uhuru

  1. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Atwoli: DP Ruto should behave towards Uhuru like VP of Tanzania does towards JPM

  2. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Huenda Tanzania ya sasa chini ya Rais Magufuli ikawa imepata Waziri bora wa Elimu Ndalichako tokea Uhuru wake

    Yaani Watoto wamekaa karibia Miezi Mitatu bila Masomo, huku wengi Wao wakiwa tayari wameshaathirika Kisaikolojia kulingana na Hofu iliyokuwepo na bila shaka wengine hata Topiki zao hawakumaliza anatokea Mtanzania Mmoja anasema watafanya Mtihani yao Wiki chache zijazo. Hivi hawa Watoto...
  3. mimitungi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru, Je huyaoni haya

    Wafikirie wananchi wako ndugu, hali ni mbaya sana.
  4. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Uhuru Kenyatta: Ungetatua kwanza mgogoro na Wananchi wako si Tanzania

    Ndugu yangu Uhuru aka Kamwana, Kuna mambo umeyafanya ambayo yameleta ghadhabu wa wakenya sasa unataka kutupia lawama mataifa jirani kama ambavyo Trump anavyolaumu China kwa matatizo yake ya ndani. Ushauri wangu tulia jifunze kutatua matatizo wa wanakenya kwa kutumia mikakati ya kimagharibi...
  5. pingli-nywee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru Kenyatta atoa amri ya kufungwa kwa boda ya Kenya-Tanzania na Kenya-Somalia kwa siku thelathini

    Huu ndio muendelezo wa mapigo ya kuipuuza kuibeza na kuiita Corona kaugonjwa kadogo. Sasa hasara itatuandama sisi sote, wakenya kwa watanzania, baada ya rais Kenyatta kufunga boda kati ya Kenya na Tanzania na pia Kenya-Somalia. Amri ambayo itadumu kwa siku thelathini zijazo. Sio jambo njema...
  6. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Gazeti la chama UHURU, mnatufadhaisha uhariri wasomaji wenu!

    Gazeti la leo 06/05/2020, UHURU pg 4. **** picha ya Oscar Kambona akipata shave tarehe 24 June mwaka 1667 !!!!! Uhariri ndani ya gazeti letu pendwa uko mashakani. Mhariri umeshindwa ku capture makosa haya?
  7. Influenza

    JamiiForums Tanzania Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari: Uandishi wa Habari bila Hofu au Upendeleo

    Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari maarufu kama Siku ya Waandishi wa Habari Duniani ni ni moja ya matukio yaliyopanga, kusimamiwa na kuhamasishwa na Umoja wa Maifa likiwa linaadhimishwa kila mwaka Mei 03 Siku hii inaadhimishwa kuongeza uhamasishaji kuhusu umuhimu wa uhuru wa waandishi wa...
  8. SueIsmael

    JamiiForums Tanzania Kongole kwa Wanahabari wote tukiadhimisha Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari

    Nawatakia wanahabari wote, ikiwemo timu nzima ya Jamii Forums, maadhimisho mema ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari. Hii ni tasnia ngumu sana na inahitaji ujasiri wa hali ya juu. Ukipewa jukumu la kutetea ukweli, ni rahisi kutengeneza maadui wengi, hata wale wanaokolewa na ukweli huo. Tuzidi...
  9. President of China

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Here are 9 most popular Tanzanian wines that Kenyan President Uhuru Kenyatta can't get enough of

    Here are 9 most popular Tanzanian wines that Kenyan President Uhuru Kenyatta can't get enough of 35-44 minutes Grapevines were first introduced to Tanzania’s central zone in 1938 by missionaries from the Hombolo Catholic Mission. In 1979, the government established the Dodoma Wine Company...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe yaadhimisha miaka 40 ya uhuru

    Imetimia miaka 40 leo (18.04.2020) tangu bendera ya Uingereza iliposhushwa nchini Zimbabwe, na ya taifa jipya huru ikapandishwa kuashiria uhuru wa nchi hiyo, miongoni mwa chache zilizokuwa zikibakia chini ya ukoloni. Miongo minne tangu siku hiyo ya uhuru, Wazimbabwe wengi wanasema...
  11. joto la jiwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Kenyatta atangaza visa 16 vipya vya Corona, idadi sasa yafika 158 na vifo 6. Afunga Kaunti za Nairobi, Kilifi, Kwale na Mombasa

