uchumi

  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mpaluka Mdude Nyagali abadilishiwa mashtaka ya Uhujumu uchumi, asomewa ya Kusafirisha Dawa za Kulevya

    Upande wa mashtaka umemuondolea kada wa CHADEMA, Mdude Nyagali shtaka la uhujumu uchumi lililokuwa likimkabili na kumfungulia shtaka la jinai la kusafirisha dawa za kulevya. Hii ndiyo taarifa mpya kutoka mahakamani huko Mbeya . Sasa amebambikwa mashitaka mapya ya usafirishaji wa madawa ya...
  2. technically

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli bila kuleta Mageuzi ya Uchumi wa watu, Nchi utaiacha ikiwo hoi sana kiuchumi

    Wafanyakazi waongezwe mishahara ili kuongeza parchasing power, Wakulima wapewe ruzuku kwenye dhana za kilimo mbolea, matrekita, wajasiliamali wanahitaji sera bora za upatikanaji wa mitaji na bima za kiserikali za kulinda mitaji yao, Wafanyabiashara wanahitaji upatikanaji wa mitaji na sera bora...
  3. Zitto

    JamiiForums Tanzania Korona: Watanzania Tujilinde, Serikali inajali Uchumi kuliko Uhai wenu - Zitto

    KORONA: HATUA ZA SERIKALI NA UMUHIMU WA KUJILINDA WENYEWE UTANGULIZI Ndugu wananchi wenzangu, Kama mnavyofahamu, sisi ACT Wazalendo tumekuwa tukiuchukulia kwa uzito wa juu kabisa ugonjwa wa Virusi vya Korona (Covid 19). Sio tu kwa sababu tunaamini kwamba ugonjwa huu kama janga la dunia...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mimi napingana na BOT uchumi wetu haupo vizuri

    Mh Rais na viongoz wote wa Taifa hili mimi napingana na Prof Luoga eti uchumi wetu upo on Track na eti tuna hazina kubwa ya USD. Mimi nakataa nakataa kwa elimu hii hii mlionipa nawaambia no na mh Rais nakuomba usikubali majibu marahisi kwenye majibu magumu. Kwanza nilazima tukumbuke Bop ya...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Baada ya Uchumi wa Tanzania kuporomoka kuna haja ya maonesho ya Kimataifa ya Sabasaba kufanyika mwaka huu?

    Kabla ya yote naomba kukiri kwamba mimi na makampuni yangu tumeshiriki maonesho ya kibiashara ya kimataifa kwa zaidi ya miaka 10 , tukijikita zaidi kwenye local products kwa ajili ya export ( yaani bidhaa za kitanzania za kuuza nje ya nchi ), 90 % ya bidhaa zetu tunauza Ulaya na Marekani...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais wa Brazil asema kufunga mji 'lockdown' ni kuua uchumi

    Rais wa Brazil, Jair Bolsonar amesema kufunga mji ni kuufanya uchumi ufeli kwa kuwa hawatakuwa na hela za kuwalipa watumishi wa umma Kwa muda mrefu rais wa Brazil amelaumiwa kwa kutochukua hatua ya kudhibiti #CoronaVirus kwa madai aliyosema kuwa ni mafua ya kawaida tu, aidha aliwahi kusema kila...
  7. OLS

    JamiiForums Tanzania Mapenzi na Uchumi: Nitumie na ya kutolea

    Moja kati ya kitu ambacho wanaume wengi wamekuwa wakikizungumzia sana mtandaoni na kuonyesha wanakichukia ni hii kauli ya nitumie na ya kutolea Inaonekana kuwa ni kauli inayotolewa na mtu anayeomba hela! Kauli hii inafanya wanaume wengi kuona mtu asiyetoa kauli hii kuwa ni mwanamke anayepaswa...
  8. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi

    Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mdude Nyagali, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya, kujibu shtaka linalomkabili ya uhujumu uchumi baada ya kukutwa na gramu 23.4 za dawa za kulevya aina ya Heroine. Pia soma: 1). Dar, Kinondoni: Yaliyojiri...
  9. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania BoT: Watu watumie huduma za mitandao, benki zikae na waliokopeshwa, riba zifikiliwe kutokana na Corona

    SWAHILI: CORONAVIRUS: BoT YAONGEZA KIWANGO CHA MIAMALA YA KWENYE SIMU NA UNAFUU KWA HATI FUNGANI Kamati ya Sera ya Fedha ya Bodi ya Benki Kuu ya Tanzania imepitisha hatua mbalimbali za kisera zinazolenga kukabiliana na athari za mlipuko wa #COVID19 katika Uchumi ili kudumisha uthabiti wa Sera...
  10. jmushi1

    JamiiForums Tanzania Hivi uchumi wa Tanzania unaendeshwa na nani?

