Mwanza yakumbwa na uhaba wa maji

RockCarnegie

JF-Expert Member
Jan 17, 2019
963
1,927
Tangu Serikali na Rais Magufuli atangeze kuwa Tanzania imeingia uchumi wa kati, jiji la Mwanza limekumbwa na uhaba mkubwa wa huduma ya maji!

WanaCCM wakiulizwa kulikoni uchumi huu wa kati na adha ya maji, wao wanajibu hizo ni juhudi za Rais Magufuli!

Leo pia jiji wamepita wakiwatangazia machinga wavae vitambulisho shingoni, vinginvyo wahame mjini!

Viva Jiwe! Viva CCM! Viva Awamu ya viwanda!
 
Tangu Serikali na Rais Magufuli atangeze kuwa Tanzania imeingia uchumi wa kati, jiji la Mwanza limekumbwa na uhaba mkubwa wa huduma ya maji!

WanaCCM wakiulizwa kulikoni uchumi huu wa kati na adha ya maji, wao wanajibu hizo ni juhudi za Rais Magufuli!

Leo pia jiji wamepita wakiwatangazia machinga wavae vitambulisho shingoni, vinginvyo wahame mjini!

Viva Jiwe viva CCM viva Awamu ya viwanda!
We nae tupishe,maji si yapo hapo tu mwaloni ziwani afu we unatuambia hatuna maji nani kakudanganya? We jamaa vipi?
 
Wewe ni liongo hizi mvua tuu ziwa lilijaa maji mpaka sehemu fukwe zikamezwa wee ndo ulete porojo zako kwa upo mwz ipi
 
Maji yapo bhana!
Utakuwa unaishi jirani na Mkuu wa Mkoa Mongela maana imefungwa pampu kubwa inayonyonya maji yote yanayokuja eneo la kiseke PPF kwenda kwake! MWAUWASA wajiandae siku Rais Magufuli akitia mguu Mwanza atapokelewa kwa maandamano makubwa ya kupinga hujuma inayofanywa na mamlaka hii ya maji! Mkurugenzi MWAUWASA siku zako zinahesabika!
 
Nilipo hayakatiki hovyo japo majuzi yalikata siku mbili yakarudi hadi leo.
Ila mwauwasa kuna majipu.
 
Ni kweli Mwanza imekuwa na shida ya maji hususani maeneo ya nje ya mji mfano Buhongwa. Wananchi wanapata maji kwa mgao, wengine wanaweza pata mara moja kwa miezi miwili
 
Back
Top Bottom