Bank NMB wamenikata hela yote kinyume na makubaliano, nifanyeje?

Ojee

New Member
Apr 21, 2023
2
5
Nikiwa kama mtumishi wa umma nilikopa NMB bank lakini kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu nikafukuzwa kazi, hivyo marejesho bank mwajiri akawa hapeleki.

Baada ya miezi nane kutokana na mambo ya rufaa nikafanikiwa kurejeshwa kazini na mwajiri kuamliwa kulipa mishahara yangu wakati aliyokuwa amenifuta kazi kimakosa.

Nilivorudi kazini mwezi wa kwanza tu NMB Bank akaendelea na utaratibu wa kurejeshewa kiasi kilekile nilichokuwa nimeingia naye mkataba lakini pia take home yangu akachukua bila hata kujulishana, pia akaunt yangu inasoma some negative figures equal na lile deni la miezi nane ambayo sikuwa mtumishi.

Nilivoona hivyo niliwafata NMB tawi nililokopa wakanieleza hilo ni deni la nyuma na watakata take home hadi liishe, kisheria hii scenario yangu imekaaje?

Kuna eneo lolote naweza kupata unafuu kisheria?
 
Ukiongeza na riba ya adhabu acha tu mwanangu, utakatwa mpaka.

Kwa kuwa una mkataba nao wao wanakomoa tu.

Andika barua kuomba kuendelea kukatwa yale makubaliano na hiyo miezi uliyosimama kukatwa wakate hata nusu.

NMB wanatunyonya sana na ndo maana wote wamenona hovyo hovyo,
 
Nikiwa kama mtumishi wa umma nilikopa NMB bank lakini kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu nikafukuzwa kazi, hivyo marejesho bank mwajiri akawa hapeleki.

Baada ya miezi nane kutokana na mambo ya rufaa nikafanikiwa kurejeshwa kazini na mwajiri kuamliwa kulipa mishahara yangu wakati aliyokuwa amenifuta kazi kimakosa.

Nilivorudi kazini mwezi wa kwanza tu NMB Bank akaendelea na utaratibu wa kurejeshewa kiasi kilekile nilichokuwa nimeingia naye mkataba lakini pia take home yangu akachukua bila hata kujulishana, pia akaunt yangu inasoma some negative figures equal na lile deni la miezi nane ambayo sikuwa mtumishi.

Nilivoona hivyo niliwafata NMB tawi nililokopa wakanieleza hilo ni deni la nyuma na watakata take home hadi liishe, kisheria hii scenario yangu imekaaje?

Kuna eneo lolote naweza kupata unafuu kisheria?
kaa nao chini warestructure upya
 
Nashukuru kwa michango wadau. Nimehamishia CRDB mshahara wangu, nao NMB wanaendelea kupokea makato ya awali. Na ninajiandaa niuze deni hilo CRDB ili lile deni lijikusanye wakati nilipofukuzwa kazi nipate kulilipa.
 
Nikiwa kama mtumishi wa umma nilikopa NMB bank lakini kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu nikafukuzwa kazi, hivyo marejesho bank mwajiri akawa hapeleki.

Baada ya miezi nane kutokana na mambo ya rufaa nikafanikiwa kurejeshwa kazini na mwajiri kuamliwa kulipa mishahara yangu wakati aliyokuwa amenifuta kazi kimakosa.

Nilivorudi kazini mwezi wa kwanza tu NMB Bank akaendelea na utaratibu wa kurejeshewa kiasi kilekile nilichokuwa nimeingia naye mkataba lakini pia take home yangu akachukua bila hata kujulishana, pia akaunt yangu inasoma some negative figures equal na lile deni la miezi nane ambayo sikuwa mtumishi.

Nilivoona hivyo niliwafata NMB tawi nililokopa wakanieleza hilo ni deni la nyuma na watakata take home hadi liishe, kisheria hii scenario yangu imekaaje?

Kuna eneo lolote naweza kupata unafuu kisheria?
Ulivyosimamishwa, hukuenda kuongea na nmb?
 
Dawa ya deni kulipa.....Rajesho kila mwezi......kuna miezi kadhaa hawakukata pia ukimaliza sidhani watakupa tena utashangaa.......utatiwa defaukter.....hawakupiii
 
Back
Top Bottom