uchumi

  1. Elisha Chuma

    JamiiForums Tanzania Jicho langu la tatu na biashara ya bodaboda

    Hivi karibuni nilipata safari za kutembelea mikoa tofauti tofauti hapa nchini Tanzania, lakini pia nilipata fursa ya kubadilishana mawazo na watu wa kada na makundi mbalimbali, usafiri wangu wa kuniwahisha mahali mara nyingi nilitumia pikipiki ama jina maarufu boda boda, kitu kilichonifikirisha...
  2. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba: Tunahitaji kuboresha sekta muhimu za uchumi na kilimo

    TUNAHITAJI KUBORESHA SEKTA MUHIMU ZA UCHUMI NA KILIMO."PROF.LIPUMBA" MOROGORO  Historia ya maendeleo ya uchumi duniani inaonesha kuwa maendeleo ya viwanda hutanguliwa au kuambatana na mapinduzi ya kilimo. Ongezeko la uzalishaji na tija katika sekta ya kilimo huongeza upatikanaji wa chakula na...
  3. Cicadulina

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani ya CCM 2020: Tanzania bado haijafikia Uchumi wa Kati

    My take: Zile mbwembwe zote kumbe ni danganya toto
  4. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Teknolojia ya Kidijitali ilivyo fursa ya kukuza uchumi endelevu Tanzania

    Katika miaka ya hivi karibuni, teknolojia ya kidijitali nchini Tanzania imezidi kukua na kulisaidia taifa hili kuwa moja ya taifa linalokuwa kwa kasi kwenye eneo la teknolojia ya kidijitali Afrika Mashariki. Ni wazi kuwa ukuaji huu umechangia kwa kiasi kikubwa kufungua fursa mbalimbali za...
  5. Mfalme wa Genge

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Hali ya uchumi wa kati wa Tanzania na rekodi saba za kimataifa zilizowekwa chini ya uongozi wa Rais Magufuli

    ~Na David KAFULILA. email: davidkafulila0@gmail.com 02 Septemba 2020. Julai 1, 2020, ni tarehe itakayokumbukwa katika historia ya Tanzania. Ilikuwa tarehe ya kwanza ya utekelezaji wa Bajeti ya mwisho ya Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Utawala wa Rais JOHN MAGUFULI; na muhimu zaidi, ni siku...
  6. mgt software

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Muammar Gaddafi ni kifo cha Uchumi wa Afrika. Tuna wakati mgumu kuanzisha nguvu za kujitegemea

    Wana JF, Ukisoma makala mengi kuhusu aliyokuwa ametuandalia Ghadafi utagundua kuwa Afrika haiwezi kuungana kujikomboabkutoka kwa mabeberu. Mabeberu wana njia nyingi ya kutufanya tuendelee kuwategemea Anaandika mtia nia mstaafu Pascal Mayalla Tanzania pekee, bara letu lote la Africa. Bara la...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Athari za COVID-19: Australia imekumbwa na mdororo mbaya zaidi wa uchumi tangu miaka ya 1930

    Australia imekumbwa na mporomoko mbaya zaidi wa uchumi katika robo ya kwanza tangu kutokea kwa mdorororo mkubwa kabisa wa kiuchumi duniani wa miaka ya 1930. Hali hiyo inatokana na janga la virusi vya corona, ambapo data zilizotolewa leo zinathibitisha kuwa nchi hiyo inakabiliwa na mdororo wake...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kwenye mkutano wa ACT-Wazalendo Lindi hakukuwa na Mwananchi mwenye Elfu 10 mfukoni. Halafu tunaambiwa tuna Uchumi wa Kati

    Bernard Membe aliuliza wananchi waliohudhuria mkutano wake kuhusu fedha walizonazo mfukoni. Katika wananchi waliohudhuria mkutano ule wa kampeni hakuna aliyekuwa na shilingi elfu 10 mfukoni mwake. Wakati huohuo serikali inajigamba kwamba tumepanda daraja na kufikia uchumi wa kati. Kwa kweli...
  9. Victoire

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Lissu niseme wazi leo umegusa maisha ya Watanzania walio wengi. - Bima ya afya kwa Watanzania wote. - Hakuna tena kuibia wafanyabiashara maskini kwa kuwatoa elfu ishirini kila mwaka. - Hakuna tena kukatwa asilimia 15 kisa mkopo. Tutakatwa asilimia tatu tu. - Elimu ya maarifa, kubadili...
  10. samirnasri

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa shule ya Martin Luther jijini Dodoma kawageuza wazazi kitega uchumi, anatakiwa kushitakiwa

    Kwa wakazi wa Dodoma jina Martin Luther sio geni unapozungumzia suala zima la elimu. Ni shule iliyopo eneo la kisasa njia ya kuelekea Dar es Salaam. kwa ujumla shule ina mazingira ya kuvutia kwa muonekano wa nje. Kwa upande wa taaluma pia imekuwa miongoni mwa shule bora mkoani Dodoma ikiwa...
  11. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani ya CCM 2020: Mkitupa kura ndani ya miaka 5 tutatengeneza ajira milioni 8

