Naomba ufafanuzi kuhusu private candidate

ChampN199

Member
Jul 5, 2021
21
44
Habari wana JF ninaomba kuuliza kwa kujua je nitaruhusika kufanya mtihani wa Advance kama ikiwa kwenye matokeo yangu ya O level nina
PHYSICS-D
HISABATI-C
ENGLISH L-C
HISTORY-D
CHEMISTRY-C
CIVICS-D
GEOGRAPHY-D
KISW -C
BIOS- D
Comb nnayotaka kuisoma itakuwa CCD , Je naweza kuruhusiwa kufanya pepa ? Nimemaliza O level mwaka 2013.
Msaada tafadhali
 
Sheria za mitihani za NECTA zinataka mtahiniwa wa kidato cha 6 awe na pass 3 za ufaulu kwa mtihani wa kidato cha 4. Yaani wao ili mtu asome form 6 (private) wanaangalia credit 3 (C tatu) bila kujali zimekaaje, yaani unaweza kuwa na C ya Hesabu, C ya Civics na C ya Agriculture, utastahili kusoma combination yoyote utakayo. Suala la kufaulu au kufeli combination hiyo litakuwa juu yako, hiyo uliyosena CCD ingekua na maana kama tungekuwa tunaongelea wewe kustahili kuchaguliwa shule za serikali. Kwa hiyo una sifa za kusoma combination yoyote utakayo
 
Daaah ahsante saana bro ,,,,,, nashukuru sana ndugu yangu ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Habari wana JF ninaomba kuuliza kwa kujua je nitaruhusika kufanya mtihani wa Advance kama ikiwa kwenye matokeo yangu ya O level nina
PHYSICS-D
HISABATI-C
ENGLISH L-C
HISTORY-D
CHEMISTRY-C
CIVICS-D
GEOGRAPHY-D
KISW -C
BIOS- D
Comb nnayotaka kuisoma itakuwa CCD , Je naweza kuruhusiwa kufanya pepa ? Nimemaliza O level mwaka 2013.
Msaada tafadhali
Unaruhusiwa kwa combination yoyote as far as una C tatu tayari. Ila kipanga mtarajiwa.....๐Ÿ˜
 
Sheria za mitihani za NECTA zinataka mtahiniwa wa kidato cha 6 awe na pass 3 za ufaulu kwa mtihani wa kidato cha 4. Yaani wao ili mtu asome form 6 (private) wanaangalia credit 3 (C tatu) bila kujali zimekaaje, yaani unaweza kuwa na C ya Hesabu, C ya Civics na C ya Agriculture, utastahili kusoma combination yoyote utakayo. Suala la kufaulu au kufeli combination hiyo litakuwa juu yako, hiyo uliyosena CCD ingekua na maana kama tungekuwa tunaongelea wewe kustahili kuchaguliwa shule za serikali. Kwa hiyo una sifa za kusoma combination yoyote utakayo
Very well said.
 
Si bora ukaanzie diploma kama ni PCM maana mziki wake sio mdogo. ila kama hkl one kali uhakika.
Nikweli ndugu yangu, sema nahitaji bachelor mana nipo kazn kuna target fulani nilitamani kuifika. Mbeleni ingenisaidia ndio maana nikauliza je itawezekana kwa CCD ... PCM kupga pepa ? Ilikuwa ndo means yake hiyo bro๐Ÿ™
 
Dogo achana na bla bla kapige PCM haina ugum wowote, mapema kabisa anza kusoma na ku solve vipepa... one au two hii hapa...

Don't you let anyone tell you, it's tough and you cant do it.... Go make it happen darling.
 
U give me more hope , bro thank you mungu aku bless sana ๐Ÿ™๐Ÿ‘
 
Sheria za mitihani za NECTA zinataka mtahiniwa wa kidato cha 6 awe na pass 3 za ufaulu kwa mtihani wa kidato cha 4. Yaani wao ili mtu asome form 6 (private) wanaangalia credit 3 (C tatu) bila kujali zimekaaje, yaani unaweza kuwa na C ya Hesabu, C ya Civics na C ya Agriculture, utastahili kusoma combination yoyote utakayo. Suala la kufaulu au kufeli combination hiyo litakuwa juu yako, hiyo uliyosena CCD ingekua na maana kama tungekuwa tunaongelea wewe kustahili kuchaguliwa shule za serikali. Kwa hiyo una sifa za kusoma combination yoyote utakayo
Napiga mstari
 
Naomba kuuliza,naweza kusoma science form five kwaatokeo haya
Physics-D
Biology-C
Chemistry-B
Math-D
Geography-D
Na masomo yaliyobakia yote nina C
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom