uhamiaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Supu ya kokoto

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu na Uhamiaji Tarime mnajua kuhusu hili?

    Wasalaam, Niende kwenye hoja moja kwa moja. Watumishi karibia wote wa shule ya msingi HEAGTON iliyoko sirari hawana vyeti vinavyotambulika? Watumishi 11 kati ya 13 wanadaiwa sio Watanzania na hawana nyaraka za kufanya kazi Tanzania. Je, uhamiaji Tarime mnalijua hilo au hizo ndizo posho zenu...
  2. Mnyakyusa Ipinda

    JamiiForums Tanzania Nawapongeza sana Uhamiaji makao makuu. Dkt Anna P. Makalala kazi yako inaonekana

    Wakuu za wakati huu. Naomba nipongeze uhamiaji makao makuu kwa huduma nzuri wanazotoa kiukweli, yani sikutegemea. Kiukweli askari wote (au nilokutana nao) wanahuduma nzuri sana, yani wanakuelewesha vizuri pasipoeleweka, wanatabasam na wana lugha nzuri sana na ya kukufanya utake kuuliza zaidi na...
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji, NIDA na RITA, mfungulieni Kesi ya Uhujumu Uchumi Diamond Platnumz kwa Kumiliki nyaraka fake za Serikali. Vitambulisho vyote anyang'anye

    Salaam Wakuu, Vyombo vya Serikali viache double standard. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimzawadia kofia msanii Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platinumz baada ya kutumbuiza maelfu kwa maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni Uwanja wa CCM...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Polepole: Uhamiaji fuatilieni uraia, kuna baadhi ya watu si wenzetu!

    Komredi Polepole wa CCM ameitaka idara ya uhamiaji kufuatilia uraia wa watu wote kwani kuna baadhi siyo wenzetu. Chanzo: Eatv My take; Nadhani ni wale viongozi wa dini Maendeleo hayana vyama!
  5. GIRITA

    JamiiForums Tanzania Je, Uhamiaji Tanzania wana mamlaka haya?

    Habari wakuu, Napenda kufahamu kutoka kwa wajuzi mbali mbali humu jf. Je, mamlaka ya uhamiaji Tanzania inaweza kumchukulia hatua za kisheria mbongo yeyote aliyeamua kujiripua nje ya nchi, kutafuta maisha,mfano alitoka hapa bongo akaenda Kenya akachukua passport ya Kenya akaenda DENMARK...
  6. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Ubunge wa ACT-Wazalendo awasilisha majibu ya pingamizi alilowekewa, atinga 'kininja' kukwepa maafisa uhamiaji

    Mgombea Ubunge katika jimbo Pangani kupitia chama cha ACT Wazalendo , ndugu Msagati ametinga kwa Msimamizi wa Uchaguzi kuwasilisha pingamizi dhidi ya mgombea wa CCM (Aweso), na kuwasilisha majibu ya pingamizi alilowekewa huku akiwa kavalia nguo iliyofunika uso wake ili kuwakwepa maafisa Uhamiaji...
  7. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uhamiaji: Wagombea kwenye uchaguzi mkuu ni lazima awe raia wa Tanzania vinginevyo atatenguliwa!

    Idara ya Uhamiaji imeelezea mikakati yake kuelekea kipindi cha uchaguzi mkuu. Akihojiwa na mtangazaji Albert Kilala wa Channel ten msemaji wa idara ya uhamiaji mratibu msaidizi Aziz Kilondomara amesema wanafuatilia kwa makini sifa za wagombea na wapiga kura ili kuhakikisha nchi inaendelea kuwa...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Polepole, kupanda ndege siyo anasa na wala kusafiri kwa barabara siyo kigezo cha kuwapenda masikini

    " Rais Magufuli hajawahi kwenda Ulaya wala Marekani hiyo shobo hana, wengine wanapenda kupanda ndege yeye anapita kwenye barabara hizi hizi ndiyo maana watu masikini ni mtu wao kwa sababu anafahamu changamoto zao " Humphrey Polepole EastAfricaRadio Mimi ni mwana CCM Mwenzako na wala sifichi /...
  9. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu akabidhi nyumba 103 kwa Idara ya Uhamiaji Dodoma

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameikabidhi Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi nyumba 103 zenye gharama ya zaidi ya sh. bilioni tano kwa ajili ya makazi ya Maafisa na Askari wa Idara ya Uhamiaji nchini zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) katika eneo la Iyumbu jijini Dodoma ikiwa ni...
  10. G Sam

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mkuu wa Uhamiaji mkoa wa Kagera, Pendo Butenghe afariki dunia

    Imeripotiwa muda mfupi uliopita kuwa Pendo Butenghe ambaye ni Mkuu wa Uhamiaji mkoa wa Kagera amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua kwa muda mfupi. Akithibitisha kifo hicho, Kaimu Mkuu wa Uhamiaji Kagera, Thomas Fush, amesema marehemu alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya kushuka...
  11. Unko T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Uhamiaji Dar haitoi passport kisa hakuna mtandao wa TTCL. Ukitoa kitu kidogo unapatiwa kwa siri sana

    Tangu juma lililopita nimekuwa nikifuatilia passport yangu idara ya uhamiaji Dar es Salaam, iliyopo ndini ya ofisi za Mambo ya Ndani ya Nchi. Napewa jibu rahisi sana na afisa aliyekaa nje ya mlango wa kuingilia ofisi hizo, "Hakuna network ya TTCL hivyo hatuwezi kuona passport yako" Nikajiuliza...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Uhamiaji Tanzania inalizungumziaje suala kama hili langu?

