Uchumi wa kati huku hamna "stable electricity"?

Airmanula

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
3,524
Reaction score
5,785
Naomba tusidanganyane, ni uchumi upi wa kati ambao umeme unakatika katika ovyo. Hakuna umeme wa uhakika.

Mkiniunguzia FLAT SCREEN YANGU inchi 52 SUPER LED SAMSUNG mtaweza kuilipa? Mkiniunguzia FRIJI YANGU ya milango miwili ile kubwa kabisa, mtaweza kulipa? Nawauliza.

Multi systems zangu zilizopo kila kona ya nyumba na taa automatic kila mahali hadi nje, mkiunguza mtakuja kulipa zikiungua? MNA pesa ya kunilipa?

Kwanini mnakata umeme ovyo? Kama ni mgao semeni bwana
 
Mie nilieunguziwa charger na bulb mbili nisemeje sasa? Wamenitia hasara hawajui tu.

Nataka kulipwa
 
Yani uwe na varieties zote hizo Af usikute umeshindwa kununua Surge arrestor ya laki 2 na 50
 
Pia kuna tatizo lingine kubwa umeme unapokatika, then ukirudishwa naona unit za umeme zinakua zimeliwa kama vile ulikua unatumia mashine ya kujichua masaa 24
 
Naomba tusidanganyane, ni uchumi upi wa kati ambao umeme unakatika katika ovyo. Hakuna umeme wa uhakika.

Mkiniunguzia FLAT SCREEN YANGU inchi 52 SUPER LED SAMSUNG mtaweza kuilipa? Mkiniunguzia FRIJI YANGU ya milango miwili ile kubwa kabisa, mtaweza kulipa? Nawauliza.

Multi systems zangu zilizopo kila kona ya nyumba na taa automatic kila mahali hadi nje, mkiunguza mtakuja kulipa zikiungua? MNA pesa ya kunilipa?

Kwanini mnakata umeme ovyo? Kama ni mgao semeni bwana
Tatizo la post ni kwamba imejaa sana kujisifia. Fridge kubwa kabisa ya milango miwili. Unajuaje hio ni kubwa kabisa? Ni model gani ya fridge. Au taa za automatic kila kona. Ni taa gani hizo za gharama sana? Uchumi wa kati ni propaganda zao tu. Bado sana maisha ya mTz.
 
Tuko vizuri,
Acha kulta taharuki[emoji4][emoji116]
IMG_20210303_155716.jpg
 
Wameunguza taa zangu 4 mpaka sasa, ile incubator yangu sijui kama nitapata kitu hapa nina plan ya kusaka Generator
 
Tatizo la post ni kwamba imejaa sana kujisifia. Fridge kubwa kabisa ya milango miwili. Unajuaje hio ni kubwa kabisa? Ni model gani ya fridge. Au taa za automatic kila kona. Ni taa gani hizo za gharama sana? Uchumi wa kati ni propaganda zao tu. Bado sana maisha ya mTz.
Huyu jamaa ana dharau sana!
Yaani tupo uchumi wa kati na tunakaribia kabisa kuwa donor country, halafu tushindwe kumlipa hivyo vifaa viwili vitatu alivyo kuwa navyo!!😇
 
Wameunguza taa zangu 4 mpaka sasa, ile incubator yangu sijui kama nitapata kitu hapa nina plan ya kusaka Generator
Pole sana mkuu, watu wanaunguziwa vitu vyao sana mtaani huku kwa sasa
 
Naomba tusidanganyane, ni uchumi upi wa kati ambao umeme unakatika katika ovyo. Hakuna umeme wa uhakika.

Mkiniunguzia FLAT SCREEN YANGU inchi 52 SUPER LED SAMSUNG mtaweza kuilipa? Mkiniunguzia FRIJI YANGU ya milango miwili ile kubwa kabisa, mtaweza kulipa? Nawauliza.

Multi systems zangu zilizopo kila kona ya nyumba na taa automatic kila mahali hadi nje, mkiunguza mtakuja kulipa zikiungua? MNA pesa ya kunilipa?

Kwanini mnakata umeme ovyo? Kama ni mgao semeni bwana
TANESCO
 
Tatizo la post ni kwamba imejaa sana kujisifia. Fridge kubwa kabisa ya milango miwili. Unajuaje hio ni kubwa kabisa? Ni model gani ya fridge. Au taa za automatic kila kona. Ni taa gani hizo za gharama sana? Uchumi wa kati ni propaganda zao tu. Bado sana maisha ya mTz.
Alaf akishaambiwa umeme ni wa mgao atafanya nn na vtu vyake vya automatic😁😁😁 Pumbaav kabisa
 
Back
Top Bottom