Kuna Askari anayehusishwa na video ya vitendo vya aibu, Jeshi la Polisi lije na ufafanuzi kuweka mambo sawa

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,734
6,292
Wiki hii kumetoke trending katika mitandao mingi ya ya kijamii inayomuonesha Askari polisi akiwa kwenye gari na akisikiliza wimbo wa Whozu "Vava vava Vavavavayo" .

Nimezunguka Twitter kote na Instagram , kuna walioenda moja kwa moja na kumpa tuhuma za Ushoga. Sasa kwa kuwa video hiyo inamuonesha akiwa na Gwanda. Hii ni aibu na inachafua taswira ya Jeshi la Polisi.

Why dont you come out and mtoe ufafanuzi za je ni uzushi am si uzushi, na kwa kuwa nyie ndo mamlaka ya usimamizi wa sheria, kwa nini msichukue hatua za kisheria ikibainika ni kweli ama si kweli.
1. Kama ni kweli asimamishwe kazi na kuchukuliwa hatua za kisheria.
2. Kama sikweli asisimamishwe kazi na waliozusha na kutengeneza uvumi huo wachukuliwe hatua.

Picha nyingine inayosambazwa ni hii:
FqMOz2hXwAESgC6.jpg
 
Kama aliluwa kavaa uniform au yuko kazini hii ni fedhea kubwa sana kwa Jeshi let. .

Disgrace to the uniform 😒
 
Roho za kishoga zinasambazwa na video za ponografia. Hiyo ni ajenda ya wazi kabisa huko ulaya.

Watu wazima wa hovyo wanataka kujaribu kila kitu. Tuwalinde sana watoto waliopo kwenye balehe.

Adhabu ya ulawiti iwe ni kifo. Tuwakomeshe watu wazima wanaoharibu watoto.
 
Wiki hii kumetoke trending katika mitandao mingi ya ya kijamii inayomuonesha Askari polisi akiwa kwenye gari na akisikiliza wimbo wa Whozu "Vava vava Vavavavayo" .

Nimezunguka Twitter kote na Instagram , kuna walioenda moja kwa moja na kumpa tuhuma za Ushoga. Sasa kwa kuwa video hiyo inamuonesha akiwa na Gwanda. Hii ni aibu na inachafua taswira ya Jeshi la Polisi.

Why dont you come out and mtoe ufafanuzi za je ni uzushi am si uzushi, na kwa kuwa nyie ndo mamlaka ya usimamizi wa sheria, kwa nini msichukue hatua za kisheria ikibainika ni kweli ama si kweli.
1. Kama ni kweli asimamishwe kazi na kuchukuliwa hatua za kisheria.
2. Kama sikweli asisimamishwe kazi na waliozusha na kutengeneza uvumi huo wachukuliwe hatua.

Picha nyingine inayosambazwa ni hii:
View attachment 2534419
Aisee!

Samaki mmoja akioza .........
 
Mwanaupinde huyo mwana kupumliwa.
 
Back
Top Bottom