    I was born in Tanzania from both Tanzanian parents but when I was around 10years, a family member took me to study in kenya.we crossed the boarder illegally may be he bribed the officials at the boarder. I came back last year with a Kenyan passport. After it expired I went to the village to...
  13. Influenza

    JamiiForums Tanzania CoronaVirus: Uhamiaji Tanzania yawaongezea Wageni muda wa kukaa nchini baada ya kushindwa kusafiri

    Kutokana na mlipuko wa Ugonjwa wa #Corona na baadhi ya Wasafiri kushindwa kusafiri kurudi kwao, Tanzania imetoa muda wa nyongeza kwa wageni hao kukaa nchini Wageni wote waliokuwa wanatarajia kuja na tayari wamepewa ‘Visa Grant Notice’ lakini ameshindwa kusafiri ameongezewa miezi mitatu kutoka...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina mambo ya ajabu sana; Uhamiaji inanyima watu wanaotusaidia uchumi work permits, wanapofunga ofisi na kuaga Serikali inawaomba wasiondoke!

    Niliwahi kusema humu JF kwamba Tanzania ina mambo ya ajabu sana kuhusiana na utoaji wa work na residence permits hata kwa watu ambao ni wawekezaji, japo kila siku tunapiga kelele eti kuvutia wawekezaji. Wawekezaji wanapokuja wanapata shida sana kupewa work au residence permits. Kuna wawekezaji...
  15. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Internship katika Shirika la Kimataifa la Uhamiaji, International Organization for Migration (IOM)

    BACKGROUND INFORMATION Established in 1951, the UN Migration Agency, IOM-UN is the leading inter-governmental organization in the field of migration and works closely with governmental, intergovernmental and non-governmental partners. The Organization is dedicated to promoting humane and...
  16. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji hawaoni aibu kutoa passport laki mbili kwenye nchi yenye watu milioni 55?

    Hivi ni sahihi Uhamiaji kutoa Passport mpya laki mbili kwenye nchi yenye watu milioni 55? Nchi za wenzetu mfano Marekani passport na visa ni chanzo kikubwa cha mapato ya serikali. Mfano uhamiaji wangepewa lengo mfano la kutoa Passport milioni moja tu kwa mwezi kwa bei ya Passport ya shilingi...
  17. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Kongole nyingi sana Uhamiaji Tanzania. Mmetupa heshima Watanzania

    Huduma za uhamiaji Tanzania zimenikosha nikawiwa kuwapongeza. Sina uhakika kama Watanzania wenzangu wanawaona kama nilivyowaona. Nawapongeza kwa yafuatayo: 1. Mmejenga mifumo very smart hasa ya malipo ya pesa ya serikali. hai attempt watumishi na ni rahsi, online applications is just fantastic...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Commissioner General wa Uhamiaji Dr. Makakala hapigi salute vizuri

    Nimekuwa nikimfatilia commander huyo kuhusu upigaji wake wa salute si wa kiwango ukilinganisha na makamanda wakuu wengine. Nimeshindwa kuweka picha yake ya leo alivokuwa Ikulu wakati akishuhudia utiwaji sahihi kati ya serikali yetu na Brick company.
  19. britanicca

    JamiiForums Tanzania Niliwalaumu Uhamiaji bila sababu kuhusu utoaji Pasi za Kusafiria kutotegemea taarifa za NIDA. Aliyevuruga mfumo yupo, 20% wenye ID si watanzania

    Leo nikiwa hapa Russia nimepata kuongea na Afisa uhamiaji ambaye amesema taarifa anazotoa ni nyeti na wala serikali isingependa zijulikane kwa raia wake maana zitaonesha Udhaifu wake. Tumejadili yafuatayo: 1. Kwanini ukienda Uhamiaji unaombwa Birth Certificate wakati umeshai submit kwenye...
  20. Syston

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji acheni siasa, mnafeli wapi?

    Wadau, nimelileta hili maana limenivuruga akili haswa. Ipo hivi: Niliingia tovuti ya Uhamiaji kwa ajili ya maombi ya passport ila mambo niliyokutana nayo huko yameniacha hoi na kunifanya niamini siasa siyo mchezo mzuri. Kero nilizoziona ni kama ifuatavyo: 1. Katika kujaza form kuna kipengele...
Back
Top Bottom