uhamiaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Utafiti umebaini kuna matumizi mabaya ya fedha Idara ya Uhamiaji

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifunga Mafunzo ya Awali ya Askari wa Uhamiaji Kozi na. 1/2022, katika Chuo cha Uhamiaji Boma Kichakamiba leo tarehe 15 Agosti, 2022 Mkoani Tanga. MKUU WA MKOA TANGA – OMARY TABWETA MGUMBA Mrundikano wa wafungwa kutoka nje wasio na...
  2. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wamasai waliogoma kuhama Loliondo kutuhumiwa kwa uhamiaji haramu

    Sakata la Loliondo lachukua sura mpya baada ya Serikali kuamua kutumia kigezo cha Uhamiaji Haramu ili kuwaondoa wamasai kwa nguvu kwenye eneo hilo alilouziwa mhamiaji kutoka nchi za kiarabu na kusababisha mgogoro mkubwa kwa wananchi na serikali. Mama Samia Rais wetu mpendwa tunaomba ingilia...
  3. SOVIET UNION

    JamiiForums Tanzania Hivi Walinzi wa kukaa Getini nao ni Expert?

    Kwa uelewa wangu mdogo huwa najua kwamba watu wanao takiwa kupewa vibali ya kazi na uhamiaji ni wale Expert tena na wao ni kwa muda fulani, lakini nashindwa kuelewa pale napo kutana na walinzi wa getini kwamba nao ni Expert na wametolewa Asia huko. Wafanya kazi za ndani wapo walio letwa kutoka...
  4. Bususwa

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TRA, TAKUKURU na Uhamiaji mko wapi?

    Nimekuwa mfanyakazi wa kampuni moja kubwa sana hapa Dsm kwa zaidi ya miaka Saba sasa, baadae nilipelekwa mkoani kwaajili ya kazi yangu hiyo hiyo,hapa sitataja Mkoa kwa sababu ya kuficha uhusika wangu kamili. Hii kampuni imekuwa na mambo ya ajabu sana, tumeajiriwa kwa jina la kampuni x, lakini...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Uhamiaji ARUSHA mchunguzeni huyu mzungu anaitwa ERNESTO BRUNI

    Kuna mzungu mmoja ni raia wa Italy Sina uhakika kama kweli katokea Italy . Huyu mzungu anaishi maeneo ya sanawari ya juu amefungua shule feki inaitwa New bridge pre-school . (Zamani iliitwa SAMENA SCHOOL Tatizo ni kwamba huyu mzungu amefungua shule kwa jina la girl friend wake anayeitwa Victoria...
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Siku 180 mabilioni yapigwa Uhamiaji, maofisa 32 wamehusika

    Kwa mwendo huu awamu ya 5 ilikuwa ina ufisadi mwingi kuliko awamu zote au ukijumlisha ufisadi wa awamu zote ndio unapata ufisadi wa awamu ya 5
  7. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Jinsi Maafisa Uhamiaji walivyopiga Tsh Bilioni 2.42

    Hii nchi Tamu sana inapigwa Left and Right , Top and Bottom
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kama Uhamiaji matendo ndio kama hayo. Je Nchi yetu ni salama kiasi gani?

    Hii issue imenishtua na kunisikitisha. Kwamba CAG amegundua wizi wa uuzwaji wa viza kwa wageni uliokadiliwa kufika kiasi cha Bilioni 2. Hii inanipa shaka je hizi visa zilikuwa feki na kama ni hivyo vipi kuhusu wahamiaji haramu na watu wasio wema?
  9. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Idara ya uhamiaji kaeni mjitafakari utendaji kazi wenu, wilayani na mikoani

    Niende moja kwa moja kwenye mada naomba mod usiunganishe huu uzi maana hawa uhamiaji Uzi zao zimekuwa nyingi sana, na ni jeshi ambalo kama limejisahau hivi wao wanachoweza ni kutembelea nyumba za wageni, vituo vya usafiri kukuta wageni na kubageini biashara imeisha hawatimizi wajibu wao...
  10. Mtuflani Official

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji naomba muwamulike Wanaijeria walio Tanzania

    Niwape pongezi Idara ya Uhamiaji Tanzania kwa kazi nzuri mnayozidi kuifanya. Ila kuna vitu vidogo mnahitaji kuvifanyia kazi. Kuna wimbi kubwa la vijana wa Nigeria wapo humu nchini wanafanya biashara ambazo hazieleweki. Unakuta mNigeria eti anashona nguo. Kuna tukio moja limetokea Kidimbwi...
  11. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia amteua Hassan Ali Hassan kuwa Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua ACI. Hassan Ali Hassan kuwa Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, amechukua nafasi ya Kamishna Johari Masoud Sururu ambaye atapangiwa majukumu mengine. Kabla ya uteuzi huo Hassan alikuwa Mkuu wa Uhamiaji Mkoa wa Kaskazini Pemba.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Polisi, Jeshi, Magereza, Uhamiaji, Zimamoto mishahara yao ni midogo, Serikali muwaongezee

    Kiukweli kwa kazi kubwa sana za hayo majeshi. Wanafanya kazi kubwa ya ulinzi na usalama wa nchi yetu, lakini maslahi yao hayaendani na kazi kubwa wanazozifanya. Lazima maslahi ya wanawake kwenye majeshi hayo yafanane maana hapo unakutana na WP anakung’ang’ania ili uwe nae walau asogeze siku...
  13. Mwanamaji

    JamiiForums Tanzania NIDA VS UHAMIAJI: Ukikamilisha taratibu zote, unapata passport baada ya wiki 2. NIDA wao unapata kitambulisho baada ya Mwaka au zaidi

    Habari zenu wakuu. Kwa kadri miaka inavyosogea, ndivyo mahitaji ya huduma za haraka na zenye ufanisi yanaongezeka. "Being Quick, Efficient and Consistent is being Good" Kasi ya maisha ya mwaka 1980 haiwezi kuwa sawa na ile ya 2020. Katika taratibu za kawaida za kazi, kuanzia siku ambayo...
  14. Dialysis

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji Musoma, huyu mama kutoka Burundi angefariki damu yake ingewalilia

    Mama mjamzito ametoka Burundi kwenda Kwa mume wake Kenya Juzi tarehe 25/02/2022. Alivyofika Musoma alikamatwa na uhamiaji sehemu ainayoutwa Kurumuli (Barrier) . Alijitetea kwa uchungu Sana mpaka tulio kuwa kwenye gari lile tulipata huruma. Mama alijitetea kuwa anaenda Kenya kujifungulia huko...
  15. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji kagueni vibali, uraia na passport za wasanii na watu mashuhuri wote

    Nitoe rai kukagua uraia na passport za watu wote mashuhuri na wasanii kwenye list wasikosekane; 1. Petit Man wakuache 2. Wasanii wote wa bolingo 3. Dancers wote 4. Alistote 5. Wamiliki wote wa maduka ya nguo Kinondoni Mtanishukuru baadae lakini mnaweza kuamua kupuuza pia.
  16. dubu

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Ajira ya Konstebo wa Uhamiaji 2022

    Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Ajira ya Konstebo wa Uhamiaji 2022.
  17. J

    JamiiForums Tanzania Idara ya Uhamiaji sasa kuwa Jeshi kamili na litawajibika moja kwa moja kwa Amiri Jeshi Mkuu

    Bunge limefanya mabadiliko madogo ya sheria ya idara ya Uhamiaji ambapo sasa litakuwa ni jeshi kamili litakalowajibika moja kwa moja kwa Amiri Jeshi Mkuu Waziri wa Mambo ya Ndani mh Simbachawene amesema mabadiliko hayo yanalenga kuongeza nidhamu kwa Idara ya Uhamiaji ambapo sasa litajiendesha...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Vijana kachukueni Pasipoti zenu Uhamiaji mtawanyike Duniani; kusubiri ajira na uteuzi ni utumwa wa fikra

    Mhe. RAIS ameifungua nchi, SI Kwa wazee Bali Kwa vijana. Wakenya wamejaa Tanzania Kwa ajili ya matembezi ,biashara, ajira nk. Sisi Watanzania tumejazana Dar na tunajipongeza Kwamba tumeiona Dunia. Hapana vijana badilisheni fikra, mtizamo na mikakati, wazeni kuvuka mpaka, wazeni kufanya biashara...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Idara ya Uhamiaji (470)

    Jamani mwaka mpya na fursa za ajira zimetangazwa kutoka Idara ya Uhamiaji Tanzania. Wale wenye sifa tujimwage kujaribu bahati zetu. Tangazo hili linapatikana pia kwenye page yao ya Instagram. Halafu si tuliambiwa Uhamiaji sasa ni jeshi, sasa mbona msemaji wao bado anaitambulisha kama Idara ya...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Uhamiaji mmepiga gwaride zuri, sijawahi kuwaza hawa jamaa ni Askari

    Hii nchi ina siri kubwa kwenye mfumo wa Ulinzi, Watendaji wa Uhamiaji ukikutana nao huwezi sema ni jeshi, Naamini Mwalimu wakati anatengeneza mfumo wa nchi aliona mbali Sana. Jinsi miaka inavyozidi kwenda ndipo Watanzania wanatambua kauli ya kwamba wananchi wote ni Askari. Kama Hawa hjamaa ni...
Back
Top Bottom