Natafuta kazi, mimi ni mwalimu wa hesabu na uchumi

Salasatna

New Member
Mar 17, 2021
1
0
Jina: Alfred Yohanis Msunza
Umri: Miaka 23
Natafuta kazi ya ualimu wa hesabu na uchumi(mathematics and economics), yeyote mwenye uhitaji naomba msaada.

Elimu yangu ni shahada nimemaliza chuo kikuu cha Dar es Salaam 2020 katika ndaki ya sayansi asilia na tumizi yaani pale makao makuu ya chuo Mlimani.
 
Oya Mwana nakujua sana ..

Tumehaso wote pale theater 1na 2 kupangua test za uchumi za ndashau ..

Kumbe hujapata kazi ..

Nikajua wew Wa math saizi upo na kazi aisee
 
Ingia UDSM ktk website yao wana taka walimu wa sayansi kwa masomo ya hesabu, fizkia, kemia biology kwa ajiri ya kufundisha shule za secondary DSM...

Nadhan wana project na shule za Dar
 
Back
Top Bottom