhuru wake mnamo 1931, mwaka 1994 haukuwa mwaka wa kupata Uhuru kwa Afrika...
  13. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Suspects charged with posting CCTV footage of Uhuru, Raila freed on bail

    June 17, 2020 Nairobi, Kenya Ms Janet Magoma Ayonga, a CCTV controller contracted at the hotel and Mr Patrick Rading Ambogo, a security supervisor, who are suspected of leaking the video captured by the hotel’s CCTV cameras were Wednesday charged with unauthorised interception of computer data...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ashutumu kushambuliwa kwa Mbowe, ataka uhuru wa siasa

    Msiyemtaka kaja yule naibu waziri wa mambo ya nje wa USA anayeshughulika Africa bwana TiBOR ambaye profesa wa majalalani kipindi fulani alienda kubembeleza na kulilia msaada ka strike again, anataka uhuru wa kufanya kazi za kisiasa jambo amabalo ni gumu kwa CCM mpya maana uwanja ukiwekwa sawa...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Muswada wa Marekebisho Sheria-2020: Unajua watu hawataweza kudai haki kwa niaba ya Wanyonge? Viongozi wa juu Serikalini hawatashtakiwa moja kwa moja!

    Asasi za Kiraia 220 zimefanya uchambuzi wa muswada huo wa sheria na kuwasilisha mapendekezo ya mabadiliko ya muswada huo kwa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria. Taasisi hizo zimeeleza kuwa japo kuwa zinafahamu muswada huo una lengo wa kusasisha Sheria iliyopo sana huku ikibaki kuendana na...
  16. Zigi Rizla

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ban on gatherings, bars extended for 30 days as Kenya’s COVID-19 cases hit 2,600

    President Uhuru Kenyatta on Saturday announced that the total number of COVID-19 cases in Kenya rose to 2,600 after 126 more patients tested positive. President Kenyatta, addressing the nation at State House in Nairobi, said the fatalities had also increased to 83 after 4 patients died from the...
  17. simplemind

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru na maamuzi magumu

    Ukiingia kwangu vua viatu mlangoni, ndio taratibu hapa nyumbani.
  18. T

    JamiiForums Tanzania Mwanangu kanifundisha somo la Uraia kuhusu uhuru wa kisiasa

    Jana nilienda Shinyanga Mjini baada ya siku kama nane hivi tangu nitoke Dar kwenye msiba wa Ndugu yangu aliyefariki na corona - hata kama vipimo havikuonesha lakini dalili zote zilijitokeza. Jioni wakati naelekea stendi nipande gari za Maganzo nikaona ninunue magazeti. Magazeti yanayowahi...
  19. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru to Host World Presidents in Virtual Meeting on COVID-19

    State House on Wednesday, May 27 announced details of a virtual meeting of the Organization of African, Carribean and Pacific (ACP) States to be hosted by President Uhuru Kenyatta. Uhuru is slated to convene the summit on June 3, to discuss meaningful options for collaboration among countries...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo saili zilizoongoza kuwa na waombaji kazi(wasailiwa) wengi kwa nafasi chache tangu nchi hii ipate uhuru

    Sio ubishi tena, Janga la ajira ni changamoto kubwa sana kwa kizazi Cha Sasa . Tujikumbushe kidogo Tarehe 12/12/2014 ilikuwa ni siku ya usaili ya nafasi za kazi 50 tu zilizotangazwa na TRA takribani mwezi kabla ya tarehe ya usaili., baada ya kufanya short listing wakapatikana watu zaidi ya...
Back
Top Bottom