uchumi

  1. Kinuju

    JamiiForums Tanzania Bomba la mafuta la Afrika Mashariki: Diplomasia ya uchumi ya urithi wa Hayati Magufuli na mapato ya Tsh 76.32bn kwa mwaka

    BOMBA LA MAFUTA LA AFRIKA MASHARIKI: DIPLOMASIA YA UCHUMI YA URITHI WA JPM NA MAPATO YA TSH 76.32bn KWA MWAKA Mnamo Septemba 27, 2020 Uganda na Tanzania ziliingia makubaliano kupitisha Bomba la Mafuta ya Afrika Mashariki kutokea Hoima (Uganda) hadi Bandari ya Tanga (Tanzania). Hii ni moja ya...
  2. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Judith Kapinga (Mbunge CCM): Kosa la Uhujumu Uchumi limerahisishwa sana nchini ili kuwezesha kuumiza watu kisha kuwashinikiza kukubali makosa

    Tulipata mapokeo ya Sheria ya uhujumu uchumi bila kuangalia mazingira yetu, sasa inatumika kupora wala mali na Uhuru wao kwa kuondoa dhamana. Kosa la uhujumu uchumi limerahisishwa sana na nchini ili kuwezesha kuumiza watu kisha tunawashinikiza kukubali makosa.
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ole wao wale wanaotumia nafasi zao za umma na Serikali kuiba, kuhujumu uchumi na kupokea rushwa, maana salama yao ni kudra za Mwenyezi Mungu

    "Ole Wao Wale Wanaotumia Nafasi Zao Za Umma Na Serikali Kuiba , Kuhujumu Uchumi Na Kupokea Rushwa ' Maana Salama Yao Ni kudra Za Mwenyezi Mungu , Labda Nisiwajue " Hayo yalikuwa ni maneno ya mwamba Edward Moringe Sokoine. Na mimi haya ndio maneno yangu ya mwisho hapa JamiiForums maana leo ndio...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kutokana na Ripoti ya CAG, bado kuna anayeamini Tanzania imeingia uchumi wa kati?

    Hili ndio swali langu la leo kwa wananchi wote wa Tanzania, kwamba pamoja na njaa waliyonayo watanzania ukichanganya na huu wizi uliovunja rekodi ya Jumuiya ya SADC uliofichuliwa na CAG, hivi bado kuna Mtanzania yeyote anayeamini nchi yake imeingia kwenye Uchumi wa Kati, kwa lipi hasa?
  5. C

    JamiiForums Tanzania Profesa Muhongo: Uchumi wa sasa duniani ni umeme wa gesi, umeme wa maji umepitwa na wakati

    Akichangia katika mpango wa maendeleo wa Serikali bungeni amesema anashangaa watu wanavyohangaika na umeme wa maji na huku dunia ya sasa ni umeme wa gesi Uchumi wa sasa duniani ni umeme wa gesi, umeme wa maji umepitwa na wakati. Mbunge wa Musoma Vijijini Profesa Sospeter Muhongo amesema...
  6. Mtu Mzima

    JamiiForums Tanzania Yasemwayo na hali hali halisi: uchumi awamu za Utawala Tanzania

    Mengi yanasemwa na yanaendelea kusemwa kuhusu hali ya uchumi kabla na wakati wa utawala wa awamu ya tano. Hasa kuhusu uvurugaji wa uchumi na mengine kedekede. Kabla sijatoa maoni kuhusu kampeni hasi inayoendelea hivi sasa hebu tupitie kumbukumbu na takwimu tangu uhuru kisha ndio turudi kwenye...
  7. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Ikiwa anachosema Rais Samia kitaeleweka na wafanyakazi wa serikali, uchumi wa hii nchi uta rebound ndani ya mda mfupi sana.

    Hii ni hotuba kama ya nne ya Rais Samia, na mpaka sasa nilichokichunguza ni kwamba, huyu ni Rais ambaye anajipambanua kuwa na itikadi za kiuchumi za 'Free markets' ambazo ndizo haswa zinazofanya kazi kwenye ulimwengu wa sasa. Kote huko duniani unapoona uchumi umeendelea mpaka huko China na...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Watu hawa ni adui wa uchumi wetu tusiwape nafasi

    Watu hawa ni adui wa uchumi wetu tusiwape nafasi 1. Mijitu inayojipenyeza kwenye ajira kwa kutumia vyeti feki ili ipate mshahara ambao ndio kodi zetu 2. Mijitu inayoiba twiga na tembo wetu kisha kwenda kuuza na kujipatia fedha. 3. Mijitu inayouza madawa ya kulevya na kujipatia fedha. 4...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Kati ya hivi ni kipi kinafanya uchumi wa nchi na uchumi wa mtu mmoja kukua

    Kati ya hivi ni kipi kinafanya uchumi wa nchi na uchumi wa mtu mmoja kukua 1. Je kutoza kodi kubwa kunafanya uchumi kukukua? 2. Je kutoza kodi kidogo kunafanya uchumi Kukukua? 3. Je kufanya kazi za udhalishaji mali kwa bidii kwa, masaa mengi kunafanya uchumi kukua? Lete jibu hapa na...
  10. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Mama Samia, piga chini wale wote walioshiriki kuhujumu uchumi, uwekezaji na biashara!

