Mambo kumi muhimu ya kuachana nayo mwaka 2020 ili kuendana na Tanzania ya Uchumi wa kati

Victor Mlaki

JF-Expert Member
May 1, 2016
3,542
3,451
1. Achana na matumizi ya anasa na vitu vya gharama kubwa.Mbobezi wa masuala ya uchumi Robert Kiyosaki anasema " Matajiri kununua vitu vya anasa mwishoni wakati masikini hununua vitu vya anasa mwanzoni".

2. Acha urafiki na watu masikini. Watu masikini hapa ni wale wasio na hamasa. Hakikisha unazungukwa na watu sahihi " wenye mawazo chanya".

3. Achana na matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii. Mitandao ya kijamii inawavutia watu wengi na hivyo kutumia muda wao mwingi na fedha. Hapa namaanisha punguza muda tunaoutumia kwenye mitandao ya kijamii kadiri inavyowezekana na pia angalia unachofanya humo. Kwa mfano unaweza kukuta mtu ana akaunti katika mitandao yote na hakuna cha maana anachofanya.

4. Acha kulaumulaumu hali ilivyo na wengine. Acha kuilaumu Serikali, Wazazi, Hali ya uchumi. Acha starehe unayoipata kutokana na kulalamika.

5. Achana na hofu ya kushindwa. Maisha siyo kufaulu au kufanikiwa tu, kuna kushindwa pia. Kushindwa ni sehemu ya maisha.

6. Acha pupa. Huwezi kumpa Mwanamke ujauzito leo na kupata Mtoto leo.Kuna muda wa kuwa na subiria usipaparikie njia nyepesi za kufanikiwa. Lazima kulipa gharama.

7. Acha kupenda usingizi. Hapa simaanishi kupenda kuamka mapema sana kila siku kama desturi ila hakikisha unachelewa kulala na kuwahi kuamka kuliko wengine.

8. Acha kujiona duni. Acha kabisa tabia ya kujiona huwezi chochote na hauna thamani kuliko wengine.Kujiona duni kunazorotesha kwa kiasi kikubwa uthubutu wako.

9. Jifunze kwa waliofanikiwa na penda kusoma vitabu vya uchumi. Mfumo wa elimu hauwafundishi na wala kuandaa watu kufanikiwa kiuchumi. Kujifunza kinaweza masuala ya uchumi kinaweza kubadilisha maisha yako kiuchumi.

10. Achana na maisha mepesi. Ni ndoto potofu kufikiri na kuota juu ya maisha mepesi na rahisi. Jiandae kulipa gharama.

Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
 
Pumba tupu
 
Maneno mazuri kabisa
Tuendelee kuhamasishana .....tuache kupoteza mda kwenye mambo ambayo hayana value yeyote kwenye maisha yetu binafsi kila mtu ana masaa 24 ila wale wanaopangilia vyema ndo wanaofanya mambo makubwa kwa wakati mchache wengine jambo
 
1. Achana na matumizi ya anasa na vitu vya gharama kubwa.Mbobezi wa masuala ya uchumi Robert Kiyosaki anasema " Matajiri kununua vitu vya anasa mwishoni wakati masikini hununua vitu vya anasa mwanzoni".

2. Acha urafiki na watu masikini. Watu masikini hapa ni wale wasio na hamasa. Hakikisha unazungukwa na watu sahihi " wenye mawazo chanya".

3. Achana na matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii. Mitandao ya kijamii inawavutia watu wengi na hivyo kutumia muda wao mwingi na fedha. Hapa namaanisha punguza muda tunaoutumia kwenye mitandao ya kijamii kadiri inavyowezekana na pia angalia unachofanya humo. Kwa mfano unaweza kukuta mtu ana akaunti katika mitandao yote na hakuna cha maana anachofanya.

4. Acha kulaumulaumu hali ilivyo na wengine. Acha kuilaumu Serikali, Wazazi, Hali ya uchumi. Acha starehe unayoipata kutokana na kulalamika.

5. Achana na hofu ya kushindwa. Maisha siyo kufaulu au kufanikiwa tu, kuna kushindwa pia. Kushindwa ni sehemu ya maisha.

6. Acha pupa. Huwezi kumpa Mwanamke ujauzito leo na kupata Mtoto leo.Kuna muda wa kuwa na subiria usipaparikie njia nyepesi za kufanikiwa. Lazima kulipa gharama.

7. Acha kupenda usingizi. Hapa simaanishi kupenda kuamka mapema sana kila siku kama desturi ila hakikisha unachelewa kulala na kuwahi kuamka kuliko wengine.

8. Acha kujiona duni. Acha kabisa tabia ya kujiona huwezi chochote na hauna thamani kuliko wengine.Kujiona duni kunazorotesha kwa kiasi kikubwa uthubutu wako.

9. Jifunze kwa waliofanikiwa na penda kusoma vitabu vya uchumi. Mfumo wa elimu hauwafundishi na wala kuandaa watu kufanikiwa kiuchumi. Kujifunza kinaweza masuala ya uchumi kinaweza kubadilisha maisha yako kiuchumi.

10. Achana na maisha mepesi. Ni ndoto potofu kufikiri na kuota juu ya maisha mepesi na rahisi. Jiandae kulipa gharama.

Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
Namba moja yahitaji ufafanuzi. Mwanzoni au mwishoni mwa nini? Unajua aje upo mwanzoni au katikati au mwishoni?
 
Back
Top Bottom