ufisadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Magereza nchini Uingereza wamejiwa juu kwa ufisadi kwa kuwanunulia wafungwa TV za flat Screen

    Mzuka wanajamvi! Wakuu wa Magereza nchini Uingereza wamejiwa juu kwa ubadhirifu na kuchezea hela ya walipa kodi kwa kuwanunulia wafungwa TV za flat Screen. Maboss hao wa Magereza waliwanunulia kila mfungwa jumla ya Tv 120,037 moja ikigharimu 96 pounds kati ya February 2017 hadi December 2020...
  2. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mara: TAKUKURU yanusa ufisadi kwenye nyumba za ibada

    TAKUKURU YANUSA UFISADI KATIKA NYUMBA ZA IBADA Ndugu wana habari, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Mara katika kipindi cha miezi mitatu yaani Oktoba hadi Desemba mwaka 2020, ilitekeleza majukumu yake ya kisheria ya kiuchunguzi, uelimishaji umma, udhibiti na uokoaji na...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Viongozi wanafanya ufisadi wanapo pata madaraka kwasababu ya kuendekeza starehe

    Tafadhari rejea kichwa cha habari hapo juu, Viongozi wanafanya ufisadi mara wanapo pata madaraka kwasababu ya kuendekeza sitarehe mara baada ya kurubuniwa. Hiki ndicho nachokifahamu wakuu, na wanao warubuni viongozi wetu mameneja wetu mpaka wanaanza kuwa wezi ni wanawake. Meneja...
  4. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Ukweli usio mchungu: Serikali ya awamu ya tano imejitahidi kupambana na ufisadi na ubadhilifu

    Moja kwa moja kwenye mada husika wadau wa Jf. Huko nyuma ilikiwa ni aibu maana watu walikuwa hawafanyi ufisadi bali ni kujichotea na kujijazia. Fikiria skendo la Escrow watu walichota bil of Tsh kama wanachukua sh mia mbil ya kula karanga. Alichofichua leo waziri mkuu ni ushahidi tosha kuwa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua ubaya wa mfumo wa chama kimoja, angalia Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi anavyoibua ufisadi kila kona

    Mfumo wa chama kimoja unaendekeza tabia ya kuoneana aibu na huruma. Yanayoendelea pale Unguja utadhani awamu iliyopita iliongozwa na upinzani kumbe walikuwepo CCM peke yao barazani na Serikalini. Nyie vijana wadogo akina Tindo, Mrangi na wadogo zenu kajifunzeni Zanzibar. Maendeleo hayana vyama!
  6. S

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Zanzibar uliopita ulikithiri ufisadi hadi hauonekani

    Kwa jinsi Husein Mwinyi anavyoshindwa kuvumilia juu ya vitendo vilivyofanywa na watawala, sikusudii watawala wa kiarabu, nawakusudia hawa tuliopigania uhuru pamoja na kuahidi kuleta maendeleo. Rais Hussein kila anapopagusa patupu, watawala wa waliopita wakiongozwa na CCM wameshakwapua. Yaani...
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Siasa za Umeme: Kwa vile Umeme wa Stigler's utatosha na ziada kuuza nje. Je, TANESCO kusaini PPA mpya 6 toka kwa 6 IPPs, sio ufisadi mpya wa kisasa?

    Wanabodi, Kwa vile hii ni mada technical, yaani ni mada ya kitaalam, naomba kuanza bandiko hili kwa elimu kidogo kwa members wenzangu ambao sio wataalam wa mambo ya power na energy. Watu wanadhani siasa ni kusimama tuu majukwaani na kupiga domo, issues yoyote yenye impact kubwa kwa taifa ni...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Je, unazifahamu aina za Ufisadi?

    Katika nchi nyingi, sheria za jinai na kiutawala zinakataza aina mbalimbali za vitendo vya rushwa. Mkataba wa UN dhidi ya Ufisadi (UNCAC) unafafanua tabia ya jinai ambayo mataifa yaliyosaini yanapaswa kujumuisha katika mifumo yao ya kisheria. Vitendo vinaweza kuwa vya rushwa hata kama hakuna...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ufisadi Mkubwa unaendelea wakala wa mwendokasi

    Kuna ufisadi mkubwa unaendelea wakala wa mwendokasi ambao unahusisha wanaojiita wataalam wa tehama, iko hivi kuna mfumo unaandaliwa wa ukusanyaji nauli kwa njia ya kielektroniki ambao kwa sasa haujakamilika na una zaidi ya mwaka mmpoja sasa. Mfumo huo unatengenezwa na wakala wa mwendokasi na...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais wa zamani Ufaransa kufikishwa Mahakamani kwa tuhuma za ufisadi

    Rais wa zamani wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy atafika mahakamani Jumatatu ambapo anatuhumiwa kujaribu kutoa hongo kwa jaji na kupelekea ushawishi, ikiwa ni moja ya uchunguzi kadhaa wa jinai ambao unatishia kuweka aibu kubwa katika utumishi wake wa muda mrefu wa kisiasa. Waendesha mashtaka wanadai...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Harufu ya ufisadi stendi mpya Mbezi: Je, CHADEMA ilishindwa kuisimamia Serikali ipasavyo?