    Msimamo wa Rais Samia Suluhu sasa unaanza kueleweka vizuri. Yale tuliykuwa tukilalamika mitandaoni kutwa kuchwa ameanza kuyashghulikia bila kupepesa macho wala kupoteza muda. Tlilia kuwa kuna juhudi za makhsusu za kwafilisi wazalendo walipa kodi, laki wengine walikejeli na hata Waziri Mwigulu...
  11. mgt software

    JamiiForums Tanzania Vetting ya Wakuu wa Mikoa na Wilaya itokane na maeneo wanapotoka kuharakisha maendeleo, wageni wanafubaza uchumi

    WanaJF, Niliposoma katiba ya Kaji waliomba ilichagiza Zaidi wateule wa Rais watokane Na mikoa yao. Hii inaleta maana kwamba Ni rahisi wananchi wa sehemu hiyo kupata mwakilishi mzuri Na Kwa kuwa anakuwa anafahamu vizuri maeneo Ni rahisi kuondoa migogoro ya kwao kuliko kuleta Mgeni asiyefahamu...
  12. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Tuweke kumbukumbu zetu sawa, huu ndo uchumi wa Magufuli aliouacha, all facts! - Sehemu ya kwanza

    Habarini wakuu… Wakati bado tukiwa kwenye maombolezo, nimeona ni vema nifanye utafiti kidogo wa kumulika uchumi wa Hayati Magufuli, ili tuweke record zetu sawa, maana huku mtaani na kwenye vyombo vya habari kumekuwa na upotoshaji mkubwa sana. Japo mimi sijawahi kuwa mshabiki wa Hayati...
  13. captain 21

    JamiiForums Tanzania Tutegemee kasi ya ukuaji wa uchumi wa nchi yetu ikikua zaidi na kuongoza ndani ya nchi za Afrika Mashariki

    Kama ukichunguza vizuri utagundua katika serikali iliyopita ya Dkt. JPM katika miaka yote ya uongozi wake kwa wastani kasi ukuaji wa uchumi ilikua ni zaidi ya asilimia 6.8 hadi 7. Na ni dhahiri kuwa ndani ya Afrika Mashariki kuna nchi moja tu ambayo ndiyo ilikua ikitupa Changamoto ambayo ni...
  14. J

    JamiiForums Tanzania " Nimemteua Dr Mpango kwa sababu ni mtaalamu wa Uchumi atanisaidia kwenye mambo ya Uchumi na Fedha" kauli hii ina maana pana!

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema amemteua Dr Mpango kama makamu wa Rais kwa sababu ni mtaalamu wa uchumi na kwamba atamsaidia katika maswala ya uchumi na fedha. Rais Samia amesema inaeleweka kuwa ofisi ya makamu wa Rais inashughulika na mambo ya Muungano, Umaskini na Mazingira lakini Dr Mpango...
  15. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Dkt Mwigulu Madelu Nchemba nampa mwaka mmoja tu kama hajahamishwa au kutumbuliwa Wizara ya fedha na uchumi

    Nimejaribu kuangalia pamoja na teuzi nzuri za Mama yetu Mpendwa Rais Samia Suluhu, lakini kwenye wizara nyeti hii ya fedha haijapata watu sahihi. Ndugu yangu Dkt Mwigulu Nchemba ni msomi lakini siye anayetumia usomi wake katika kuchanganua mambo ya kiuchumi na biashara anazidiwa na Zitto Kabwe...
  16. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Sioni namna Rais Samia anaweza kuinua uchumi wa Watanzania uliodorora

    Tanzania kwa sasa ina serikali mpya ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu baada ya kifo cha Rais Magufuli. Kwa sasa hatuna sababu nyingine yoyote ya kusubiri kuufahamu utawala wa Samia Suluhu utakuwaje, maana sura nzima ya serikali yake iko tayari. Utawala huu mpya kwenye uchumi una...
  17. 100 others

    JamiiForums Tanzania Afrika ingekuwa nchi, imagine wazo la mzee wetu Kwame Nkrumah lingefanikiwa, leo hii uchumi wa dunia tungekuwa tumeushikilia sisi

    Imagine Africa ingekuwa nchi, imagine wazo la mzee wetu Kwame Nkrumah lingefanikiwa, leo hii uchumi wa dunia tungekuwa tumeushikilia sisi, tungekuwa tishio kuliko China ilivyo kwa USA. Uwezo wetu kijeshi, sayansi,elimu na teknolojia ungekuwa tishio. Itazame USA kama nchi 50 ambazo hazina...
  18. fmlyimo

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina. Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndio anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki. Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais...
  19. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Tumepoteza Magufuli, Jabari na Mwamba wa uchumi katika siasa za Afrika

    TUMEPOTEZA JABARI NA MWAMBA WA UCHUMI KATIKA SIASA ZA AFRIKA NA ELIUS NDABILA 0768239284 Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli amemaliza kazi yake aliyoandaliwa kufanya hapa duniani. Kifo si hiari, ni lazima kwa kuwa vitabu vya dini vinatuasda kuwa kila mtu aliyezaliwa na mwanamke siku zake si...
  20. Eliah Geofrey Kamwela

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Uchumi: Usipende kutumia usichokuwa nacho

    KUHUSU UCHUMI: USIPENDE KUTUMIA USICHO KUWA NACHO Siri mojawapo ya kukufanya ubaki kwenye kutokwenda mbele kiuchumi ni mazoea ya kutumia kitu au fedha ambayo huna! Yaani, kwa kuwa una uhakika kwamba mwisho wa mwezi fedha itaingia, basi unashindwa kuzuia matumizi ambayo usingekuwa na uhakika...
Back
Top Bottom