uchumi

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Arusha: Kortini kwa madai ya uhujumu uchumi

    WAKAZI wawili wa mkoani Arusha, Seuri Kisamu maarufu kama Mollel (34) na Losieku Mollel (35), wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, wakikabiliwa na kesi mbili tofauti za uhujumu uchumi ikiwamo kukutwa na kilo 1,378.4 za bangi. Katika kesi ya kwanza, Kisamu amesomewa shtaka lake...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Kati: Wanafunzi wafanyia mitihani chini ya miti

    Hii ni shule ya Sekondari ya Kiparang'anda ya mkoani Pwani, aibu hii imetokana na uhaba wa madawati pamoja na vyumba vya madarasa.
  3. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Miradi ya Uwekezaji katika Viwanda Unaangazia Sera ya Tanzania ya Uchumi wa Viwanda - Mwambe

    Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania(TIC), Geoffrey Mwambe amesema kuwa Miundombinu iliyojengwa na Serikali imewezesha kituo hicho kupiga hatua kubwa na kulete wawekezaji wengi katika Sekta ya uwekezaji hasa kwenye sekta ya Viwanda. Akizungumza katika mkutano na Waandishi wa Habari Jijini...
  4. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchumi wa kwenye makaratasi inafanya makubwa

    Watanzania huwa wanaita uchumi wa Kenya kuwa ni wa kwenye makaratasi. Hivi leo Kenya imeanza rasmi mazungumzo na Marekani kuhusu free trade deal ambayo itapunguza vikwazo vya kibiashara baina ya nchi hizi mbili. Maoni yangu kuhusu habari hii ni kuwa Kenya ijichunge maana Kenya ina uchumi mdogo...
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchumi wa Tanzania unakua kwa kasi ya Kimbunga

    Uchumi wa Tanzania unakuwa kwa kasi kuliko nchi zote za Afrika Mashariki. Huduma za kijamii zikiendelea kuboreshwa. Majengo ya kisasa yanazidi kuota kama Uyoga katika miji mikubwa ikiwemo Dar es Salaam.
  6. CHIPESI NAMISUKU

    JamiiForums Tanzania Majibu ya David Kafulila kwa Zitto Zuberi Kabwe kuhusu uchumi wa kati

    Julai1, 2020 ni tarehe itakayobaki kwenye kumbukumbu kama siku ya kwanza ya kuanza kwa utekelezaji wa Bajeti ya tano na ya mwisho ya kumalizia miaka 5 ya kwanza ya awamu ya tano. Siku ambayo Benki ya dunia ilitambua Tanzania kuwa nchi ya Uchumi wa kati, ikiwa ni miaka5 kabla ya kufikia mwaka...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mwanza yakumbwa na uhaba wa maji

    Tangu Serikali na Rais Magufuli atangeze kuwa Tanzania imeingia uchumi wa kati, jiji la Mwanza limekumbwa na uhaba mkubwa wa huduma ya maji! WanaCCM wakiulizwa kulikoni uchumi huu wa kati na adha ya maji, wao wanajibu hizo ni juhudi za Rais Magufuli! Leo pia jiji wamepita wakiwatangazia...
  8. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Tuongezee bidii ili tufikie uchumi wa juu

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka Watazania waendelee kazi kwa bidii ili nchi iendelee kukua kiuchumi na kufikia uchumi wa juu kwa kuwa tayari imekuwa ya uchumi wa kati. “Kama ni mkulima lima kwa bidii, mtumishi wa umma fanya kazi kwa bidii, mlio viwandani fanyeni kazi na mamalishe nanyi...
  9. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Serikali yapongezwa kwa kusimamia Uchumi imara na jumuishi uliopelekea Tanzania kuingia Uchumi wa Kati Duniani

    Chama Cha Mapinduzi kimeipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Chini ya Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kwa usimamizi wa Uchumi imara, madhubuti na jumuishi ambao umewezesha kuingia katika kundi la nchi zenye uchumi wa kati miaka mitano kabla ya wakati. Katibu wa NEC –...
  10. GuDume

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Jamaa aliyetaka nikamatisha Takukuru Nihukumiwe Uhujumu Uchumi

    Nlikuwa nmeajiriwa Kampuni flani miaka hiyo ya 2010s ndani ya miezi 3 tu Uongozi uliona nafaa kuwa kiongozi katika kitengo cha manunuzi. Walimtoa aliyekuwepo ambaye mpaka muda huo alikuwa na kashfa nyingi sana. Shida kubwa walikuwa wanamuogopa sababu alikuwa anahisiwa ni mtu wa mfumo na pia...
  11. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa: Tanzania kuingia Uchumi wa Kati itavuta wawekezaji wengi

    Serikali imewataka Wananchi kuendelea kupenda bidhaa zinazozalishwa na viwanda vya hapa nchini kwani chanzo cha nchi kufikia uchumi wa kati ni pamoja na wananchi wake kupendelea bidhaa ambazo wanazizalisha wao kama wao, na mafanikio yametokana na juhudi za watanzania wote wakiongozwa na Rais wa...
  12. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa kati: Tuwe waangalifu na takwimu, figures can lie!

