SEPTEMBA 5: CHAUMA KUFUNGUA RASMI KAMPENI MANZESE, DAR
Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe ametangaza kufungua rasmi kampeni za chama chake viwanja vya Bakhresa vilivyopo Manzese Dar es Salaam, Septemba 5
Awali chama hiko kilipanga kufungua kampeni zake mkoani Mara, zoezi ambalo...
Nimefuatilia kauli za Lissu akiwa Morogoro mjini, kasema serikali ya JPM haijaongeza mishahara (General salary increment) na yeye akiingia madarakani ataongeza mishahara kulingana na hali ya uchumi ili kupunguza ukali wa maisha. Ni kweli "General increment" kwenye salary adjustment hufanyika...
“HAKUNA Mwanaume amewahi kulalamika rushwa ya ngono,” amesema Mwendesha Mashtaka wa Takukuru, Stella Mafuru.
Amesema kesi zote zinazohusu rushwa ya ngono, zinatolewa na wanawake, lakini hakuna mwanaume yeyote ambaye amewahi kuripoti rushwa hiyo ya ngono ambayo kwa sasa imeingia kwenye kipengele...
Namshangaa yeyote anayejinasibu kukuza uchumi wakati bado hali ya Watanzania waliowengi ni maskini hawana uwezo wa kununua hata mahitaji muhimu.
PPP ya Tanzania inazidiwa na Kenya, Rwanda, Uganda
Maswali ya Msingi
1. Wangapi wana uwezo wa kufanya mahemezi ya kila siku.
2. Wangapi...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Dodoma inatarajia kumfikisha mahakamani Mhadhiri Msaidizi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Jacob Nyangusi (43) na kufunguliwa shauri la uhujumu uchumi kwa kosa la kutaka rushwa ya ngono kinyume cha sheria ya kuzuia na Kupambana na rushwa...
Gharama zako za matumizi kwa siku zimekaaje katika kipindi hiki? Mfano chakula, usafiri, matumizi ya simu, vinywaji na kadhalika. Tuchangie mada hii wana jf..
Katika hukumu iliyotolewa leo tarehe 5 Agosti, 2020, Jopo la Majaji watano wa Mahakama ya Rufani limekubaliana na Serikali kuwa kifungu cha 148(5) cha Sheria ya Mwenendo wa Mashauri ya Jinai ,Sura ya 20 ya Sheria za Tanzania kinachozuia dhamana kwa makosa makubwa ya jinai yakiwemo mauaji...
Msemaji wa Serikali Dkt. Hassan Abbas ametolea ufafanuzi dhana ya uchumi wa kati kwa kusema katika Dira ya maendeleo ya 2025 hakuna sehemu inayoelezea pato la nchi kuingia uchumi wa kati.
Dkt. Abbas amesema Benki ya Dunia ndio huweka vigezo vya nchi kuingia katika ngazi hizo. Hivyo amewataka...
Ndugu wananchi,
Kama taifa lazima tuwe na dira na Mipango. Marehemu Mzee Mkapa alitamani kwamba ikifika mwaka 2020 ba Pato la Mtanzania liwe limefika USD 3000. Niseme tu kwa wale ambao sio wafuatiliaji wa Mambo kwa sasa GDP per Capita ni USD 1080 Ila tukitumia mfumo wa PPP (Purchasing Power...
Wale wapenzi wa bar maarufu Tabata Bima Junction mtakua mashahidi, hii bar imefungwa zaidi ya miezi 3. Awali watu wengi walidhani labda ni sababu ya Corona lakini sio kweli.
Mmiliki wa Forty Forty investments alikuwa ni mmoja wa wahasibu wa wizara ya utalii waliotafuna zaidi ya Billion 4 ambao...
Mashaka Meela, Dar es Salaam
Takwimu za uchumi za hivi karibuni zinaonesha kuwa kuna kila sababu ya kuwa na matumaini na hali ya uchumi wa nchi yetu. Kwa mujibu wa makadirio ya hivi karibuni ya Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), uchumi wa Tanzania unakadiriwa kukua kwa asilimia 5.2 kufikia...
Waziri Mkuu Mh Kasim Majaliwa alikuwa kwenye ukaguzi wa mradi wa kisasa wa kilimo cha mboga mboga. Hawa ndio Watanzania wa uchumi wa kati. Pichani akisalimiana na bibi Asumini ambaye ni mpiga kura wa Ruangwa.
WALINZI nane wa Kampuni ya Ulinzi ya Security Group ya Afrika (SGA) Tanzania Ltd na wenzao 12 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka matatu likiwemo shtaka la wizi na utakatishaji fedha wa zaidi ya Sh bilioni mbili mali ya NMB...
Ni kwamba hakuna anayekubali kubakia nyuma kila mtu sasa anataka kuwa mbunge ili afaidi mema ya uchumi wa kati.
Usipochukua fomu za kugombea Ubunge unaonekana ni mshamba au ni mbahiri usiyetaka kuchangia chama.
Ngoja tuone kama na kesho foleni ya kuchukua fomu itakuwa ndefu kama ya leo...
Wana Jf, katika matukio hatari na ya kutia hasira, tangia tupate uchumi was kati, tumepata vipigo vya mbwa mwizi viwili chakwanza cha Shilole cha pili cha yanga.
Kipigo cha yanga ndicho kinatisha kwani kilitendeka kwa uwazi, wakati cha Shilole kilikuwa kwa kificho sana mpaka alivyojitoa na...
Huu ni muendelezo wa nyuzi zangu za kiuchumi ambazo ni matokeo ya kutafiti taarifa mbalimbali za serikali kwenye masuala ya fedha na uchumi.
Msukumo wa kuamua kufanya hizi tafiti, unatokana haswa na kuchukizwa na yale majigambo ya wanasiasa na watu wasioelewa mambo, ya eti uchumi kwenye awamu...
Duniani kote suala la matumizi ya teknolojia ya kidijitali linakua kwa kasi kubwa sana na kwa kiasi fulani kunachagizwa na matumizi ya intaneti/data kupitia simu za mkononi.
Kwa mujibu wa Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Biashara na Maendeleo, matumizi ya data duniani kote yanatarajiwa...
Hivi karibuni Benki ya Dunia imetangaza kuwa Tanzania imeingia rasmi kwenye uchumi wa kati ikiwa ni miaka mitano kabla ya kufikia ukomo wa muda uliokuwa umewekwa na serikali yaani 2025.
Tanzania imefanikiwa kufikia hatua hii kutokana na ukuaji imara wa uchumi. Kwa mfano, mwaka uliopita Tanzania...
Uchumi wa Tanzania unategemea kukua kwa asilimia 5.2 mwaka huu wakati ambapo nchi nyingine sita za Mashariki mwa Bara la Afrika zikitarajia kuporomoka kiuchumi kwa sababu ya athari za janga la corona.
Kiwango hicho cha ukuaji wa uchumi wa Tanzania ni zaidi ya nchi zote za Mashariki mwa Bara la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.