uchumi

  1. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Geita kwenda Kamyorwa itengenezwe upya,ni kiungo muhimu kwa uchumi wa taifa

    Kwa wakazi wa mikoa ya Mwanza,Geita na Kagera wanafahamu umuhimu wa hii barabara hasa kwa uchumi wa eneo hili. Maana ni njia muhimu sana katika kusafirisha watu na bidhaa hasa kwa eneo hili. Hii barabara ilikamilika mwaka 2008 na hapo ndipo ilichochea maendeleo hasa sehemu ilizopita. Kabla...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Zanzibar hakuna watu walionyimwa dhamana kwa makosa ya uhujumu uchumi?

    Kesi nyingi za uhujumu uchumi Tanzania utasikia uchunguzi haujakamilika, na hii inachukua miaka kadhaa. Ila katika mazingira ya uchunguzi kuendelea mtu yuleyule unasikia ameshauriana na DPP au Mahakama na ameeelekzwa kulipa kiasi flani Cha fedha. Je, ukokotoaji wa kiasi hicho kinacholipwa...
  3. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Baada ya Tito Magoti na mwenzake kutiwa hatiani ni dhahiri kuwa sio kila anayejinasibu mkosoaji wa Serikali anabambikiwa kesi ya Uhujumu Uchumi

    Kabla ya kwenda moja kwa moja napenda kuweka wazi kuwa mimi ni mtu ambaye sipendi kuona watu wakionewa na hasa kunyimwa haki zao za msingi. Kumekuwepo na dhana potofu hapa Tanzania kuwa kila mtu anayeikosoa Serikali ya sasa ya awamu ya tano lazima akutane na mkono wa chuma.Dhana ambayo imekuwa...
  4. Sherlock

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya’s economy to grow fastest in Africa in 2021 - World Bank

    The World Bank predicts that Kenya’s economy will expand by 6.9% in 2021, the fastest growth rate in Africa, and a more ambitious prediction than the government’s estimate of 6.4% economic growth in 2021. Continued support from the international lender in terms of public health interventions and...
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ukitaka uchumi upande fuata nyayo za wakoloni

    Demokrasia imeshindwa kukuza uchumi duniani kote. Hivyo kama tunataka uchumi wetu ukue silaha kubwa ni: 1. Kulipa kodi hata ikibidi kwa nguvu. 2. Kuondoa huduma za bure kwa watu wote. Hii italazimisha watu wafanyekazi kwa bidii 3. Kuondoa chakula cha njaa, watu wakifa njaa msimu mmoja msimu...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Huko duniani Treni ikipinduka kwa uzembe ni sawa na uhujumu uchumi Waziri na CEO wa shirika wanajiuzulu!

    Huko duniani ni kawaida kabisa Mtendaji Mkuu wa Shirika kama TRC kujiuzulu mara moja pale Treni inapopinduka kwa sababu ya uzembe unaoonekana kwa macho. Nakumbuka Tanzania kuna waziri alijiuzulu enzi ya Mkapa kwa sakata ama la treni au MV Victoria nimesahau kidogo. Usafiri wa treni siyo sawa...
  7. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchumi wa Kenya kukua kwa asilimia 6.9%, licha ya changamoto zote tulizopitia

    Taasisi zote muhimu kama vile IMF na Benki kuu ya dunia wameyabashiri haya, tupo kwenye "raiti traki". ========== The economy is seen rebounding to a growth of between 4.7 and 6.9 percent in 2021 from barely a percentage growth this year, offering hope to millions of households which were...
  8. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Nawatakieni heri ya mwaka mpya 2021

    Bandugu, Heri ya mwaka mpya 2021, Mungu awatunze mfikie malengo yenu. Kama una povu siyo mbaya ukalimwaga Stay blessed.
  9. GeoMex

    JamiiForums Tanzania Serikali yaingiza mabilioni ya shilingi Kesi za Uhujumu Uchumi 2020

    Dar es Salaam. Serikali imeingiza zaidi ya Sh123.6 bilioni kutoka kwa washtakiwa mbalimbali wa kesi za makosa ya uhujumu uchumi katika mwaka huu wa 2020. Kiasi hicho cha fedha ni katika kesi 15 zilizoripotiwa na gazeti hili ndani ya mwaka huu, baada ya washtakiwa kukiri makosa yao na kuanza...
  10. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania Kukuza Uchumi wa Nchi na Watu

    Wakuu, Kama mmojawapo wa raia mjenzi wa nchi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT) ambayo ni zao la Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Zanzibar Uchumi nufaishi kwa nchi na watu A: 1. Uchumi wa mazao ya Bahari 2. Uchumi wa Utalii (mali kale, viumbe adimu, wanyama asili lugha, utamaduni) 3...
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awataka TRA kuwashughulikia wafanyabiashara wanaohujumu uchumi kwa kutoa risiti za uongo

    Rais Dk. John Magufuli, amekemea suala la wananchi kununua bidhaa bila kupewa risiti huku pia akiiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuwashughulikia wafanyabiashara wanaohujumu uchumi kwa kutoa risiti za uongo. 'Wananchi hakikisha unachukua risiti kwa kila bidhaa unayonunua na muuza duka...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kulipwa mshahara wa Ubunge huku ukiwa huna sifa kikatiba ya kuwa Mbunge siyo uhujumu uchumi?

