uchumi

  1. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Manunuzi ya mtandao yamekuwa msukumo mpya wa ukuaji wa Uchumi wa China

    Baada ya kudhibitiwa kwa kuenea kwa virusi vya Corona, uchumi wa China umeaanza kufufuka kwa kasi. Na manunuzi mtandaoni yamekuwa msukumo mpya wa ukuaji wa uchumi. Mjini Shanghai, takwimu zinaonyesha kuwa katika mwezi Mei, thamani ya manunuzi kupitia mtandao wa internet imefikia takriban Yuan...
  2. J

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Corona: Hatimaye Rais Museveni asalimu amri, apinga ufanisi wa curfew za usiku, aungana na Magufuli

    Ikumbukwe hapa kuwa ni Rais Magufuli pekee barani Afrika aliyekataa kuwafungia wananchi ndani yaani lockdown licha ya shinikizo kubwa kutoka kwa Chadema na ACT wazalendo. Rais Museveni wa Uganda amesema uamuzi wa kuwafungia wananchi ndani ni kuwatesa na kuuwa uchumi wa nchi. Museveni amesema...
  3. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa kituo cha mafuta kufikishwa mahakamani kwa uhujumu uchumi

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa wilayani Simanjiro mkoani Manyara kwa kushirikiana na ofisi ya Taifa ya mashtaka mnamo tarehe 22/06/2020 itamfikisha katika mahakama ya wilaya ya Simanjiro mmiliki wa kituo cha mafuta Simon Lemeya kilichopo Wilaya ya Simanjiro Simon Lemeya Tukai. Lemeya...
  4. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania ‘Namba zinanuka’ – kwanini nasema bado uchumi wetu upo kwenye mkwamo?

    Wanasiasa wanajaribu kutumia nguvu kuaminisha wananchi kwamba uchumi wa Tanzania unakua na maisha ya watu yanaimarika. Ila wanasahau kwamba namba hazipo upande wao na takwimu hazidanganyi. Wao pengine wana maana yao kusema kwamba uchumi unakuwa, kwa sababu ni mtaji wa kisiasa, ukisema uchumi...
  5. WilsonKaisary

    JamiiForums Tanzania Mambo haya yakifanywa uchumi na maisha ya Watanzania yatakimbia 2020-2025

    MAMBO HAYA YAKIFANYWA UCHUMI NA MAISHA YA WATANZANIA YATAKIMBIA 2020-2025 Habarini waheshimiwa. Ebwana bila kupoteza muda kuna vitu vichache naona nishare hapa,unaweza kuongezea kama kuna kitu cha kuboresha. Naomba moja kwa moja niende kwenye vitu Vinne(4)Vinavyoweza kugusa na kuinua taifa...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mbunge Nchambi na wenzake 2 wakiri makosa ya uhujumu uchumi na kulipa faini

    Mbunge wa Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga, Suleiman Masoud Nchambi (CCM), pamoja na wenzake wawili wamekiri makosa dhidi ya kesi iliyokuwa ikiwakabili ya Uhujumu Uchumi, na kuamuliwa kulipa faini kila mmoja au kwenda Jela, ambapo wote wamelipa faini na kuachiwa huru. i/ Nchambi amekabilia na...
  7. paul sylvester

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo, ungependa nini cha kufanyiwa kazi ambacho kitaleta mabadiliko ya kiuchumi kwa haraka katika Serikali ijayo 2020 - 2025?

    Tumeona mengi na makubwa na Pengine Yale ambayo hatukuamini kwamba yatafanyika katika Taifa letu Kwa kipindi kifupi Tu cha miaka mitano, Yamefanyika, Nami sitaki kuyarejelea yaliyofanyika, kwani kila mtu ni shuhuda wa yaliyofanywa na serikali inayomaliza muda wake, na mwenye macho haambiwi...
  8. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya teknolojia ya kidijitali katika kuendeleza uchumi wa Tanzania

    Katika miaka mitano iliyopita, idadi ya watumiaji wa simu katika eneo la Afrika, Kusini mwa Jangwa la Sahara imeongezeka mara dufu. Kwa mujibu wa GSMA (Shirika la Kimataifa la Makampuni ya Simu), mpaka mwisho wa mwaka 2018, idadi ya watumiaji wa simu za mkononi katika eneo hili ilikuwa...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Katibu AMCOS afikishwa Mahakamani kwa uhujumu uchumi

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Itilima mkoa wa Simiyu jana imemfikisha mahakamani katibu wa Chama cha msingi cha Ushirika cha Mwanga kituo cha Nangale Wilayani humo Masanja Mbula kwa kesi ya uhujumu uchumi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na taasisi hiyo jana...
  10. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Kubadilisha Marais & vyama vingi ndio sababu pekee ya kukua kwa uchumi wa Tanzania

