Dkt. Abbas: Ongezeko la ajira ni sababu kuu iliyotupeleka uchumi wa kati

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,616
141,447
Msemaji mkuu wa Serikali Dr Abbas amesema uwekezaji mkubwa katika miradi ya kimkakati iliyozalisha ajira lukuki ndio sababu kuu ya kupaisha uchumi wetu.

Dkt. Abbas amesema miradi kama SGR na Stiglers Gorge imekuwa kichocheo cha ongezeko la ajira nchini.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
 
Msemaji mkuu wa serikali Dr Abbas amesema uwekezaji mkubwa katika miradi ya kimkakati iliyozalisha ajira lukuki ndio sababu kuu ya kupaisha uchumi wetu.

Dr Abbas amesema miradi kama SGR na Stiglers Gorge imekuwa kichocheo cha ongezeko la ajira nchini.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Ni kweli kabisa .
FB_IMG_1549369100113.jpeg
 
Press conference ya ajabu kabisa

Msemaji wa serikali jinsi anavyoongea na wanahabari ni kama yuko kijiweni anapiga story tena kwa mipasho;;;!!!

Leo nilipomuona msemaji yule wa china anavyoongea na media kwa adabu tena kwa haiba ya afisa mwandamizi wa umma

Nikimuonaga yule spokeswomen wa white house hadi raha

Kichekesho kingine ni wanahabari wajinga eti hata maswali hawana na wanapiga makofi kubariki mazungumzo yenye utata

Polen
 
Back
Top Bottom