    Wajumbe Nasoma hapa ukurasa wa 5 mwanzoni kabisa, kwamba CCM imezamiria kustawisha maisha ya kila Mtanzania kwa kutokomeza umaskini na kuhakikisha taifa linafikia uchumi wa kati ( Kumbe bado hatujafika au wamecopy na kupaste ya 2015 😁😁😁😁 ) kwa kuongeza ajira zaidi ya MILIONI 8 ( 1,2,3 ...
  12. CARIFONIA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ndio mahana halisi ya taifa lenye uchumi wa kati

    Ndugu zetu wakenya nadhani mna kitu cha kujifuza kutoka kwa kaka yenu Tanzania. Ukiachana na mambo ya corona, this is Dar es salam young Africans the giant football club in east and Central Africa, tafasiri halisi ya timu iliyo kwenye nchi ya uchumi wa Kati.
  13. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Mpaka Mwalimu Nyerere anaondoka madarakani, uchumi wa Tanzania ulikuwa ni mkubwa kuliko wa Kenya. Marais waliomfuatia walikwama wapi?

    Kuna shida mahali. Pamoja na watu kumnanga (very incorrectly and unfairly) Mwalimu Nyerere (RIP mzee wetu) kuhusu sera zake za uchumi, inaonekana dhahiri kuwa alikuwa akifanya vizuri zaidi kiuchumi kwa kuchukulia nchi ya Kenya kama benchmark. Nimeichukulia Kenya kama benchmark kwa vile ndiye...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mwakasaka Boaz: Takataka zinaweza kuleta Maendeleo makubwa nchini Tanzania

    Mwakasaka Boaz ni Msomi na Mtaalamu wa masuala ya Uchumi na maendeleo ya kijamii, Nishati Mbadala na Mtafiti wa kujitegemea Anajua kwamba katika dunia hii sababu kubwa na kikwazo kikubwa cha maendeleo ya kiuchumi na kijamii ni kushindwa kufikiri kwa ufasaha (Accurate Thinking). Leo Tuangazie...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amekosea sana kuagiza magari ya kesi za Uhujumu Uchumi yapewe Taasisi za Serikali

    Raisi Magufuli amefanya kosa kubwa sana kuagiza kwamba magari yaliyotaifishwa kuhusiana na kesi za uhujumu uchumi yagaiwe kwa taasisi za Serikali kwa sababu mbili kubwa zifuatazo; Haya magari mengi ni ya zamani sana, zaidi ya miaka 10, na mengi yalinunuliwa kama used vehicles. Wamiliki binafsi...
  16. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Mkazo zaidi unatakiwa kuwekwa kwenye Soko la Ndani katika kuendeleza Uchumi

    Rais Xi Jinping wa China ametoa mwito wa kuweka msisitizo kwenye kuunda mtindo mpya wa maendeleo, ambapo soko la ndani na solo la nje yanahimizana, lakini soko la ndani kuwa njia kuu ya kuendeleza uchumi. Rais Xi amesema hili ni “chaguo la kimkakati” kwa China kwenye ushirikiano wa kimataifa na...
  17. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ilikuwaje Deo Mwanyika wa ACACIA aliyehukumiwa kwa Uhujumu Uchumi achaguliwe na CCM kugombea Ubunge Njombe Mjini?

    Kama ambavyo Rais Magufuli amekuwa akijigamba kuwa anapambana na mafisadi wakwepa kodi na wahujumu Uchumi pamoja na mabeberu kwa kupitia kauli yake ya vita ya kiuchumi. Huyu Mwanyika ndo Rais aliyetutangazia kuwa amawasiliano na wanasiasa wa upinzani ili wamuhujumu hadi kutoa ile kauli yake...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Flyovers, SGR na uboreshaji wa miundombinu awamu ya 5 Tz ni matokeo ya kubadilisha matumizi ya pesa sio kukua kwa uchumi

    Kufanya uchaguzi kwa pesa ya ndani, kujenga flyovers, SGR na uboreshaji wa miundombinu unaofanywa na awamu ya 5 ni matokeo ya kubadili matumizi pesa/kipato tu sio kukua kwa uchumi. Mfano, pesa zilizokuwa zinatumika kulipa mishahara kwa watumishi wa umma. Sasa wanastaafu, wengine wanakufa hakuna...
  19. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashushwa rating ya uchumi wa kati, yadaiwa uchumi wake sio halisi na ukwasi wake hautabiriki hasa katika kupata mikopo ya nje

    Rating Action: Moody's downgrades Tanzania's rating to B2; outlook stable 21 Aug 2020 London, 21 August 2020 -- Moody's Investors Service ("Moody's") has today downgraded the foreign and local currency issuer ratings of the Government of Tanzania to B2 from B1 and changed the outlook to stable...
  20. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Despite the global COVID-19 pandemic, Tanzania has achieved its middle-income vision five years ahead of schedule

    https://www.google.com/url?sa=t&source=web&rct=j&url=https://www.forbesafrica.com/brand-voice/2020/08/19/tanzania-is-ahead-of-schedule-under-magufuli/%23:~:text%3DDespite%2520the%2520global%2520COVID%252D19,compatriots%2520on%2520this%2520historic%2520achievement.&ved=2ahUKEwjJ2-rMiqnrAhU6UhUIHZJ...
Back
Top Bottom