Tatizo la tovuti ya Uhamiaji limekua sugu, njia mbadala inahitajika haraka kuwasaidia wasafiri

Sarius

Member
Dec 4, 2017
45
125
Habari wakuu,

Kumekua na tatizo la kutopatikana website ya ETD tangu tarehe 15 mwezi wa 6, imepelekea kukwama kwa safari za watu kwenda nnchi za nje kwa wanaotumia hati za dharura hasa madereva na wajasiliamali.

Tunaomba vyombo husika viangalie njia mbadala ya kuwapatia hati za safari raia ili waendelee na shughuli zao.
 

Bambushka

JF-Expert Member
Jan 9, 2020
2,661
2,000
Wewe ni time traveller mkuu??
Sisi tuko mwezi wa 6, nyie tatizo mnalo tokea mwezi wa 7.
Wahusika wakiufikia huo mwezi watarekebisha.

Everyday is Saturday............................... :cool:
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom