uhamiaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania SoC03 Namna Teknolojia inavyoweza kuzuia Rushwa na kuongeza weledi kwa Jeshi la Polisi na Uhamiaji

    UTANGULIZI. Jeshi la polisi na uhamiaji ni miongoni mwa vyombo vya dola ambavyo takwimu zinaonesha ndio vinavyoongoza kwa kukiuka maadili ya kazi kwa kujihusisha na vitendo vya rushwa. Jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani na askari wa doria ndio vinavyoongoza kwa vitendo vya rushwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji, NIDA Kinondoni ni shida

    Kuna mtu ameenda NIDA kupata kitambulisho akiwa na cheti cha darasa la saba akaambiwa lazima awe na cheti cha kuzaliwa kwa kuwa yeye amezaliwa miaka ya tisini. Baada ya kupata cheti cha kuzaliwa akawa na viambatanisho vitatu; Cheti cha kuzaliwa, cheti cha darasa la saba na leseni ya udereva...
  3. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya uteuzi iwe makini na uteuzi wa Mawaziri wa maeneo haya

    Wasalaam JF, Nitoe rai na angalizo kwa maslahi mapana ya usalama, ulinzi yazingatiwe, vizazi na vizazi vya hao watu na iwe Mvua, iwe jua, iwe mbalamwezi iwe Giza totoro, kuchunguza muhimu sana, sina wivu na mtu bali kwa maslahi ya taifa, utaifa na uzalendo. Sio kila mtu ni wa kumpeleka wizara...
  4. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji uwanja wa mwl. Julius Nyerere naombeni maelezo

    Nchi za SADIC ukitembelea huna haja ya visa.Inakuwaje sisi tukienda kule kwa shughuli yeyote hatuulizwi visa ila mgeni akitoka huko anaambiwa alipe dala 200.
  5. Voice of Tanzania

    JamiiForums Tanzania Mkeka walioitwa kwenye usaili uhamiaji tarehe 28 Januari 2023

    Orodha ya majina walioitwa kwenye usaili wa ajira konstebo 500 haya hapaaa Ndugu zangu
  6. Tango73

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji dhibitini wahamiaji kutoka Asia

    Hivi China ni nchi tajiri au ubabaishaji tuu? Kwa nini raia wake masikini watupwe Africa?
  7. R

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ni kweli hawa wote ni raia wa Tanzania au wamejipatia pasipoti za Tanzania kimakosa?

    Tanzania hakuna uraia wa nchi mbili lakini naona kama wageni wanaomiliki Pasipoti za Tanzania na za mataifa mengine wamekuwa wengi Sana. Sikukuu za mwisho wa mwaka nilikuwa South kwa mwaliko wa familia Kula bata kidogo, katika moja ya hafla mwenyeji wangu alinikutanisha na rafiki zake ambao...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji Sekondari na michango ya madawati wanafunzi wapya kidato cha kwanza

    Nimeshangazwa na mchango wa madawati Uhamiaji Sekondari kwa wanafunzi wanaojiunga kidato cha kwanza, kwani nilitegemea shule zote za Dar zilishapewa madawati ya kutosha. Hebu mwenye undani wa jambo hili atujuze.
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Vikwazo vya Uhamiaji na Utofauti wa Sera za Nchi ndo sababu ya mkwamo wa kibashara Jumuiya ya EAC

    Takwimu mpya za Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) na Kamisheni ya Umoja wa Afrika zimeonesha bado baadhi ya Nchi za Jumuiya ya EAC zimeweka Sera ngumu za Uhamiaji zinazopunguza kasi ya muingiliano wa Kibiashara Pia, Ripoti ya Africa Visa Openness Index (AVOI) inayofuatilia Utayari wa Nchi...
  10. Faana

    JamiiForums Tanzania NEMC fanyeni kama Polisi au Jeshi la Uhamiaji

    Mitaani kumechafuka hivi sasa Vigodoro vinakesha kwenye makazi ya watu serikali za mitaa zimetiwa mifukoni mwa watu Makanisa yanafunga speaker kubwakubwa zisizotofautiana na zile za kumbi za disco kwenye open space Bar nazo zinasumbua usiku kucha miziki mizitomizito kwenye makazi ya watu Wauza...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Boda ya Horohoro (Kenya - Tanzania) vyoo ni vichafu na abiria wanakoma kwa joto (AC hazifanyi kazi)

    Wiki iliyopita nikiwa natoka Kenya kuja TZ kupitia boda ya Horohoro kuna mambo mawii niliyoona na yakanikata na kunifanya nitafakari kuhusu mamlaka zetu hizi za Uhamiaji. Nilikuta mazingira ya vyoo ambavyo vinatumiwa na abiria ni vichafu na vinahatarisha hata afya ya watumiaji, kuanzia...
  12. SaulGoodman

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Idara ya Uhamiaji Leo 11/12/2022

    Habari zenu wandugu, naomba niende kwenye hoja Moja kwa Moja. Idara ya Uhamiaji imetangaza nafasi za ajira 500 kwa vijana wa kitanzania wenye sifa na vigezo mbalimbali vya kitaaluma Leo tarehe 11/12/2022. Unaweza pitia attachments hapa chini kufahamu zaidi. Lengo la Uzi huu ni kuweza kupata...
  13. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Idara ya Uhamiaji imemtisha na inamsaka aliyevujisha taarifa ya watalii kusota kisa wao pale KIA

    Hivi kosa la huyo mtu mwema anayebainisha mapungufu lipo wapi?! Eti taharuki kwa umma, hovyo kabisa. Uhamiaji acheni vitisho mnapoumbuliwa bali chukueni changamoto kabla somo jema kwenu kujirekebisha.
  14. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Watalii walalamikia huduma mbovu za Idara ya Uhamiaji KIA

    Kwenye mapungufu lazima tuseme na moja la pungufu kwa Idara ya Uhamiaji ni huduma mbovu si kwa wageni pekee hata kwa Watanzania. Idara hii imekuwa ikifanya shughuli zake kwa maringo na kujisikia sana! Mipakani kwa mfano unakuta Afisa hayupo dirishani na yupo pembeni akiperuzi simu yake huku...
  15. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania CHADEMA naombeni mulichukue hili suala la urasimu kwenye uhamiaji na Passport

    Wakati wa ukomunisti, nchi za kikomunisti zilibana sana mipaka yake ili watu wasitoke. Ndiyo moja ya sababu ya ukuta wa Berlin. Ndiyo sababu hadi leo kutoka Korea kaskazini ni ngumu mno na hatari. Tanzania nayo kupindi cha ujamaa wetu ilikuwa hivyo. Leo hii dunia ni kijiji, watu wanasambaa...
  16. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji tusaidieni kwanini passport haitumiki kama National Identification card katika baadhi ya ofisi nchini

    Nimekwenda ofisi kama tatu za watu binafsi nimeshindwa kupata huduma kwa kutumia kitambulisho cha passport eti hakitambuliki. Yaani kitabu hakitambuliki? Ni kweli karne ya 22 kuna baadhi ya ofisi hazitambui kama passport ya kusafiria ni kitambulisho. Wananiambia hicho hakitambuliki sisi hapa...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hongereni Uhamiaji Tanzania kwa 'Kutowabughudhi' Wamalawi (hasa Wanawake) wanaoingia 'Kiholela' Tanzania

    Binafsi kama GENTAMYCINE nichukue Nafasi hii Kuwapongezeni kwa dhati kabisa UHAMIAJI Tanzania kwa Kuruhusu Wananchi wa Malawi (hasa Wanawake) Kuingia kwa Uwingi na Kiholela nchini Tanzania ( mhasa Mkoa wa Wajanja) wa Dar es Salaam. Sababu Kubwa inayonipelekea GENTAMYCINE Kufurahia hili ni...
  18. emliko

    JamiiForums Tanzania Immigrant in Arusha TZ looking for a Business Partner

    First, I want to introduce myself. My name is Emilian, I am eighteen years old, I'm from America and I am currently in Arusha, staying with a friend. The area of Arusha I am staying is North of Usa River and Maji ya Chai, nearby the University of Arusha. I am currently trying to become a...
  19. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Kwanini CDF aitwe Mkuu wa Majeshi wakati Polisi, Magereza na Uhamiaji wana wakuu wao?

    Nimekuwa nikishuhudia CDF akiitwa mkuu wa majeshi ilihali jeshi la Magereza,Polisi na Uhamiaji yanao wakuu wao. Sasa ni ipi sababu hasa ya CDF kuitwa mkuu wa majeshi?
  20. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Askari wa uhamiaji wasio waadilifu waonywa

    Rais Samia amewaonya askari wa uhamiaji wasio waaadilifu, wanaohujumu fedha za vibali vya makazi na viza na kutaka hatua zichukuliwe kwa wote wanaofanya uhujumu huo. Rais Samia amesema kupitia utafiti mdogo uliofanyika kwenye mkoa wa Dar es Salaam na Zanzibar wamebaini upotevu mkubwa wa fedha...
Back
Top Bottom