uhamiaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DocJayGroup

    JamiiForums Tanzania Mtanzania Anarudishwa Bongo Kutoka Marekani. Ana USD 10,000 (23M Tshs) Tu. Mnampa Ushauri Aitumieje?

    Jamaa alipatwa na misukosuko ughaibuni na makaratasi yake ya uhamiaji yakaharibika kabisa. Badala ya kuendelea kuishi USA pasipo kujua mbele wala nyuma, ameamua arudi Tanzania akapambane huko. Anafanya kitu kinaitwa voluntary deportation ambayo badala ya kuzolewa na kurudishwa kwa lazima...
  2. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Maafisa Uhamiaji wa kike huongoza kutoa huduma nzuri zaidi ya Wanaume kwanini?

    Maafisa Uhamiaji wakike huongoza kutoa huduma nzuri zaidi ya Wanaume kwanini. Hili nimelionana nimeshuhudia Ma ofisini, Mipakani na Airports pia nimewasikiliza wenzangu wakizungumza pia kwamba wanawake ma Afisa uhamiaji ni wakarimu sana na wanakupokea vizuri mnazungumza kama kuna kitu hakija kaa...
  3. MSHINO

    JamiiForums Tanzania Mbunge wetu Gwajima tunaomba kujua imekuaje uhamiaji kukamata mama ntilie na machinga pale mbuyuni

    Wakuu jana nilishudia askari wa uhamiaji wakifanya ambush kukamata wafanya biashara wadogo wadogo pale mbuyuni. Picha lilianza baada ya bus moja likiwa na watu walio valia sare za uhamiaji kufika km vile picha ya MAFIA VS NINJA likisdinidkizwa na gari ndogo. Walipofika waliwaweka chini ya...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Naona harufu ya ufisadi nafasi za kazi jeshi la Polisi, Zimamoto na uokoaji, Uhamiaji na Magereza. Rushwa na undugu vimetawala

    Habari! Kwa vijana ambao ndoto zao siku moja wapige au wapigiwe saluti zitaendelea kuyeyuka hii kutokana na uchache wa nafasi zenyewe. Huu mchakato utafanywa tu kutimiza sheria ila msitegemee sana huko vijana wenzangu. Watu washafanyiwa usaili bubu na kuambiwa wasubiri usaili fake. Hivi kwa...
  5. SAKA25

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi 350 Idara ya Uhamiaji Tanzania 2021

    Idara ya uhamiaji Tanzania wametangaza nafasi za kazi 350 kwa watanzania kama tangazo linavojieleza hapa chini
  6. T

    JamiiForums Tanzania Maafisa Uhamiaji walioko mkoani Sumbwawanga(Kanongo) wanaongoza kwa kuwadhulumu wageni wanaopita kwenda nje ya Nchi

    Maafisa uhamiaji mkoani Sumbawanga (Kanongo) wanaongoza kwa kuchukua rushwa na kuwasumbua wageni wanaopita kwenda nje ya Nchi. Leo nikiwa kwenye gari nimeshuhudia wakongo mani waliokuwa na vibali vyote kupita nchini Malawi wakisumbuliwa na kulipishwa fedha nyingi dola 300 kila mmoja...
  7. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tax shirikiana na Waziri Simbachawene kukagua Uhamiaji; punguzeni kamatakamata za Waethiopia mikoani

    Naomba nimshukuru Mungu kwa uteuzi mzurii na pia iukupongeza kwa uteuzi bora kabisa Tunaamini kuwa na wewe mipaka yetu itakuwa salama zaidi Binafsi nahuzunika sana kuonaa kila siku ati Mbeya Morogoro nk wamekamata Waethiopia wasio na vibali Mama yetu haya mamboo yalisahaulika kabisa huko...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Idara ya Uhamiaji kuwa Jeshi la Uhamiaji

    Bunge la Tanzania limepitisha sheria ya kuifanya Idara ya Uhamiaji kuwa Jeshi la Uhamiaji ili kuwaongezea nguvu kiutendaji. Hatua hiyo itafanya waziri aweze kuunda kanuni dhidi ya jeshi hilo. Baadhi ya wabunge walisema hatua ya kubalisha idara hiyo kuwa jeshi imechelewa.
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji wanapaswa wapitie upya nyaraka za Wasomali nchini

    Wasomali kihistoria na kiasili ni watu hatari sana, kutokana na nchi yao kuto kuwa na amani miongo mingi sasa, matikio ya kigaidi kila kukicha. Jirani zetu wa Kenya wanasumbuliwa sana na Jamii ya Kisomali. Sio wasomali wote ni watu hatari ila wengi wao ni hatari sana kwa usalama hivyo tunaomba...
  10. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Bila ya kurahisisha taratibu zetu za uhamiaji, ziara za Rais Samia nchi jirani zitakuwa ni kazi bure

    Ni wazi kuwa ziara za Rais kwenye nchi jirani au kokote kule ni kuboresha mahusiano kati ya nchi hizo na Tanzania ili watanzania tufaidike. Sasa ili wananchi wafaidike wanatakiwa kwenda huko kiurahisi, lakini ajabu Tanzania taratibu za mtu kutoka nje ni ngumu sana. Kuna masuala mengi uhamiaji...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kupata Visa ya kuja Tanzania ni kazi kweli kweli, Uhamiaji na Mambo ya Nje mnamkwamisha Rais

