Miaka 60 ya Uhuru wa DRC: Mfalme Philippe wa Ubelgiji amtumia barua Rais Felix Tshisekedi na kuelezea majuto yake kutokana na utawala wao nchini humo

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
2,133
2,000
1593514252953.png


Mfalme Philippe wa Ubelgiji ameeleza majuto yake kutokana na unyanyasaji uliofanywa na nchi yake wakati wa ukoloni

Katika maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa DR Congo, Mfalme Philippe amesema hayo katika barua aliyoandika kwa Rais Felix Tshisekedi

Ubelgiji ilikuwa Mtawala wa DR Congo kutoka karne ya 19 mpaka pale nchi hiyo ilipopata uhuru wake mwaka 1960. Takriban watu Milioni 10 waliuawa wakati wa Utawala wa Mfalme Leopold II

Hivi karibuni, waandamanaji wanaopinga ubaguzi wa rangi waliondoa sanamu ya Mfalme Leopald II iliyokuwepo Mjini Antwerp nchini Ubelgiji
Belgium's King Philippe has expressed his "deepest regrets" to the Democratic Republic of Congo for his country's colonial abuses.

===
The reigning monarch made the comments in a letter to President Felix Tshisekedi on the 60th anniversary of DR Congo's independence.

Belgium controlled the Central African country from the 19th Century until it won its independence in 1960.

Millions of Africans died during Belgium's bloody colonial rule.

There is a renewed focus on the European nation's history after the death of George Floyd in police custody in the US and the Black Lives Matter protests that followed.

Thousands of Belgians have demonstrated in recent weeks and statues of Belgium's colonial leader King Leopold II have been vandalised. Authorities in Antwerp have removed a statue of him from a public square.

More than 10 million Africans are thought to have died during his reign. King Philippe is a direct descendant of the 19th Century ruler.

What did King Philippe say?
This is the first time a Belgian monarch has formally expressed remorse for what happened during the country's colonial rule. The remarks, however, fell short of an outright apology.

In a letter sent to President Tshisekedi and published in Belgian media, King Philippe praises the "privileged partnership" between the two nations now.

But he says there have been "painful episodes" in their history, including during the reign of King Leopold II - who he does not directly name - and in the 20th Century.

"I would like to express my deepest regrets for these injuries of the past, the pain of which is now revived by the discrimination still too present in our societies," King Philippe wrote.

"I will continue to fight all forms of racism. I encourage the reflection that has been initiated by our parliament so that our memory is definitively pacified."

Just like the UK, Belgium is a constitutional monarchy - meaning King Philippe's statement will have been agreed beforehand with the government of Prime Minister Sophie Wilmès.

Earlier this month King Philippe's brother, Prince Laurent, defended Leopold II.

"He never went to [the DRC] himself," the prince said in an interview. "I do not see how he could have made people there suffer."

Prince Laurent did, however, add that whenever he met African heads of state he always apologised "for the actions Europeans have done to Africans in general".

What's the history?
In the 19th Century, European powers began seizing large swathes of Africa for colonial exploitation.

King Leopold II was granted personal control over huge areas around the Congo river basin - what would become known as the Congo Free State.

The country lasted from 1885 to 1908. During this period more than 10 million Africans are thought to have died of disease, colonial abuses, and while working on plantations for the king.

Authorities would chop off the limbs of enslaved people when they did not meet quotas of materials such as rubber demanded by the crown.

Conditions became so terrible other countries exposed and condemned the atrocities. King Leopold II gave up direct control in 1908, and Belgium formally annexed the country, renaming it the Belgian Congo.

Colonisers continued to use Africans as wage labour and tried to turn it into a "model colony". Widespread resistance eventually led to the nation winning its independence in 1960.

Source: Belgian king expresses regrets for colonial abuses
 

Nyanjomigire

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
6,753
2,000
Pamoja na kwamba hawa colonisers wote wazungu na waarabu wanapashwa kulipa Reparations kwa vitendo viovu walivyotenda dhidi ya waafrika lkn je hawa wakoloni wetu weusi waliowaachia hizi nchi wao watalipa nini kwa uovu wanaowafanyia watu wao ambao ni mbaya zaidi kuliko hata uliofanywa na wageni??

Wakati wa ukoloni wananchi walikuwa na maisha mazuri kuliko waliyonayo leo hii chini ya wakoloni weusi hawa ving'ang'anizi vya madaraka.
 

ldleo

Member
Jan 9, 2010
28
45
Mfalme wa Ubelgiji aiomba radhi DRC kutokana na historia yake ya ukoloni
15151B12-A5CC-4F75-8A06-24D39B08283F.jpeg

Katika maadhimisho ya miaka ya 60 tangu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC ijipatie uhuru, Mfalme Philippe Leopold Louis Marie wa Ubelgiji amemtumia barua rais Felix Tshisekedi wa DRC, akiiomba radhi DRC kwa mara ya kwanza kutokana na historia ya nchi yake ya ukoloni nchini humo.
Kwenye barua hiyo mfalme Philippe amesema kipindi cha ukoloni kilisababisha uchungu, na ameiomba radhi DRC kwa historia hiyo. Hata hivyo,hali ya ubaguzi uliopo hivi sasa itarejesha kumbukumbu hiyo yenye huzuni. Amesisitiza kuwa anadhamiria kupinga ubaguzi wa rangi wa kila aina, na kulitaka bunge litilie maanani suala hilo.
picha: wikimedia
 

Bukyanagandi

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
8,288
2,000
Namshangaa hamzungumzii lolote kuhusu njama alizo kula na CIA kwa kumtoa roho Patrice Lumumba halafu mwili wake ukakatwa katwa vipande pande na kutumbukizwa kwenye pipa la tindikali (Sulphuric acid) ikayeyusha mpaka mifupa ili kupoteza ushahidi.

Si hilo tu, wakati wa WW2 Baba wa Mfalme huyo alihusika vile vile kuiuzia Jeshi la Merikani madini ya Uranium yaliyo tumika katika uhundaji wa atomic bombs zilizo dondoshwa pale Hiroshima na Nagasaki matokeo yake Wajapan mamia ya maelfu walipoteza maisha, ukiongezea mamilĺion ya Wakongoman walio poteza maisha nchini mwao wakitumikishwa kama watumwa.. kwenye mashamba na viwanda vikivyopi kuwa vinamilikiwa na Wabelgigi nchini Congo.
 

Victoire

JF-Expert Member
Jul 4, 2008
18,719
2,000
Babu wa babu zake alikuwa katili sana. King Léopold II Alikuwa Simba mwenye sura ya binadamu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom