uchumi

  1. T

    JamiiForums Tanzania Aliyemleta kocha mpemba simba queens ni muhujumu uchumi

    What a waste liooooongoooo kama yule mpemba aliywfukuzwa mtibwA
  2. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ifahamu historia ya uchumi wa Kenya kulingana na video ya kitaalam ya uchumi

    Sio nchi nyingi za kiafrika ambazo uchumi wao unafanyiwa research na hata kuandaliwa video na wataalam wa uchumi mabeberu.
  3. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Sifikirii kama kuna ulazima wa kuendesha zoezi la sensa ya watu na makazi katika kipindi hiki cha mdororo wa uchumi

    Katika mambo ambayo mataifa mengi yanapigana nayo kwa sasa ni kunusuru uchumi wao na kuachana na matumizi yasiyo ya lazima. Uchumi wa mataifa mengi umeathiriwa na mlipuko wa COVID 19 hali iliyopelekea hatua kadhaa za kubana matumizi kufaatwa. Mwakani taifa letu litafanya zoezi la sensa kwa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania SoC01 Shairi: Kushajihisha watu kuinua uchumi wa nchi yetu ili tuzidi kuendelea na kushika nafasi za juu kiuchumi

    SHAIRI KUHUSU UCHUMI WETU 1.La mgambo limelia, leo nataka wambia Mjini nimeingia, nataka wasimulia Kampeni kuwatia, ya kiuchumi sikia Rabi nijaalie njia, wapate kunisikia 2.Tumeipiga hatua, sasa uchumi wa kati Kila hatua ni dua, na tueke mikakati Hatua kuzichukua, tena zilo madhubuti Uchumi...
  5. H

    JamiiForums Tanzania SoC01 Utawala Bora ni nyenzo muhimu katika kukuza Uchumi na Uwekezaji

    UTAWALA BORA NI KICHOCHEO MUHIMU KATIKA KUKUZA UCHUMI NA KUVUTIA UWEKEZAJI Utangulizi. Nianze Makala haya Kwa kutoa tafsiri/maana ya utawala Bora ambao naumaanisha katika makala yangu hii ya Leo . Utawala Bora ni uendeshaji wa Serikali au taasisi unaofuata misingi ya...
  6. Mbasa matinde

    JamiiForums Tanzania SoC01 Muelekeo wa Uchumi na Tozo (Uchumi Kipofu)

    Muelekeo wa uchumi na tozo (uchumi kipofu) Ebu tukae tulizungumze hili kwanza, Kinachoendelea Julai 1, 2021 serikali ilitangaza ongezeko la shilingi mia kwa kila lita moja ya mafuta. julai 15, 2021 serikali ilianza rasmi ukatwaji wa kodi kwa watumiaji wa huduma za kifedha kwa njia ya simu...
  7. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchumi wa Kenya umewacha kuwa wa kishambashamba, sasa unaendelea kuwa more developed

    Fact moja katika somo la uchumi ni kwamba nchi zilizoendelea kiuchumi, sector ya ukulima huwa ni asilimia ndogo sana ya uchumi wao. Nchi nyingi za magharibi, sector ya agriculture ni takriban asilimia tano tu yaani 5%. Huku Afrika unakuta nchi zetu ni mbovu na hovyo kabisa maana unakuta kuna...
  8. mshale21

    JamiiForums Tanzania ATCL waanzisha kibubu kwa abiria wanaotaka kulipia nauli kidogo kidogo, Wahamasishaji kupewa zawadi

    Dar es Salaam Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imeanzisha mpango wa "kibubu" utakaowawezesha wananchi kulipia kidogo kidogo mpaka atakapo kamilisha malipo ya tiketi yake ya ndege. Katika mpango huo, mwananchi atatakiwa kuweka Sh50,000 kwa mara ya kwanza na kiasi kinachobakia atatakiwa kulipa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ole Sabaya asomewa mashtaka mapya 5 ya uhujumu uchumi. Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha yapewa mamlaka kusikiliza kesi

    09 September 2021 SABAYA ASOMEWA MAKOSA MAPYA MATANO "ALICHUKUA MILIONI 90 KWA MFANYABIASHARA" Aliyekuwa mkuuu wa wilaya ya hai Lengai Ole Sabaya na wenzake sita wamesomewa shtaka la uhujumu uchumi lenye makosa matano kwa madai yakuchukua million 90 kutoka kwa mfanyabiashara ili wasimchukulie...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Treni za kizamani zina umuhimu sana bado kwenye uchumi

