Idara ya Uhamiaji kuwa Jeshi la Uhamiaji

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,879
Bunge la Tanzania limepitisha sheria ya kuifanya Idara ya Uhamiaji kuwa Jeshi la Uhamiaji ili kuwaongezea nguvu kiutendaji.

Hatua hiyo itafanya waziri aweze kuunda kanuni dhidi ya jeshi hilo. Baadhi ya wabunge walisema hatua ya kubalisha idara hiyo kuwa jeshi imechelewa.
 
Kwahiyo watakuwa wanapitia mafunzo ya kijeshi na kundeshwa kwa nidhamu ya kijeshi? Watashtakiwa mahakama za kijeshi?
 
Wale jamaa walikuwa ninwakarimu sana! Kwa sisi wazee wa boda to boda, sasa wakiwa jeshi si watakuwa makauzu?

Nafikiria zile zama unapita na pass ishaisha miezi kibao, wanakwita wanakuambia bwana mdogo huu mchezo sio mzuri usirudie tena, nenda zako, sasa likiwa ni Jeshi ulete huo upuuzi nahisi utatoka ndani ya yale majengo ukiwa unatambaa. Hata yule kamanda wao mkuu ni jembe aisee, yaani anakusikiliza hata kama una maseke yako nafsi inatulia na unaliona kabisa kosa lako.

Uhamiaji ni haki likawa Jeshi, jamaa wanakutana na watu wa ajabu sana na kuna kero kama zote pale.

Nakumbuka msomali katoa passport ina picha ya mwanamke alafu anasema yule ni yeye ile picha ya mwaka jana, alafu akanigeukia akasema oria huyu si mimi huyu?

Nikamjibu wanakukany**a wewe toa maelezo hapo usiniingize matatizoni.

Tunduma moja.
 
Hii nchi bana hivi neno jeshi 'force' wanaliona neno jepesi sana? Ila powa naona tumeamua kuachana na itifaki za kimagharibi.
 
Wale jamaa walikuwa ninwakarimu sana! Kwa sisi wazee wa boda to boda, sasa wakiwa jeshi si watakuwa makauzu?

Nafikiria zile zama unapita na pass ishaisha miezi kibao, wanakwita wanakuambia bwana mdogo huu mchezo sio mzuri usirudie tena, nenda zako, sasa likiwa ni Jeshi ulete huo upuuzi nahisi utatoka ndani ya yale majengo ukiwa unatambaa...
Nimecheka kishenzi!😀
 
Bunge la Tanzania limepitisha sheria ya kuifanya Idara ya Uhamiaji kuwa Jeshi la Uhamiaji ili kuwaongezea nguvu kiutendaji

Hatua hiyo itafanya waziri aweze kuunda kanuni dhidi ya jeshi hilo. Baadhi ya wabunge walisema hatua ya kubalisha idara hiyo kuwa jeshi imechelewa
Ccm inakuwa na majeshi mangapi sasa?
 
Wale jamaa walikuwa ninwakarimu sana! Kwa sisi wazee wa boda to boda, sasa wakiwa jeshi si watakuwa makauzu?

Nafikiria zile zama unapita na pass ishaisha miezi kibao, wanakwita wanakuambia bwana mdogo huu mchezo sio mzuri usirudie tena, nenda zako, sasa likiwa ni Jeshi ulete huo upuuzi nahisi utatoka ndani ya yale majengo ukiwa unatambaa...
😅😅😅
 
TANAPA, TAWA nao wamekuwa jeshi usu, hii nchi inanda sana kutumia nguvu katika kila jambo
Exactly, hata maafisa misitu sasa ni maafande (jeshu usu). Awamu ya tano kama ingeendelea mpaka mwisho hata Walimu na madaktari wangegeuzwa wanajeshi aisee...
 
Wamesharudi toka Rwanda na ideas za kuunda majeshi mengine du hii injii hiii mmmmhh!!
 
Back
Top Bottom