    Hakuna ubishi kwamba kilimo ndo kimekuwa nguzo kuu ya uchumi wa Tanzania, ambapo kilimo kinachangia 24.5% kwenye GDP. Kilimo kinachangia asilimia 85 kwenye total export, na pia nusu ya waajiriwa wote wanatokea kwenye sekta ya kilimo, kwa mujibu wa data zilizopo mitandaoni. Lakini kwenye uchumi...
  11. Ulimwengu Mbaya

    JamiiForums Tanzania Kama Sukari tu inatushinda vipi kwenye mdororo wa uchumi

    Kwa kiburi alicho nacho mkuu wetu wa nchi ikatokea tukawekewa vikwanzo vya kiuchumi na mashirika au taasisi za fedha Duniani zikatususa itakueaje ? Najaribu kutafakuri tu
  12. technically

    JamiiForums Tanzania Magufuli katuangusha kwenye uchumi

    Magufuli alipoinia madarakani kwa mjibu wa report ya BOT February 2016 Export Trade kwenye baadhi ya sector ilikuwa kama ifuatavyo Manufacturing $1.3 B,horticulture $960 M, Fish And Fish Products $402, Baada ya miaka 4 February 2020 Export. Manufacturing $794 M, Horticulture $167 M, Fish And...
  13. OLS

    JamiiForums Tanzania RIPOTI BoT: Hali ya uchumi ya sasa ni mbaya zaidi ya miaka 5 iliyopita

    Moja kati ya kitu cha kuangalia ili kujua kama tuna uchumi wa viwanda ni kuangalia kiwango ambacho tunazalisha ndani ya nchi, ambacho kwa kupitia viwanda tunaweza kuwa na uuzaji mkubwa wa vitu hivyo nje ya nchi na kufanya uchumi kukua kwa kasi. Awamu hii ilikuja na kauli ya Tanzania ya viwanda...
  14. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Ufaransa yasalimu amri na kuondoa lockdown, ni baada ya uchumi kuyumba vibaya

    Baada ya kujifungia ndani kwa muda mrefu, wafaransa wameamua kama kufa na wafe tu, lockdown haivumiliki tena, wame ‘ease’ lockdown ili kunusuru uchumi. Source: BBC TV usiku huu Watu wakipanga foleni ya kupewa msaada wa wali maharage huko Paris, Ufaransa.
  15. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Trump asema kama kufa na tufe, lazima tuifungue nchi kuokoa uchumi

    Baada ya uchumi wa Marekani kudorora kutokana na lockdown, na pia baada ya kugundulika kwamba huu ugonjwa ndio kwanza unaanza Marekani, na kwamba hauta ondoka hata baada ya mwaka, pia kutokana na watu kuendelea kufa pamoja na kuwepo lockdown, Trump na jopo lake wanatarajia kufanya maamuzi ya...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Wanaosusia vikao vya Bunge wana mpango wa kushusha uchumi wa nchi

    WAZIRI wa Katiba na sheria, Mwigulu Nchemba amesema kitendo cha baadhi ya Wabunge wa Upinzani kususia vikao vya Bunge kwa kuogopa Corona ni ishara ya kutengeneza madaraja na mpango wa kushusha uchumi wa nchi. Waziri Nchemba amesema hayo jana Bungeni jijini Dodoma wakati akichangia hotuba ya...
  17. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Mabeberu waendeleza vita ya uchumi juu ya biashara ya dawa za Corona. Madagascar wadindisha na kusimamia ukucha kuhusu dawa yao ya ‘Covid organica’

    WHO imeendelea kuikandia dawa ya ‘Covid organica ambayo rais Magufuli ameahidi kuiagiza ili kunufaisha waTanzania, kwa kuwa dawa ya Corona ni fursa kubwa sana ya kiuchumi, mabeberu wameendelea kuiponda dawa hiyo wakati wakijiandaa kuiachia dawa yao ambayo itakuwa approved na WHO ili matrillioni...
  18. OLS

    JamiiForums Tanzania Haijalishi kama inatibu au la, ila ni jambo muhimu kwa uchumi wa Afrika

    Yes! Ni kitu ya Madagascar, inalalamkiwa hii inaonyesha waafrika wamepoteza imani kwa wafrika wenzao, na wako tayari pesa zao kuzipeleka mataifa mengine. Tupo tayari kuchukua dawa za majaribio kutoka nje ya Afrika na kukuza uchumi wa wasio wa afrika huku tukirudi na kulaumu kuzorota kwa uchumi...
  19. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

    Wanabodi, Kwa mujibu wa Rais Magufuli wametuma sample za mimea na wanyama kwa kuzipa majina ya binadamu kwenye maabara kuu ya Taifa Dar es Salaam kwa siri bila wapimaji kufahamu baada ya kupimwa zimetest positive yaani zina corona Hapa ndipo Magufuli ameprove uwana-science wake. Je? Tatizo ni...
  20. steve_shemej

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama awapikia watoto wake mawe akiwadanganya ni chakula

    Mjane mmoja nchini Kenya amepikia watoto wake mawe kuwadanganya kwamba chakula kinaiva. Mwanamke mmoja nchini kenya ameelezea vile ambavyo amekuwa akiwapikia watoto wake mawe kuwadanganya kwamba chakula kinaiva. Penina Bahati, mama wa watoto wanane hajafanikiwa kupata kazi zisizohitaji ujuzi...
Back
Top Bottom