ufisadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. barafu

    JamiiForums Tanzania Sakata la Lugumi: Gazeti la Nipashe latakiwa kuliomba Bunge radhi kwa upotoshaji

  2. The Wolf

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Lugumi: Wananchi tunaomba hizi Kamati za Bunge zichunguzwe

    Kutokana na kauli tata zilizotolewa na viongozi wa kamati mbili za bunge 1. Kamati ya mambo ya nje na ulinzi 3. Kamati ya P.A.C wananchi tunaomba hizi kamati zichunguzwe, mimi nikiwa mmoja wa wananchi hao nashindwa kuelewa mantiki ya kauli hizi mbili, je nini kinachofichwa? Kwa nini Lugumi...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Valentino Mlowola wa TAKUKURU aliwahi kuwa Boss Polisi, Atatendea haki faili la LUGUMI?

    Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru bwana, Valentino Mlowola aliwahi kuwa Chief of Police Inteligence na pia aliwahi kuwa RPC katika Jeshi hilo. Swali:Mtu ambae aliwahi kutumika Jeshi hilo leo hii ataweza kweli kusimamia uchunguzi dhidi ya Taasisi yake hiyo ya awali?Je,bwana huyu hana marafiki huko...
  4. Informer

    JamiiForums Tanzania Infosys IPS (T) LTD wakanusha kuhusika na LUGUMI katika kashfa ya ubadhirifu

    Kampuni ya INFOSYS IPS (T) LTD imekanusha taarifa zinazoenezwa katika mitandao ya kijamii kwamba kampuni hiyo inahusika na inashirikirikiana na Lugumi Enterprises katika kashfa ya ubadhirifu. Katika habari zilizosambaaa inasemekana kwamba kampuni ya Infosys ilipokea mabilioni ya shilingi kutoka...
  5. G Sam

    JamiiForums Tanzania Jaji Rwegasira: Nimeagizwa na ngazi ya juu kuulinda mkataba wa LUGUMI

    Katibu mkuu wa wizara ya mambo ya ndani jaji Projest Rwegasira ametoa ya moyoni kuhusu mkataba iliyopewa Lugumi Enterprises Ltd kusambaza vifaa maalum vya kuchukua alama za vidole kwenye vituo vyote vya jeshi la polisi nchini mwaka 2011. Ndugu Rwegasira amesema kuwa ameagizwa na mamlaka ya juu...
  6. magode

    JamiiForums Tanzania Mzee mwanakijiji na Humphrey Polepole mbona mpo kimya kuhusu ufisadi wa Lugumi?

    Wanajamvi Salaam; Kwa sasa habari kubwa kwenye vyombo vya habari vyote,ni kuhusu ufisadi wa kutisha unaohusisha jeshi la police na baadhi ya viongozi akiwemo waziri wa mambo ya ndani Charles kitwanga na kampuni yake ya INFOSY. Hawa jamaa niliowataja hapo juu,tangu wakati wa kampeni...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Lugumi wapelekwa kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama!

    Hii ndio Tanzania. Hii habari imeandikwa na gazeti la mtanzania la leo na Mwenyekiti wa Kamati hiyo ya Bunge, Balozi Adadi Rajabu amethibitisha mkataba huo kati ya Jeshi la Polisi na Kampuni ya Lugumi Enterprises kuwasilishwa mbele ya Kamati yake siku ya jana. =============== Njama nzito...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kuibuka sasa kwa kashfa ya LUGUMI ni mpango wa Mungu Watanzania wamjue waliomuamini na kumsifia

    Mungu ana makusudio kwa watu wake waliokuwa wameanza kulishwa matango pori kupitia vyombo vya habari kuwa amepatikana malaika tena mtenda haki asiyestahili hata kukoselewa na ukimkusoa wewe si mzalendo bali una wivu tu na chuki dhidi yake. Tumeaminishwa haangali sura,hana chama, anasimamia...
  9. chakii

    JamiiForums Tanzania Bunge latoa siku tatu kwa Jeshi la Polisi kuwasilisha mkataba wa Lugumi

    Bunge latoa siku tatu kwa Jeshi la Polisi kuwasilisha mkataba wa Lugumi wenye kiasi cha takribal Bil 37. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Kamati za Bunge Aishi Hilali ili mkataba huo uweze kupitiwa tena Bunge. Chanzo: East Africa Radio.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Sakata la Kampuni ya Lugumi: IGP na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani watupiana mpira

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini,Ernest Mangu na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya ndani,Jaji Meja Jenerali Projest Rwegasira, wameripotiwa kutupiana mpira kuhusu kuhusu ni nini kimesababisha kutokuwasilishwa kwa mkataba huo kwa kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali siku ya jana. Mangu anasema...
  11. accused

    JamiiForums Tanzania Suala la LUGUMI ni mtihani mgumu kwa Rais Magufuli, akiiweza hii basi tena

    Wandugu. Wengi kwasasa tunaelewa kinachoendelea kati ya uongozi wa jeshi la polisi na kamati ya bunge (PAC) katikati akicheza Saidi Lugumi na timu yake ya vigogo. Hii Leo jeshi la polisi lilipaswa kua limewasilisha mkataba wao na Lugumi Enterprises ikiwa ni pamoja na payment trends in which 99...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa kifisadi wa Lugumi kuwasilishwa mbele ya Kamati ya Bunge leo

    Mtakumbuka ule mkataba uliozua mjadala mkubwa kati ya jeshi la polisi na kampuni ya Lugumi ambayo mtoto wa rais mstaafu Ridhiwan Kikwete amekiri kuwa na urafiki na mmiliki wake. Leo mbivu na mbichi inajulikana baada ya kuwekwa hadharani mbele ya kamati ya bunge. Kashfa hiyo inatarajiwa kukigawa...
  13. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Ndugu wana JamiiForums, Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama Watanzania ambayo tungependa yafanyiwe kazi. Karibuni sana. MWONGOZO: Elezea jipu/kero yako na kama ina ufafanuzi wa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ujenzi Mkubwa unaoendelea Kigamboni(Dege Eco Village), ni mradi wa nani?

    Wana jamvi, Kuna mradi mkubwa wa ujenzi wa magorofa unaendelea Kigamboni. Ni Kigamboni ndandani mbele Zoo na naambiwa unaitwa "Dege Eco Village". Wengi wa wafanyakazi ni wazungu wenye asili ya Kituruki. Kazi inafanyika usiku na mchana. Wenye ukweli kuhusu mradi huo mtujuze. Karibuni...
Back
Top Bottom