    Leo tena Kenya imeripoti visa vipya 16 vya maambukizi ya Corona, huku Rais Uhuru Kenyatta akikumbuka shuka wakati kumekucha, ameagiza wakenya wote kuvaa barakoa wakiwa nje za nyumba zao. Jambo ni jambo la kupongezwa kwa kuanza kuchukua hatua za dhati za kukabiliana na tatizo la kuenea kwa...
  12. Azizi Mussa

    JamiiForums Tanzania Mjadala mpana kuhusu 'madai' ya tume huru ya uchaguzi

    Wakuu, Mjadala huu unawahusu wale ambao 'in a serious note' wanafikiri Tanzania tunahitaji 'tume huru' ya uchaguzi tofauti na hii tuliyo nayo. Kama wewe ni miongoni mwao, fuatilia mjadala huu kwa karibu, utakujengea uelewa ambao haukuwa nao hapo kabla.Kama pia wewe unadhani ndio unatakiwa...
  13. Mr Big

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Namna mkenya alivyompa makavu Uhuru Kenyatta na timu yake kuhusu Corona

    Nadhan Taifa lolote linahitaji watu kama hawa wanaoweza kusema na kuwaambia ukwel pale viongozi wa juu wanapofanya makosa, bila hiana wala uoga. Huyu jamaa ukimwangalia alichokizungumza ni facts, Plz watch out!
  14. Hero

    JamiiForums Tanzania GE2020 Eti ‘tunataka Tume huru’ wakati chaguzi za vyama vyenu hazina huo uhuru, wanafiki wakubwa!

    Katika kutafakari juu ya agenda ya vyama pinzani hapa Tanzania tunapoelekea Uchaguzi, nimewaza na kawazua bila kupata majibu juu ya yale yanayojiri kwenye vyama vyenyewe na kile wanachojaribu kushinikiza kifanyike! Katika yote vifanyavyo hivi vyama vinajaribu kuhadaa watz kama mtakavyoona...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Bravo Rais Magufuli, umedhihirisha uhuru wa Mahakama nchini

    Kitendo cha Mheshimiwa RAIS kumlipia faini Mchungaji Msigwa ili atoke gerezani, kimedhihirisha Uhuru wa mahakama nchini Tanzania. Mheshimiwa Rais ambaye ndiye humteua mwendesha Mashtaka(DPP), Majaji na kuwaapisha mawakili angeweza tu kuagiza Mchungaji Msigwa a) Afutiwe mashtaka au b) Aachiwe...
  16. beth

    JamiiForums Tanzania Ghana yasherekea miaka 63 ya Uhuru

    Raia wa Ghana, leo wanasherehekea miaka 63 ya uhuru wa Taifa hilo. Ghana itawaliwa na Uingereza na kupata uhuru wake Machi Sita mwaka 1957, chini ya Mwanasiasa mashuhuri na mwanamapinduzi wa Taifa hilo Kwame Nkurumah. Nkurumah ndiye alikua Waziri Mkuu wa kwanza wa Ghana baada ya uhuru na...
  17. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Wakishakulipa, wanakupangia cha kufanya, na hapo ndipo unapoteza uhuru wako

    Rafiki yangu mpendwa, leo tunakwenda kuuongelea uhuru kwa mapana yake, kwa namna ambayo hujawahi kuuangalia ili wewe mwenyewe uone ni jinsi gani umekuwa unachagua kupoteza uhuru wako. Kuna mambo unafanya, ambayo unaona ni ya kawaida kabisa lakini ndiyo yanakunyima uhuru wako. Kabla hatujaingia...
  18. mjusilizard

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la Mshahara na Uhuru wa Uchumi

    Hongera kwa kuongezewa mshahara! Unadhani sasa ni muda wa kuongeza simu mpya, gari ama nguo mpya? HAPANA! Usifanye hivyo aisee, jitahidi uendelee kuishi kama ulivyokuwa hujaongezewa na helauliyoongezewa itunze yote 100% baada ya miezi 12 hivi au zaiid. Uhuru wa kiuchumi unakuja namna hii...
  19. G Sam

    JamiiForums Tanzania DPP wa Tanzania amepora uhuru wa mahakama, Mahakama nayo imeridhia

    DPP wa Tanzania amepora uhuru wa mahakama, mahakama nayo imeridhia. Ni jambo la aibu kuwa DPP anamkamata mtu anamfungulia mashtaka yasiyo na dhamana kisha kila mshtakiwa akipelekwa mahakamani DPP anaiambia mahakama kuwa upelelezi haujakamilika. Aibu yako kubwa wewe DPP usiye hata na chembe ya...
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Harusi ya Rais Uhuru na Margaret Kenyatta

    Ilikua mwaka 1991
Back
Top Bottom