    Endapo mtu atalipwa mshahara na posho Kama Mbunge huku kikatiba akiwa Hana sifa ya Ubunge awezi kushtakiwa kwa kosa la uhujumu uchumu pale atakapoingia kiongozi mzalendo na anayesimamia katiba? Kama haiwezekani kushtakiwa kwanini watumishi wa Umma wanaokosa sifa zakuendelea kuwa watumishi kwa...
  13. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Mabenki yangeangalia namna ya kupunguza makali ya uchumi mwezi wa Januari hata kwa kutoa mkopo kidogo

    Tanzania imekuwa kama wimbo. Ikifika Januari kila mtu analia hali ngumu ya uchumi. Miaka na miaka tunalia hii hali bila kuwa na suluhisho la maana. Nashauri benki zingeangalia uwezekano wa kupunguza hii hali hata kwa kutoa mikopo midogo. Mtu hata kama anamkopo benki basi Januari aweze kutop...
  14. Deogratias Mutungi

    JamiiForums Tanzania Sera ya Rais Mwinyi ya Uchumi wa Bahari " Blue Economy" ni alama ya ukombozi kwa wanyonge kiuchumi

    Salaam Wana JF. Wakati wa kipindi cha kampeni Rais wa sasa wa Zanzibar aliongelea kwa kina maono yake na mtazamo wake juu ya uchumi wa baharini yaani "blue Economy" bila shaka hii ilikuwa ni ahadi nzuri na sera yenye mantiki katika kukuza uchumi wa watu wa Zanzibar hasa wanyonge, kwa maana...
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa viwanda si mchezo, mpaka chekechea zinabidi zisajiliwe

    Vijana wenzangu kwema? Hiki kipindi napenda kukibatiza jina kutoka MITANO TENA mpaka SHIKA ULICHONACHO. Kama una ajira shikia hiyo ajira yako, kama huna kazi basi shikia papo hapo. Una biashara shikia(chunga) biashara yako. Huna biashara basi shikia papo hapo. Rafiki yangu ana vichekechea 3...
  16. figganigga

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM haifurahi ukiwa na kiasi kikubwa cha fedha benki, unafilisiwa kwa kupewa kesi ya Uhujumu Uchumi

    Salaam Wakuu, Nmeanza kuelewa kwanini Matajiri wengi wa Tanzania wanaficha fedha zao nje ya Nchi. Siwalaumu tena. Na kama hii hali ikiendelea, Benki nyingi zitatikisika kiuchumi kwani watu watasusa kupeleka hela. Zamani Watanzania wengi walikuwa hawapeleki fedha zao benki. Walikuwa...
  17. josias

    JamiiForums Tanzania Network marketing (biashara mtandao), sekta muhimu kwa uchumi ambayo inahitaji kutolewa elimu na kutungiwa sera

    WTF
  18. L

    JamiiForums Tanzania Nina degree ya uchumi, naombeni msaada nipate kazi au intern

    Habarini za wakati; Nimemaliza chuo mwaka 2019 na ninadegree ya uchumi (Bachelor degree of science in economics; economic policy and planning) nimejitahidi kutafuta sehemu ya kujitolea, kazi au intern ila imekuwa shida kupata, naombeni msaada wenu kwa yoyote atakayeweza nisaidia kupata kazi au...
  19. Jackson94

    JamiiForums Tanzania Rafiki na adui nani anafaa katika mafanikio?

    Habari rafiki, karibu tena katika wasaa mzuri kwenye mtandao huu wa Falsafa za Mafanikio. Leo tunaenda kujifunza mtu muhimu katika mafanikio kati ya rafiki na adui. Bila shaka umeshaanza kupata picha na una majibu tayari kichwani kwako lakini naomba uungane nami ili nipate kukushirikisha kitu...
  20. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania Baraza jipya la Mawaziri: Geofrey Mwambe na Dkt. Philip Mpango turufu mpya za ukuaji wa uchumi katika awamu hii ya mwisho ya Rais John Magufuli

    BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI:MH GEOFREY MWAMBE NA DKT PHILIP MPANGO TURUFU MPYA ZA UKUAJI WA UCHUMI KATIKA AWAMU HII YA MWISHO YA RAIS JOHN MAGUFULI. Leo 13:25hrs 06/12/2020 TIC ndio mzizi uliosimikwa chini kwa Maendeleo ya Taifa la Tanzania,TIC ina wajibu wa kuifanya Tanzania kuwa sehemu bora kwa...
Back
Top Bottom