ufafanuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Majaribio ya SGR Dar mpaka Morogoro yakwama, Vichwa havijakamilika kutengenezwa

    Serikali imesema majaribio ya SGR (Dar es Salaam-Morogoro) hayakuanza Mei 2023 kama ilivyopangwa kwa sababu vichwa vya treni havikukamilika kwa wakati.Kutokamilika kumetokana watengenezaji kutopata baadhi ya vipuri kutokana na athari za UVIKO19 na vita ya Ukraine na Urusi. Soma pia: Uzi mkuu...
  2. Mitungi 100 ya gesi ya January Makamba kwa ufafanuzi wa Spika Tulia ilikuwa siri, Salma Kikwete karopoka bila kujua?

    Leo katika uwasilishaji wa bajeti ya Wizara ya nishati na Madini Mama Salma Kikwete alimpongeza Waziri January Makamba kwa kutoa zawadi ya mitungi 100 ya gesi kwa kila Mbunge sintofahamu ikaanza pale Spika wa Bunge alipoanza kutoa ufafanuzi mwingi zaidi ya mwasilisha hoja juu ya ugawaji wa...
  3. Serikali imetoa ufafanuzi kuhusu ununuzi wa hisa za Tanga Cement unaofanywa na Twiga Cement

    SERIKALI IMETOA UFAFANUZI KUHUSU UNUNUZI WA TANGA CEMENT UNAOFANYWA NA TWIGA CEMENT Serikali imetoa ufafanuzi kuhusu ununuzi wa hisa za Tanga Cement unaofanywa na Twiga Cement, kuwa umefuata taratibu za kisheria na kwamba kampuni inayopinga ununuzi huo ya Chalinze Cement imeshafutiwa usajili...
  4. K

    Wakazi wa Kipunguni Dar es Salaam ambao tuliteseka zaidi ya miaka 20 mwaka huu tumefanyiwa tathimini ya majengo na ardhi. Tunasubiri malipo

    Mheshimiwa Rais mama yetu mpendwa. Wakazi wa Kipunguni Dar salaam ambao tuliteseka Zaid ya miaka 20 mwaka huu tumefanyiwa tathimini ya majengo na ardhi. Tunasubiri malipo. Lakini tunaona siasa zimeanza maana mpaka Sasa bado hatujajua lini tutalipwa. Ingawa mmbunge wetu Segerea Bona Kimori...
  5. Maswali ya Papo kwa Papo Kwa Waziri Mkuu, Waziri Mkuu Aulizwe Maswali, Ajibu Maswali na Kama ni Ufafanuzi wa Jambo Lolote, Waziri Mkuu Huru Kufafanua

    Wanabodi, Tangu Bunge la Bajeti lianze, Alhamisi ya leo ndio kwa mara ya kwanza Waziri Mkuu anautumia muda wa kujibu maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu. Sasa kwanza wenye access kualia Bunge live, angalieni maswali ya leo kwa Waziri Mkuu, kisha nitawaeleza kitu Karibuni UTANGULIZI...
  6. O

    Bank NMB wamenikata hela yote kinyume na makubaliano, nifanyeje?

    Nikiwa kama mtumishi wa umma nilikopa NMB bank lakini kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu nikafukuzwa kazi, hivyo marejesho bank mwajiri akawa hapeleki. Baada ya miezi nane kutokana na mambo ya rufaa nikafanikiwa kurejeshwa kazini na mwajiri kuamliwa kulipa mishahara yangu wakati...
  7. Wataalamu naomba ufafanuzi kwenye hili tukio

    Salaamu wana Jf baada ya kuonana na madaktari katika zahanati mbili tofauti za serikali yalinipata yafuatayo: Kwa ufupi niliingia zahanati ya kwanza saa moja asubuhi hadi saa nane mchana hapo nikaingia kwa daktari kwa masikitiko makubwa zahanati ya jimbo nikaandikiwa kipimo cha mkojo...
  8. Aliyegongwa na mwendokasi aruhusiwa, aliingia mzee mweusi, ila katoka kijana mweupe, tunaomba ufafanuzi

    Mnaoelewa kinachoendelea tunaomba majibu, mtu anaingiaje hospitali mzee na mweusi, halafu anatoka mweupe kijana? Picha chini inajieleza
  9. M