    Nimepata taarifa kwa rafiki yangu mmoja kwamba yeye na wenzake walipanga Tanzania lakini wanatakiwa kulipia Visa, baada ya kufungua mtandao wa Uhamiaji wanashindwa kupata huduma kila wakifanya kuomba wanapata error na muda wao wa likizo unakatika. Mimi mwenyewe nimejaribu kufuatalia nimekwama...
  12. SN.BARRY

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji Tanzania badilikeni

    1. Kazi yenu ni kutoa passport sio kujua mtu anaenda wapi. Passport ni haki ya kila mtu. Jifunzeni kutoka nchi nyingine. 2. Sasa hivi Tanzania ajira hamna. Mnanyima watu passport maana yake wafe na njaa wakiwa Tanzania. Jifunzeni kwa nchi jirani. Kenya, Uganda hata Rwanda raia wao wanafanya...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Polisi, Zimamoto, Magereza, Uhamiaji na Waziri mmeshindwaji kupandisha Askari vyeo Kama Rais alivyoagiza?

    Kupitia ukurasa wa Instagram Malisa ameeleza mianya iliyopo kwenye jeshi la Polisi kuhusu vyeo. Amefafanua namna ambavyo kukosekana kwa baadhi ya vyeo ndani ya jeshi Hilo kunashusha heshima ya jeshi nakupelekea ugumu katika kuongoza. Baada ya kusoma makala ile nilijaribu kufanya utafiti Kwanza...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji na kiingereza cha kuvunjika vunjika

    Wadau ni nini kifanyike kuwaondoa hawa maafisa wa uhamiaji hasa walioko mipakani wanaoongea Kiingereza cha kuvunjika vunjika Nimesikitishwa sana na nilichokishuhudia leo kutoka kwa afisa wa uhamiaji aliyeshindwa kuelewa swali dogo tu kutoka kwa mtalii liloulizwa kwa Kiingereza cha std3
  15. Sarius

    JamiiForums Tanzania Tatizo la tovuti ya Uhamiaji limekua sugu, njia mbadala inahitajika haraka kuwasaidia wasafiri

    Habari wakuu, Kumekua na tatizo la kutopatikana website ya ETD tangu tarehe 15 mwezi wa 6, imepelekea kukwama kwa safari za watu kwenda nnchi za nje kwa wanaotumia hati za dharura hasa madereva na wajasiliamali. Tunaomba vyombo husika viangalie njia mbadala ya kuwapatia hati za safari raia ili...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji Kigoma walalamikiwa kuwabambikizia kesi za uraia wananchi

    Baadhi ya madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma ujiji mkoani Kigoma wamelalamikia vitendo vya baadhi ya maafisa wa idara ya uhamiaji mkoani Kigoma kufanya vitendo vya uonevu kwa kuwakamata na kuwabambikia makosa ya uraia wananchi ambao ni raia halali wa Tanzania huku wakiwaacha watu...
  17. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhamiaji Kenya kuanza huduma ya kutuletea paspoti kwetu manyumbani

    Unafanya maombi na kutulia kwako sebuleni, mlango unagongwa jamaa anakupokeza cheti chako cha kusafiri, huna haja ya mifoleni tena.... The Directorate of Immigration Services and Postal Corporation of Kenya (PCK) have launched a passport delivery service. The agreement that was signed on June...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji Tanzania, lisaidieni Taifa kuhusu Yusuf Manji. Ni raia wa Tanzania au Marekani?

    Naandika hoja hii hapa kufuatia mijadala inayoendelea mitandaoni kuhusu tafsiri ya uraia wa Bw. Manji. Naamini amekuja nchini kuendeleza miradi yake lakini pia ameletwa na mfumo kwa ajili yakurejesha imani ya wageni waweze kurejea nchini baada ya miaka kadhaa diplomasia yetu kimataifa kuwa na...
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi 3 wa Uhamiaji wasimamishwa kazi kwa kosa la kutumia nguvu dhidi ya Alex Raphael

    WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi Idara ya Uhamiaji, imewasimamisha kazi wafanyakazi watatu kutokana na tukio la Askari wa Uhamiaji kutumia nguvu dhidi ya Alex Raphael Kyai kama video fupi iliyosambaa katika mitandao ya kijamii. Akizungumza na wandishi wa habari leo Mei 30, 2021 Kamishina...
  20. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Maafisa uhamiaji Walivyomtesa mtuhumiwa, Je, Sheria inawaruhusu?

    Nianze kwa kukiri huyu jamaa kama amedanganya kwa kile kinachosemwa amekosea na ni mtuhumiwa anapaswa aadhibiwe kwa mujibu wa Sheria. Lakini haya yanayofanywa kwenye hii video ni moja ya majukumu ya hawa maofisa waliomkamata huyu Jamaa? Je, tunafahamu athari zake ikiwa vyombo hivi vitaachwa...
Back
Top Bottom