Bachelor of Science in Accounting and Finance hii ndio kozi gani nimeshindwa kuelewa kabisa nipeni ufafanuzi hilo neno Science.
Na ina utofauti gani na BAF
Kwa mujibu wa taarifa hapo juu, Gloves sio lazima kuvaliwa wakati wa kuchoma chanjo ya COVID-19.
Hivyo tunapenda kuwatoa hofu wananchi kuwa Mhudumu aliyewachoma chanjo Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na viongozi wengine alikuwa anatekeleza majukumu yake kwa kufuata taratibu zote ikiwemo...
Nimeona kuna wanajiita wachambuzi au wanamichezo wanapotosha makusudi ama hawajui haya mambo.
Wanadai azam media wakiipa pesa Simba kupitia mkataba wa haki za matangazo basi mudi atakata 49% kinachobaki ndo kinaenda Simba SC Tanzania. Huo ni uongo na upotoshaji.
Hesabu za kupata gawio...
Mhe. Waziri wa Utumishi, ili kuondoa manung'uniko, upotashaji na sintofahamu iliyotokea baada ya mishahara ya mwezi huu wa June kutoka huku baadhi ya watumishi wakiwa wamepandishwa madaraja na kupata mishahara mipya ila hali wengine hakuna kilichobadilika, nakushauri utoe ufafanuzi wa jambo hili...
Kuna malalamiko mengi sana juu ya soko la shapa kupaa!
Gharama ya mauzo na manunuzi ya shaba (copper) imepaa sana kwa zaidi ya 45%-55% ya bei ya awali je tatizo ni nini?
Nani anafahamu kwa nini soko la madini hayo limepaa sana?
Shida iko wapi? Wenye majibu tafadhali
Naaam,
Kwa taarifa nilizonazo sio wote waliostahili daraja jipya la mshahara wamepata.
Kuna kundi kubwa la watu wametoka bila bila
Serikali itoe ufanunuzi kwanini hao wengine wamewekwa reserve.
Je, watapanda lini?
Na je, hamuoni mnatengeneza tatizo jipya la malimbikizo huku mkitatua la...
Wadau nimemsikia Waziri akitangaza kuhusu KODI ya Jengo kuwa Kila NYUMBA yenye UMEME Kodi hiyo italipwa Kwa kukataa kwenye LUKU. Naomba kujua Machache.
1. Kodi ya Jengo ni Kiasi gani?
2. Je, Kiwanja kama ni kimoja kina Nyumba 3 na kila Nyumba ina LUKU Je Nyumba zote 3 zinalipa KODI?
3...
DKT MWIGULU, WAZIRI WA FEDHA NINAOMBA UFAFANUZI KIDOGO JUU YA MAKATO YA VOCHA.
Na Elius Ndabila
0768239284
Kwanza Mhe Waziri nikupongeze kwa hotuba YAKO nzuri ya Bajeti. Mimi si mchumi, lakini niliisikiliza na nimeisoma nimeona ni bajeti ambayo inagusa maisha halisi ya Mwananchi. Ni bajeti...
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ametoa ufafanuzi wa baadhi ya tozo alizowasilisha bungeni wakati wa Mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22 na kuleta mkanganyiko kwa wananchi ikiwemo makato ya miamala ya simu, kodi ya majengo kwa njia ya...
Wadau Kuna mdada nilikutana nae humu mitandaoni tukaelezana ya kwetu mpaka na contacts tukapeana tukatafutana mpaka tukaonana!
Tukakubaliana tuingie kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa sharti la kupima afya kwanza! Kabla ya kupima afya huyu mdada alinipeleka mpaka kwa ndugu zake wa karibu...
Wataalam habari za Muda huu?
Naomba msaada wa elimu katika hili.
Baada ya kuishi na mke wangu kwa muda wa miaka mitatu Sasa bila kupata hata dalili yoyote ya mimba maana hata period yenyewe haieleweki unakuta mwezi huu kaingia tarehe hii mwezi ujao tarehe nyingine tena au inatokea inapita Ata...
Asalaam Aleykum wakuu poleni na majukumu ya hapa na pale, shida yangu ni kuhusu hizi online market Alibaba na Amazon,
Naomba kwa wanaofahamu wanipe ABCD's kuhusu uaminifu wao, na kama kuna scammers nawatokaje.
Nina hitaji kununua gemstone, niliingia Alibaba nimeona kuna masonara wa Pakistan...
Nakumbuka Waziri Kabudi wakati yuko Mambo ya Nje alikuwa akitoa ufafanuzi mrefu kila amalizapo kuongea na Balozi yeyote kutoka ughaibuni.
Lakini kwa Waziri Mulamula imekuwa tofauti yeye huwa na maelezo mafupi tu ya kile kilichozungumzwa kwa mfano jana baada ya kuongea na Balozi wa Marekani...
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza hapo juu,
Kuna ndugu yangu aliyehitimu kidato cha sita mwaka 2019 lakini kulingana na halii ya uduni wa maisha alishindwa kujiunga ma Elimu ya juu licha ya kwamba katika udahili uliofanywa mwaka huo alichaguliwa chuo Cha Ardhi Bsc. in Environmental Science...
Dodoma!
Akizungumza Leo katika kongamano la Muungano jijini Dodoma, Makamu wa Raisi Dr . Philip Mpango amesema Raisi Samia Suluhu Hassan ameelekeza Fedha zilizotakiwa kutumika katika shughuli za maadhimisho ya miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zigawanywe pande hizo mbili...
Salaam wana JF,
Kama heading inavyojieleza kuna kiasi cha pesa kinachokatwa kwenye kila gari inayoingizwa nchini kupitia bandarini, labda na kwingineko kinaitwa railway levy.
Mimi kwa uelewa wangu nadhani hii pesa ni kwa ajili ya maendeleo ya reli hasa ujenzi na ukarabati. Katika ufahamu wangu...
Kiukweli ni ngumu sana kuchambua kati ya mkimbizi na gaidi,nani anaweza kuwachambua? Msumbiji wilaya moja ndio ina magaidi kwanin wanamsumbiji wasikimbilie maeneo mengine ya nchi yao?
Kuwakubali wakimbizi wa Msumbiji ni kukubali kuishi na 🐍 siku yoyote atakung'ata tu.
Chanzo:Waziri wa mambo...
Meneja wa fedha wa kampuni ya Clouds Media Group, Issa Masoud amesema walitoa vielelezo vyote ikiwa ni pamoja na stakabadhi kwa Wizara ya Maliasili na Utalii kufuatia malipo ya Sh 629.7 milioni kwa ajili ya matangazo ya tamasha la urithi mwaka 2018.
Masoud ametoa ufafanuzi huo leo Alhamisi...
Heshima zenu wakuu
Mara nyingi naona watu wakijaza magari yao full tank kwa kuinua tairi la nyuma upande wa tank ili lijae zaidi ya pale pump ilipokata mpaka yanaonekana karibu kumwagika na wakati mwingine wanatikisa gari ili mafuta yaingie zaidi. Je ni kweli mtindo huu huharibu gauge ya mafuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.