    Profesa Mkenda, tunaomba utupatie ufafanuzi

    Waziri wa Elimu hakika umekuwa unajitahidi sana kutendea haki Wizara unayosimamia na kwa hakika hapa mheshimiwa Rais anastahili kupongezwa kwa kukuona kuwa unafaa kuongoza Wizara hii jeti sana kwa taifa kwa ujumla. Mheshimiwa Waziri tunaomba dawati la wizara linalosimamia ubora wa elimu kutupia...
  10. Ufafanuzi wa NHIF baada ya kusitisha huduma ya Bima ya TOTO AFYA KADI

    Pia soma: NHIF yafuta Bima ya Afya kwa watoto "Toto Afya Kadi". NHIF yadai hawajafuta ila wameboresha
  11. R

    Afisa Elimu Jiji La Tanga, wazazi tunaomba ufafanuzi wa hii michango ya fedha

    1. Kila asubuhi watoto eti wanafanya mitihani. Mtoto anawajibika kuripoti shuleni saa 12 asubuhi na kuanza mtihani saa 12.30 asubuhi. Ada shiling 200 kila asubuhi. 2. Jumamosi mtihani. Toka saa 1 mpaka saa 7 mchana. Ada ya mtihani shilingi 1,200. Hii ndiyo utaratibu kutoka ofisini kwako? Au...
  12. Kuna Askari anayehusishwa na video ya vitendo vya aibu, Jeshi la Polisi lije na ufafanuzi kuweka mambo sawa

    Wiki hii kumetoke trending katika mitandao mingi ya ya kijamii inayomuonesha Askari polisi akiwa kwenye gari na akisikiliza wimbo wa Whozu "Vava vava Vavavavayo" . Nimezunguka Twitter kote na Instagram , kuna walioenda moja kwa moja na kumpa tuhuma za Ushoga. Sasa kwa kuwa video hiyo...
  13. J

    TBS watoa ufafanuzi kuhusu bidhaa ya Majani ya Chai ya "Safari Premium Tea"

    TAARIFA KUTOKA SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS) Ufafanuzi kuhusu bidhaa ya Majani ya Chai ya "SAFARI PRIMIUM TEA" @TBS_Tanzania ==== Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii inayoonesha utata unaotokana na taarifa...
  14. S

    Yanga inasikitishwa na Tamko lililotolewa na Mdhamini Sportpesa

  15. K

    Naomba ufafanuzi juu ya P2

    Naomba kuuliza:- 1. Hivi mwanamke akifanya sex na mwanaume 1 leo na akameza p2 then kesho kutwa ake akafanya tena sex na mwanaume wa 2 Ikatokea akawa na mimba je iyo mimba inakuwa ya mara ya 1 au mara 2?
  16. Msaada wa ufafanuzi wa uhamisho kutoka Halmshauri kwenda Mamlaka ya Bandari

    Habari wana JF, Pasipo kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni mtumishi kwenye Halmshauri X, nimeajiriwa kama afisa mtendaji, ila kwa bahati mzuri nina diploma ya shipping and port operation management pale Bandari College sasa lengo langu...
  17. Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi

    Hello Wadau. Papa Francis wa RC ya Vatican ameupiga mwingi kwa kuunga mkono ushoga na kusema mashoga siyo wahaliifu, na kwamba ni wana wa Mungu pia.🙄🙄 Haijaeleweka mara moja ikiwa huu ndiyo msimamo wa Kanisa Katoliki au ni maoni binafsi ya Papa Francis. Commets ziwe fupi fupi tafadhali. Video...
  18. Ufafanuzi kuhusu nyumba ya Mwalimu wa Shule ya Msingi Maweni, Igunga inayosambaa mitandaoni

    UFAFANUZI KUHUSU NYUMBA YA MWALIMU WA SHULE YA MSINGI MAWENI, IGUNGA INAYOSAMBAA MITANDAONI Tarehe 20 Septemba 2021 nikiwa naendelea na Ziara ya Kijiji kwa Kijiji kwenye Jimbo la Igunga, Nikiwa na Wasaidizi wa Ofisi ya Mbunge na Waandishi wa Habari, tulifika Shule ya Msingi Maweni iliyopo...
  19. Naomba ufafanuzi kuhusu private candidate

    Habari wana JF ninaomba kuuliza kwa kujua je nitaruhusika kufanya mtihani wa Advance kama ikiwa kwenye matokeo yangu ya O level nina PHYSICS-D HISABATI-C ENGLISH L-C HISTORY-D CHEMISTRY-C CIVICS-D GEOGRAPHY-D KISW -C BIOS- D Comb nnayotaka kuisoma itakuwa CCD , Je naweza kuruhusiwa kufanya pepa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…