    Nimefuatilia kwa karibu huu mjdala wa World Bank kuitaja Tanzania kuwa nchi ya kipato cha wastani wa $1080 kwa kila mtanzania. This can be misleading. Hapo kuna mchezo wa hesabu ambao Watanzania wengi hawataelwa na kuona ukweli wa hai halisi. Tatizo la hesabu za wastani ni kutochukulia ukweli...
  13. Cicero

    JamiiForums Tanzania World Bank to officially declare Tanzania a Middle Income Country (MIC) on July 01, 2020

    The World Bank is to officially declare Tanzania a middle income country as of 1st July 2020. Jumuiya ya Afrika Mashariki sasa inakuwa na mataifa mawili kwenye kundi la MICs. Swali: Itakuwaje kuhusu East African Community - European Union Economic Partnership Agreement? Maana Tanzania iligoma...
  14. Zitto

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanaishi Nchi ya Uchumi wa Kati?

    Watanzania wanaishi Nchi ya Uchumi wa Kati? Tangu jana nimeona shamrashamra kubwa kuhusu kinachoitwa mafanikio ya Tanzania kuwa nchi ya Uchumi wa Kati. Kuingia Uchumi wa Kati ni hatua nzuri lakini inayohitaji ufafanuzi wa kiuongozi. Hatua hii ikifanyiwa propaganda itaonekana kuwa Serikali ya...
  15. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Tanzania kupanda kuwa uchumi wa kati chini: Mkapa amechangia 194%; JK 96% na Magufuli 10%

    Hapa chini ni historical trend (source ni World Bank) ya ongezeko la per capita income kwa Tanzania kuanzia awamu ya 3 (Mkapa), halafu ya 4 (JK ) hadi ya sasa ya 5 (Magufuli). Ni wazi kuwa kila rais katika awamu hizo 3 amechangia kwa kiasi kikubwa kuifikisha Tanzania katika uchumi wa kati...
  16. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Mambo kumi muhimu ya kuachana nayo mwaka 2020 ili kuendana na Tanzania ya Uchumi wa kati

    1. Achana na matumizi ya anasa na vitu vya gharama kubwa.Mbobezi wa masuala ya uchumi Robert Kiyosaki anasema " Matajiri kununua vitu vya anasa mwishoni wakati masikini hununua vitu vya anasa mwanzoni". 2. Acha urafiki na watu masikini. Watu masikini hapa ni wale wasio na hamasa. Hakikisha...
  17. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania BBC: Tanzania kuingia uchumi mdogo wa kati wajipange, misaada na mikopo nafuu yote itakoma na haitapata misaada kama zamani na upendeleo wa kifedha

    Kwa furaha tunayofurahia ndio tujipange kwa sababu maumivu yanayokuja kwa kupanda daraja ni makubwa. 1. Misaada iliyokuwa inapata kama nchi maskini itakatwa 2. Mikopo iliyokuwa inasemwa nafuu itakuwa haipo tena. 3. Mikataba yenye unafuu wa kibiashara itakuwa tofauti ile dhana ya kusaidiwa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Abbas: Ongezeko la ajira ni sababu kuu iliyotupeleka uchumi wa kati

    Msemaji mkuu wa Serikali Dr Abbas amesema uwekezaji mkubwa katika miradi ya kimkakati iliyozalisha ajira lukuki ndio sababu kuu ya kupaisha uchumi wetu. Dkt. Abbas amesema miradi kama SGR na Stiglers Gorge imekuwa kichocheo cha ongezeko la ajira nchini. Chanzo: ITV habari Maendeleo hayana vyama!
  19. S

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Tanzania kuingia nchi za uchumi wa kati, bado inaendelea kuwa katika kundi la Nchi Masikini Kuliko Zote Duniani (LDC)

    NI kweli hakuna cha kushangilia wala kujisifia kwamba sasa tumekuwa katika kundi la nchi zenye uchumi wa kati. Kumbukeni kwamba watu hao hao wanaosema Tanzania sasa iko uchumi wa kati, ndio wanaotoa vigezo vya kuendelea kuiweka Tanzania katika kundi la Nchi Masikini Kuliko zote Duniani (LDCs)...
  20. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Tuwatambue wachumi waliodhihaki hatua za serikali tangu 2015

    GTs, Kwa miaka kazaa tangu awamu ya 5 iingie madarakani kuna wachumi walijitokeza kumpiga sana Dkt magufuli na serikali yake juu ya muelekeo wa uchumi, wengine walienda mbali zaidi na kuona hii nchi ina hali mbaya sana. Wafuatao ni wachumi waliobeza: 1. Professor Ngowi: Alibeza uchumi kwenye...
Back
Top Bottom