OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,164
- 103,620
Kinondoni ilikusanya ushuru Bilioni 5.9 hawakupeleka benki zikaliwa na wajanja wachache.
Wizi wa fedha za Malipo ya Vibarua yasiyostahili Sh. 284,850,00
Halmashauri ya Manispaa ilifanya malipo ya Sh. 284,850,000 kwa ajili ya kuwalipa vibarua wa usafi wa barabara na kuzoa taka. Hata hivyo kulikuwa na ukiukwaji wa taratibu za malipo kutokana na nyaraka zilizoambatanishwa kuwa na kasoro mbali mbali ikiwamo; hati za malipokutoambatana na daftari la kuonyesha siku walizofanya kazi vibarua; sahihi za vibarua kutofautiana ikilinganishwa kati ya nyaraka za malipo ya vibarua (payroll) moja na nyingine ingawa majina ni yale yale; barabara walizofanyia usafi kutotajwa; kukosekana uthibitisho wa wenyeviti wa Serikali za Mitaa na wasimamizi wa vibarua husika, unaothibitisha kufanyika kwa zoezi la usafi/kuzoa taka na kukosekana kwa dokezo lililotoka idara tumizi kwenda kwa Mkurugenzi Mtendaji kuomba malipo.