Chawa wa chuma
Member
- Jan 24, 2023
- 56
- 36
Salaamu wana Jf baada ya kuonana na madaktari katika zahanati mbili tofauti za serikali yalinipata yafuatayo:
Kwa ufupi niliingia zahanati ya kwanza saa moja asubuhi hadi saa nane mchana hapo nikaingia kwa daktari kwa masikitiko makubwa zahanati ya jimbo nikaandikiwa kipimo cha mkojo kikakosekana nikiwa nimeambatana na mtoto wangu wa kiume ambaye yeye ndio alokuwa mgojwa baada kukosa hicho kipimo na muda mwingi umeenda nikaambiwa kapime nje tuletee majibu kwa hasira nikamwambia mtoto tusirudi pale tukawa tumeondoka tukafika zahanati nyengine sasa ni saa nane na nusu hapa tukaonana tena na daktari akatushauri tukapime vipomo viwili hapa chap chap tukalipa pesa za vipimo tukapata majibu yetu tukaingia tena kwa dk.
Akaandika dawa nyengine tukapata kwenye dirisha la dawa nyengine tukaenda kununua tukarudi nyumbani
kilichotokea baada ya kumeza dawa huyu mtoto akaanza kuvimba mwili wote hadi ndani ya kinywa na ulimi nikachanganyikiwa nikarudi zahanati nyengine ya karibu saa tatu usiku apate angalau fast aid akatibiwa nikalipa tukatoka na kurudi nyumbani lakini bado hadi asubuhi mtoto macho yanawasha pia yamevimba naomba ushauri pia dawa alizotumia ni hizo mnazoziona hapo je nini shida?
Naomba kuwasilisha wakuu.