ufisadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Wabadhirifu wa miradi wanaliangamiza taifa

    ASKOFU wa Jimbo Katoliki la Mbinga, John Ndimbo amewaonya wabadhirifu wa fedha za miradi ya umma, kuacha uovu huo, kwani unaliangamiza taifa na kuumiza wananchi wa maeneo zilikoelekezwa kutumika. Aidha, amemtaka kila mwananchi kutenda haki kwa upendo katika eneo lake, iwe kazini au nyumbani...
  2. Influenza

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Chama cha Kijamii (CCK) mbaroni kwa kuomba rushwa ya Tsh. Milioni 50

    Picha: Renatus Muabhi Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU) inamshikilia Katibu Mkuu wa Chama cha Siasa kiitwacho Chama Cha Kijamii (CCK), Renatus Muabhi kwa kujifanya Mtumishi wa Taasisi hiyo Anadaiwa pia kuomba rushwa ya Tsh. Milioni 50 kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya...
  3. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Stiegler's Gorge una manufaa machache kitaifa kuliko faida, CCM walitakiwa kujibu hivi vyanzo vya umeme kwanza huu mradi una ufisadi

    Benki ya Dunia inapendekeza mkopo wa dola mi $ 100 ya miundombinu kwa ajili ya Tanzania kuongeza utalii na serikali ya Ujerumani hivi karibuni na ilisaini mkataba wa eruo € milioni 18 wa miaka 5 mpango hifadhi kwa Selous. Rais Magufuli kajinasibu kununua ndege ili kukuza utalii sijajua huo...
  4. n00b

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Uwekezaji wa NSSF wa Dege Eco Village(Kigamboni) haufai

    Asema bila kujali ulianzishwa na nani na kwa malengo gani ni uwekezaji usio na tija. Ungefanywa na kampuni binafsi ingeeleweka Asisitiza, tena kwa sasa ndio haufai kabisa kufuatia Serikali kuhamia Dodoma. Amewataka NSSF kujitafakari juu ya uwekezaji huu. Amesema kama SSRA wangekuwa makini...
  5. real G

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge yatoa sababu ya kucheleweshwa kwa mradi wa Dege ECo Village wa Kigamboni

    Mkurugenzi mkuu wa NSSF, Godius Kahyayara amesema mradi huo umeshatekelezwa katika awamu mbili Dar es salaam. Mvutano wa hisa kati ya Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) na kampuni ya Azimio, umeelezwa kuwa chanzo cha kuchelewa kwa mradi wa nyumba zaidi 7,000 zilizopo eneo la Dege Beach...
  6. real G

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Ujenzi wa Mji wa Kigamboni ulioanzishwa na NSSF (Dege Eco Village) unapigwa mnada

    Mradi mkubwa wa ujenzi wa mji mpya wa Kigamboni jijini Dar es Salaam uitwao Dege Eco Village, ulioanzishwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya jamii 'NSSF' ulisimama mwaka 2016 huku ikiripotiwa kuwapo kwa ufisadi wa zaidi ya TSH bilioni 179 katika mradi huo. Cha kufahamu ni kwamba sasa anatafutwa...
  7. mkadiriajimajenzi

    JamiiForums Tanzania Dege Eco Village Project, nini hatma yake?

    Ni takribani mwaka mmoja sasa tangu mradi huu wa NSSF upigwe stop, tayari ulishagharimu mapesa mengi mpaka hapo ulipofika lakini umeishia kuhifadhi panya, nyoka na kenge, Nini hatma yake? Lini utakuwa resumed au ndo mpaka uchunguzi ukamilike?
  8. C

    JamiiForums Tanzania Rais taifisha majengo ya kifisadi Dege Eco Village

    Mheshimiwa Rais katika hali ilivyo ni vigumu kuvunja mkataba na Akbar. Hebu fikiria ku 'confiscate' yale majengo kwa faida ya umma maana ni jipu lisilobebeka.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Mradi wa NSSF wa Dege Beach Kigamboni

    Land for Equity (Ardhi Kwa Hisa) na Mradi wa NSSF Dege Beach Kigamboni Jana Magazeti mengi yameandika kuwa kuna ufisadi mkubwa kwenye miradi ya Shirika la Hifadhi ya Jamii(NSSF), Hasa Mradi wa Dege Beach Huko Kigamboni ambapo imeelezwa na magazeti yetu ambayo yana editors na waandishi wasomi...
  10. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Kitwanga atoa ufafanuzi wa suala la Lugumi na uhusiano wake kuhusu kutumbuliwa kwake

    CHARLES Kitwanga, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi amesema kuwa, hajutii ‘kutumbuliwa’ na Rais John Magufuli, anaandika Moses Mseti. Ametoa kauli hiyo wikiendi iliyopita jimboni kwake Misungwi jijini Mwanza ikiwa ni takribani mwezi mmoja baada ya kung’olewa kwenye nafasi hiyo...
  11. TataMadiba