    Pamoja na mambo mazuri mengi ambayo Mwalimu Nyerere aliyeyafanya ambayo pengine hayatakuja sahaulika hata kizaizi na kizaizi lakini Tanzania imerudi nyumba sana kipindi cha Mwalimu Nyerere kutokana na kukaa muda mrefu madarakani. Laiti kama Nyerere angeachia madaraka mapema na kuruhusu vyama...
  11. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

    USHAHIDI wa awali wa Jeshi la Polisi nchini kuhusu madai ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni Freeman Mbowe umeonesh kuwa siku hiyo ya tukio Mbowe alikuwa amelewa chakali na alizunguka kwenye kumbi mbalimbali za...
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Watu 8 wakiwamo Watumishi 7 wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kushitakiwa kwa makosa ya rushwa na Uhujumu Uchumi

  13. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Kwenye utawala bora, Ulinzi na Usalama Serikali haijaonyesha fedha zilizokusanya kwa waliosamehewa kwa makosa ya Uhujimu uchumi...

    Kwenye utawala bora, Ulinzi na Usalama Serikali haijaonyesha fedha zilizokusanya kwa waliosamehewa kwa makosa ya Uhujimu uchumi... Inawezekana pesa zile zimekuwa za mtu binadsi sio mali ya umma. Kwenye mapato ya serikali hazipo
  14. HIMARS

    JamiiForums Tanzania IMF yaisamehe Tanzania deni la Tsh. Bilioni 33 kwa ajili ya Corona

    Kama inavyojieleza hapo ======= IMF Executive Board Approves $14.3 Million Debt Relief to the United Republic of Tanzania Under the Catastrophe Containment and Relief Trust The IMF Executive Board approved debt relief under the Catastrophe Containment and Relief Trust to provide US$14.3...
  15. Cvez

    JamiiForums Tanzania Uchumi ni tatizo kubwa katika ndoa za Vijana

    Jioni hii nimekaa room kwangu mara nasikia majirani (wake zao) wametoka kwenye mizunguko yao. Katika hii nyumba kuna wapangaji watatu wawili ni familia bachelor ni mimi tu. Punde nasikia moja ya jirani yangu analalamika kwa mwenzie kua mmewe karudi kapiga msosi wote bila kujali kua yeye kala au...
  16. OLS

    JamiiForums Tanzania BoT: Coronavirus imeathiri uchumi wa Tanzania tangu Machi

    Katika ripoti ya uchumi iliyotolewa na Benki Kuu ikionyesha hali ya uchumi kwa mwaka ulioisha mwezi wa Aprili imeonyesha kuwa #COVID19 imesababisha uchumi kufanya vibaya Ripoti imesema #COVID19 imeharibu ualishaji na uhitaji (Supply and Demand) kutokana na hatua ambazo zimekuwa zikichukuliwa na...
  17. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania WORLD BANK: Tanzania economic growth will drop sharply to 2.5% in 2020 from the projected 6.9% by the government due to effects brought by COVID-19

    WORLD BANK: #Tanzania economic growth will drop sharply to 2.5% in 2020 from the projected 6.9% by the government due to effects brought by COVID-19. There are risks for even slower growth if additional policy response is delayed, or the external environment does not improve...
  18. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Mikakati ya kudidimiza uchumi wa Chato

    GTs, Nakuja kwenu na hisia. Usalama barabarani barabara ya Kwenda Bukoba kupitia Chato kwa muda sasa imekua na maafisa usalama barabarani wenye nia ovu ya kuhakikisha mabasi yaendayo Bukoba kupitia Chato hayapiti ili kudidimiza uchumi wa Chato. Kuna kipindi mabasi yote yalipita Chato...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa ajira na ukweli kuhusu Tanzania ya viwanda

    Anaandika John Sm Mgejwa Kuna kipindi nchini Kenya hasa mwaka 2009/10 kwenye mapato yaliyokuwa yanakusanywa kwa mwaka, 47.3% ya Fedha zilizokusanywa zilikuwa zinatumika kulipa mishahara ya watumishi, kiwango hiki lilikuwa juu ya kile Cha kimataifa ambacho ni 35% ya makusanyo yote. Hii ina...
  20. J

    JamiiForums Tanzania CCM ijikite kwenye Siasa ya uchumi iachane kushughulikia hawa akina CHADEMA maana wameshajifia, Uchumi wa dunia unadorora!

    Kwa ukubwa wa kiumri na majukumu iliyoyonayo CCM si haki wala wajibu kutumia muda wake mwingi kushughulikia vyama vidogo vidogo vya upinzani mfano wa Chadema na ACT wazalendo. Ifike wakati sasa CCM ijikite kushughulikia maswala makubwa ya uchumi katika level ya taifa na ile ya mtu mmoja mmoja...
Back
Top Bottom