    Rais Magufuli amesema kuna harufu ya ufisadi katika ujenzi wa stendi mpya ya mabasi ya mikoani na nchi jirani ambapo nyongeza ya Sh bilioni 20 haielewki ina tija gani. Rais Magufuli ameahidi kulichunguza suala hilo na kuchukua hatua stahiki. Ikumbukwe kuwa Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam...
  12. Securelens

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ni Jemedari kweli wa Vita ya Ufisadi na Rushwa-Jua fedha, majengo, na vitu vingine kibao vilivyorejeshwa Serikalini. Big up JPM

    Moja ya kazi nzuri aliyofanya Mheshimiwa Rais Magufuli ni kupiga vita ufisadi na rushwa kwa vitendo. Mashauri makubwa ya ufisadi 407 yamepelekwa mahakama ya mafisadi na mashauri 385 yamesikilizwa. Aidha kupitia Takukuru mashauri 2,256 yalifunguliwa ambapo mashauri 1,926 tayari yametolewa uamuzi...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tuhuma nzito ya ufisadi wa kupora ardhi mpaka sasa haijajibiwa

    Nashindwa kuamini kuwa mpaka muda huu hakuna hata mmoja wao miongoni waliotajwa aliweza kutoka hadharani kukanusha au kufafanua juu ya tuhuma hizi. Yaani hata ofisi zao zimeshindwa kuwatetea! Swali la msingi hapa ni je, kama tuhuma ni za uongo, kwanini ichukue muda kujibu? Tutaelewana tu mwaka...
  14. K

    JamiiForums Tanzania NSSF ichunguzwe na TAKUKURU na Wizara ya Fedha kuhusu harufu ya ufisadi na rushwa

    NSSF imeteua Kampuni binafsi ya PROPER CONSULT kusimamia majengo yake na kuwataka wapangaji kufanya malipo kwenye Akaunti binafsi ya Kampuni hiyo iliyoko CRDB kinyume maelekezo ya Serikali kuwa malipo yote ya Serikali yafanyike kwa kutumia Control Number ili pesa zote ziingie Serikalini. Hapa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, Tundu Lissu ana uwezo wa kupambana na rushwa na ufisadi? Historia yake inatuhakikishia hilo?

    Jambo kubwa kabisa alilolifanya Rais Magufuli ni kuwashughulikia mafisadi wala rushwa na wapiga dili waliokuwa wanalihujumu taifa letu. Wananchi zaidi ya 95% wanataka Kazi Iendelee kwamba sasa yakang'olewe mazalia na mabakibaki ya mafisadi popote yalikobakia na wanataka jukumu hilo likamilishwe...
  16. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mfalme wa zamani wa Uhispania, Juan Carlos ahama nchi kwa tuhuma za ufisadi

    Mfalme wa zamani wa Uhispania, Juan Carlos, ameamuwa kuihama nchi yake katika uamuzi wa aina yake unaolenga kuunusuru ufalme baada ya mkururo wa tuhuma za ufisadi dhidi yake na wakati waendesha mashitaka wakimchunguza. Tamko la kasri ya kifalme lililotolewa jana (Agosti 3) lilinukulu barua ya...
  17. pingli-nywee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge wa Sirisia John Waluke ahukumiwa kuhudumu kifungo cha miaka 67 gerezani au faini ya KES 1Billion kwenye kesi ya ufisadi dhidi yake

    Siku ya 40 ya mwizi hatimaye ilitimia kwa Mbunge wa Sirisia John Waluke na mshukiwa mwenza Grace Wakhungu, kwenye kesi ya ufisadi dhidi yao ndani ya mahakama ya ufisadi(Anti-Corruption Court) jijini Nairobi hivi majuzi. Hii ni baada ya Chief Magistrate Elizabeth Juma kuwapata na hatia, wao na...
  18. Magonjwa Mtambuka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ufisadi wa Wakenya unawapeleka kubaya

    Tenki la maji liilojengwa kwa kulipua limelipuka siku chache kabla ya ufunguzi. Mkandarasi keshakunja mihela yake kibindoni. Rushwa imekithiri.
  19. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Jemadari wa Vita Bora hujulikana kwenye Vita Magufuli umepigana Vita ya ufisadi na Corona upewe kipindi kingine

    Jemadari mzuri hujulikana na kukubalika kwa Vita kubwa nzito alizopigana Nyerere alipigania Uhuru Vita kubwa Mwinyi alirithi nchi haina hata Mia Mia ya Pesa za kigeni akafufua uchumi,Mkapa akatafuta solution za mashirika yaliyokuwa yakipata hasara kwa kuyauza kwa wawekezaji, Kikwete akatoa...
  20. mgt software

    JamiiForums Tanzania Yako wapi Magazeti nguli yaliyovutia kuyasoma? Nani kayazuia kuibua ufisadi, au swala hili wameiachia CAG? Je, wameishiwa mbinu za kijasusi?

    Wana JF, Tangu Rai inunuliwe Watanzania tumeishiwa na hamu ya kusoma magazeti, zamani kulikuwepo waandishi nguli wasio waoga waliokuwa wanapambana na serikali kufichua maovu hata kama habari itawaweka matatizoni. Siku hizi magazeti yote yamegeuka kuanza kuisifia serilali, au au kushadadia...
Back
Top Bottom