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lapewa siku 90 kuhakikisha mitambo ya LUGUMI inafanya kazi vituo vyote

    Ni baada ya Kamati ya Bunge iliyopewa kazi ya kufuatilia Sakata la Lugumi kuthibitisha kuwa vifaa mashine hizo zimefungwa katika vituo vyote. Agizo hilo limetolewa na Bunge kupitia kwa Naibu Spika, Dr. Tulia Ackson wakati akiahirisha Bunge la 11 leo mjini Dodoma ========== Habari wakuu, Leo...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Sinema sakata la LUGUMI: Mashine za utambuzi wa alama za vidole zaanza kufungwa kimya kimya

    Wakati sakata la kampuni ya LUGUMI Enterprises likiendelea kutikisa nchi, mashine za utambuzi wa alama za vidole, zimeanza kufungwa katika mikoa kadhaa ikiwamo ya Dodoma na Geita. Uchunguzi wa Mwananchi unaonyesha kwamba juzi mashine hizo zilifungwa katika vituo vya polisi vya wilaya za Mpwapwa...
  13. ally ngomanzito

    JamiiForums Tanzania Kama Rais ni mtetezi wa wanyonge na mtumbuaji majipu maarufu, kwanini hajamtumbua Said Lugumi?

    Baada ya kuwasilishwa Hotuba ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, ndani ya Bunge la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, ilitakiwa kuwasilishwa Hotuba ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, ikitakiwa kuwasilishwa na Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani katika...
  14. barafu

    JamiiForums Tanzania Mama wa Lugumi afariki kwa mshituko wa "tuhuma" za mwanae

    Breaking News : Mama wa Said Lugumu afariki dunia akiwa njiani kuja Dar kwa matubabu zaidi ,alipata tatizo la moyo baada ya tuhuma za kutisha za ufisadi kwa mwanae . Mr Lugumi kwa sasa yuko njiani kuelekea Mwanza kuandaa maazishi . Mungu amlaze marehemu mahali pema peponi , Amin! Akielezea...
  15. benzemah

    JamiiForums Tanzania IGP Mangu: Lugumi ilitekeleza mkataba wake na Jeshi la Polisi

    Mkuu wa Jeshi la Polisi – Inspekta Jenerali (IGP), Ernest Mangu amekanusha madai ya wabunge na hata taarifa zinazosambaa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari kuhusu kampuni ya Lugumi kushindwa kufunga mashine kwenye vituo vya Polisi 108 kama mkataba wake ulivyomtaka. Akizungumza mwishoni mwa...
  16. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Said Lugumi avunja ukimya kuhusu tuhuma za ufisadi zinazoikabili kampuni yake

    mkalamo Ndugu waandishi wa habari , nimewaita hapa leo ili niweze kutoa ufafanuzi wa mambo kadhaa kwa niaba ya Kampuni yetu ya LUGUMI ENTERPRISES LTD, kwa siku kadhaa kumekuwa na habari mbali mbali za kuchafua na kudhalilisha Kampuni yetu pamoja na Mimi Said Lugumi ambaye ni Mkurugenzi...
  17. U

    JamiiForums Tanzania How withdrawal of billions turned spotlight on Lugumi

    Utakatishaji mwingine wa fedha huu, benki hizi tatu ni lazima BOT wawapige faini. =================================== In Summary The Financial Intelligence Unit (FIU) reportedly investigated the suspicious transactions after bankers detected an unusual movement of funds from several accounts...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania PCCB wafungua kesi dhidi ya Lugumi na Jeshi la Polisi, IGP na Katibu wa Wizara waitwa Bungeni Dodoma

    Waziri wa Mambo ya ndani Charles Kitwanga amekana kuhusika kabisa na kampuni ya Lugumi ambayo kwa sasa inakabiliwa na kashfa nzito ya rushwa na uhujumu uchumi ambayo ilipewa tenda ya kufunga vifaa vya kuchukulia alama za vidole kwenye vituo vyote vya polisi kwenye Wilaya zote nchini na kushindwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mengi nyuma ya pazia kuhusu mkataba wa LUGUMI Enterprises na Polisi

    Baada ya Meneja msaaidizi wa Infosys kutokea kwenye video iliyokuwa akikanusha kuhusika kwa kampuni hiyo na Lugumu Enterprises, mimi niliamua kuwatafuta ofisini watu wa Bio-Metrica LLC, ambao ofisi yao iko Florida nchini marekani. Katika website yao wameonyesha baadhi ya kazi kubwa walizo wahi...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Sakata la Lugumi: Waziri Kitwanga kusababisha kuibuka kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu?

    Naamini kuna wabunge wataibua hoja ya kumtaka waziri huyu ajiuzulu na akigoma hoja hiyo itaelekezwa kwa boss wake(waziri mkuu) maana wabunge hawana mamlaka ya moja kwa moja ya kumwajibisha waziri bali wana mamlaka ya kumwajibisha waziri mkuu kwa kumpigia kura ya kutokuwa na imani nae. Namshauri...
Back
Top Bottom