uhuru

  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, tunaweza kujenga Tanzania ya viwanda bila kutegemea mabeberu? Ukaribu beberu na 'next door' ni fimbo au biashara tu?

    Wanabodi, Wanabodi, Ijumaa ya leo nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa, leo nikiulizia kuhusu msimamo wa rais Magufuli kutosafiri nje hata kwa zile safari zenye maslahi makubwa kwa taifa, jee msimamo huo una Maslahi kwa Taifa? Bandiko hili ni la swali moja...
  2. Sherlock

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru to meet Trump at White House today

    President Uhuru Kenyatta and US President Donald Trump when they met in the Oval Office at the White House in Washington on August 27, 2018. [File, Reuters] President Uhuru Kenyatta will today meet US President Donald Trump hours after the latter was acquitted by the US Senate following a...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Netanyahu autaka ulimwengu kuipinga ICC

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameutolea wito ulimwengu kuchukua hatua dhidi Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kabla ya kesi ya uhalifu wa kivita inayoweza kufunguliwa dhidi ya Israel. Mwendesha mashtaka mkuu wa ICC Fatou Bensouda amesema mwezi uliopita kwamba kuna uwezekano wa...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapatano ya Raila Odinga na Uhuru Kenyatta yana maana gani ikiwa Miguna Miguna anazuiliwa kurudi Kenya ?

    Bado sijaelewa kwanini Mh Raila Odinga hataki kumsaidia Mwanasheria wake Miguna Miguna kurejea nchini Kenya ikiwa kama kweli wame "Shake hand" na Rais Uhuru Kenyatta, kwa maana ya kumaliza tofauti zao. Kuna nini nyuma ya pazia kuhusiana na sakata hili?
  5. aka2030

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vuta nikuvute ya Rais Uhuru Kenyatta, Ruto yafikia pabaya

    Kwa vipindi viwili Uhuru Kenyatta na William Ruto wamekuwa marafiki wa karibu na wamegombea pamoja na kushinda uongozi wa juu wa Kenya. Wakati Kenyatta amekuwa Rais, mwenzake amekuwa naibu Rais. Lakini urafiki wao unakwenda mrama. Na ndoa yao ya kisiasa inaelezwa kusambaratika. Wawili hao...
  6. Sinister

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru to be chief guest at inauguration of Guinea Bissau President-Elect Cissoko

    In Summary • Cissoko will be inaugurated on February 15. • The electoral body said the 47-year-old beat rival Domingos Simoes Pereira by about 54% to 46%. President Uhuru Kenyatta today at State House, Mombasa, met with Guinea Bissau President-Elect Umaro Cissoko Embalo. Also in...
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Afrika hatukua tayari kupata Uhuru miaka ya 50-60

    Miaka karibia 60 baada ya uhuru 50% ya raia hawana uhakika wa huduma za jamii. Kuna vijiji huko unasafiri siku mbili kabla hujafika kituo chako cha karibu cha polisi. Mtu akifariki kama ni kifo chenye mashaka inabidi maiti ikae siku mbili ndani kabla polisi hajafika. Elimu, Afya, Maji hali ya...
  8. Kafrican

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Is this true? Eti Rais Uhuru na Raila walimsaidia kichini chini Rais wa DRC kushinda urais

    Kenyatta, Odinga helped DR Congo's Tshisekedi win presidential poll Kenya's President Uhuru Kenyatta (left) welcomes the President of the Democratic Republic of the Congo Felix Tshisekedi at State House, Nairobi on February 6, 2019. PHOTO | PSCU Kenyan President Uhuru Kenyatta and opposition...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wa Kenya wengi ni watoto wa wapigania uhuru lakini Tanzania ni watoto wa wakulima, wafugaji na Chadema wafanyabiashara

    Nilikuwa nasoma historia za wanasiasa wa Kenya akina Mudavadi, Ruto, Kalonzo Musyoka, Raila na wengine wengi nimeona 95% ni watoto wa wapigania Uhuru. Yaani wana ile spirit ya siasa. Nikarudi hapa nyumbani kwa wakina Mwigulu, Mbowe, Tundu Lissu, Zitto, Nape, January na wengine wengi nimegundua...
  10. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Prof Issa Shivji: Kwanini tunasherehekea uhuru kwa vitisho vya majeshi badala ya matukio yaliyobeba ujumbe wa amani na umoja wetu?

    Amenena Prof mwenyewe wa ukweli. Mimi ni nani wa kumpinga mwalimu wangu? ===== Enyi WatuWema Mnijibu kwa dhati. Kwa nini Tusisherehekee Uhuru Kwa maua, michezo na marashi? Kwa nini Tusisherehekee Uhuru Kwa mikongamano, mikutano na mihadhara? Kwa nini Tunasherehekea Uhuru Kwa gwaride, vifaru...
  11. MsemajiUkweli

    JamiiForums Tanzania Msahama wa wafungwa kwenye sherehe ya uhuru hauhusu wa jinsia ya kike?

    Nimejaribu kuangalia majina na video za wafungwa katika baadhi ya magereza nchini waliopata msamaha wa Rais Magufuli katika sherehe za Uhuru wa Tanganyika lakini kitu kinachonifanya nishangae ni kukosekana kwa wafungwa wa kike! Je, Tanzania hakuna wafungwa wa kike? Kama wapo, kwa nini...
  12. G Sam

    JamiiForums Tanzania Kwanini Zanzibar wanaadhimisha mapinduzi badala ya uhuru walioupata tarehe kama ya leo miaka 56 iliyopita?

    Kiini macho na kihoja kuliko vyote ndani ya nchi ya Zanzibar ni kuwa miaka 56 iliyopita tarehe kama ya leo walipata uhuru wao kutoka kwa mkoloni Muingereza. Sijui ni kutokana na mila walizowekewa na yule anayeandaliwa kuwa mwenye heri ila hawajawahi kuadhimisha siku hii. Mwezi mmoja baadaye ASP...
  13. Ritz

    JamiiForums Tanzania Wasomi wa Tanzania wametoa mchango gani kwenye Taifa letu mpaka sasa?

    Wanabodi. Kila siku najiuliza sipati jibu sahihi kuhusu wasomi wetu wa Tanzania.. Kwa mujibu wa data za World Bank na IMF Tanzania ipo kwenye kundi la nchi 20 maskini wa kutupwa duniani. Baadhi ya nchi zimekuwa masikini kutokana kuwa na vita vya muda mrefu vya wenyewe kwa wenyewe kama vile...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Bavicha yatikisa, Shamsa Ford alipua shangwe, asema wazi kwamba vijana wanaopenda maendeleo wako Chadema

    Habari kamili hii hapa.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Rais leta maridhiano ya Kitaifa, sisi CHADEMA tuko tayari

    Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amemtaka Rais Magufuli kuleta maridhiano ya kitaifa na kwamba yeye na chama chake wamenyoosha mkono wa mapatano. Ifuatayo ni Hotuba Fupi ya Kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Tanzania Freeman Aikael Mbowe mbele ya Watanzania katika kuadhimisha miaka 58 ya...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kilichozuia kufanyika kwa Sherehe za Uhuru wa Tanganyika kwa miaka mitatu iliyopita kimekwisha ?

    Nchi yeyote inayothamini Uhuru wake huadhimisha siku iliyopata Uhuru huo kutoka kwa wakoloni weupe au weusi kwa shangwe kuu iliyotukuka , hii ni siku ambayo nchi husika husherehekea minyororo ya utumwa kukatwa , nchi zilizopambana kupata uhuru huo kwa vita , huwakumbuka mashujaa wao waliokufa...
  17. Ndama dume

    JamiiForums Tanzania Uhuru upo kweli?

    Waliohuru huwa na sura hivi? Huku ndio kuwepo Kaanani au tupo Misri bado?
  18. Zitto

    JamiiForums Tanzania Miaka 58 ya Uhuru wa Tanganyika: Uhuru una maana gani leo?

    Zitto Kabwe Tarehe 9 Desemba 1961 Tanganyika iliingia katika Jumuiya ya Mataifa huru duniani baada ya kupata Uhuru wake kutoka Himaya ya Uingereza. Muda mfupi baadaye Tanganyika ikawa mwanachama wa Umoja wa Mataifa. Safari ya kwanza ya nje ya Nchi ya Mwalimu Julius Nyerere kama Mkuu wa Serikali...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Maswahiba wakubwa Uhuru na Ruto sasa hawaivi tena Chungu Kimoja Je, John na Paulo nao watakuja Kudumu?

    Katika hali ya Kushangaza kabisa na hakuna anayeamini ni kwamba hivi sasa Watu wawili ambao walikuwa ni Marafiki wakubwa mno kiasi kwamba wamefanya ‘ Dhambi ‘ nyingi nchini Kenya ambazo zitawahukumu hadi wakiwa Makaburini na wameshaambiana Siri zao nyingi Rais Uhuru Kenyatta na Makamu wake...
  20. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika, na nafasi ya Kanisa Katoliki

    Maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika yanaweza kutupa sura mpya tusiokuwa tukiifahamu sote, Pengine ni kwa mara ya kwanza Kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi ndio kinaeleza uhusika kikamilifu wa Kanisa katoliki duniani katika uhuru wa Bara la Afrika na hasa Tanganyika chini ya shirika nguli la...
Back
Top Bottom