    Nilienda likizo TZ kutoka hapa Dallas, Texas ninapoishi na kufanya kazi. Watu wengi walikuwa wananiambia tuna reli kama huko kwenu inakuja. Kitu ambacho hawajui Reli nyingi hapa sio za abiria ni za kiuchumi na zinabeba mizigo na mafuta kutoka sehemu mbalimbali kuja Texas kwa usafishaji wa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania LHRC: Ripoti ya utafiti wa Sheria ya mwenendo wa makosa ya Jinai na Uhujumu Uchumi

    06 September 2021 Morogoro, Tanzania LHRC YAWASILISHA RIPOTI YA UTAFITI WA SHERIA YA MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI NA UHUJUMU UCHUMI, YALIA WASHIRIKI kutoka taasisi za Serikali, viongozi, wahadhiri vyuo vikuu UDSM na UDOM, Asasi za Kiraia, walimu wa vyuo vikuu pamoja na waandishi wa habari...
  12. World Logistics Company

    JamiiForums Tanzania Tusimuachie Rais Samia jukumu la kuinua uchumi wa nchi, tushirikiane..

    Wadau wa Biashara na Uchumi, Nchi yetu inapitia kwenye hatua za makusudi za kuinua uchumi ulioathiriwa vibaya na corona. Tunatoa wito kwa kila mdau wa sekta yoyote, asimuachie jukumu hili kiongozi wa nchi pekee. Sisi tumeamua kuangalia upande wa sekta yetu ya usafirishaji. Tumeona namna...
  13. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa kisheria watolewa kufuatia kujiondoa kwa Jaji Elinaza Luvanda kesi ya uhujumu uchumi na ugaidi wa Freeman Mbowe na wenzake..

    Kufuatia kujitoa kwa Jaji Elinaza Luvanda anayesikiliza shauri linalowakabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa ndugu Freeman A. Mbowe na wenzake watatu katika kesi ya uhujumu uchumi na ugaidi iliyoko mahakamu kuu DSM, baada ya mshitakiwa namba 3 Freeman Mbowe kuonesha "kutokuwa na imani" naye, wengi...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania The royal tour kupaisha utalii na uchumi wetu wa Tanzania

    THE ROYAL TOUR KUPAISHA UTALII NA UCHUMI WETU WA TANZANIA Heko kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kuongoza na kurekodi kipindi Maalum cha The Royal Tour kuonyesha vivutio vyetu vya utalii,utamaduni wetu pamoja na vivutio vya Uchumi katika Taifa letu...
  15. Richard

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba usiwaadhibu wananchi wa kawaida kwa tozo lukuki, tueleze hali ya uchumi wa nchi ikoje?

    Kwa kifupi serikali ya sasa imerudisha mambo yote yasofaa ambayo mwenzao hayati Magufuli aliyaongelea kuwa ndiyo yalorudisha nyuma nchi hii. Kwa utafiti mdogo ambao mtu yeyote aweza kuufanya hadi sasa ni kwamba; 1. Wafanyabiashara wote wakubwa na walipa kodi wakubwa wote wamesamehewa kulipa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ushauri: Kupunguza miaka ambayo Wanafunzi hutumia katika masomo ili kukuza Uchumi

    Kutokana na mabadiliko ya kitekinolojia na mabadiliko ya jamii kiujumla nilazima kuwepo na namna ya kubadili mfumo mzima wa elimu hasa katika kupunguza idadi ya miaka ambayo wanafunzi hutumia katika masomo. Kwa mwanafunzi kufikia chuo kikuu mwaka wa tatu itakuwa imemchukua zaidi ya miaka 15...
  17. Emanuel Eckson

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe, James Mbatia Wahudhuria kesi ya Uhujumu Uchumi yenye Mashtaka ya ugaidi ndani yake inayomkabili Mbowe

    Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia ni miongoni mwa watu waliohudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe inayofanyika Leo Agosti 31, 2021 katika Mahakama kuu kitengo cha Uhujumu Uchumi Jijini Dar es salaam. Mwenyekiti wa TCD, Zitto...
  18. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa madereva wa Malori unatishia uchumi wa Uingereza

    Source BBC14, July 2021 Uingereza inakabiliwa na uhaba wa madereva wa malori, upungufu uliopo ambao unahitaji kuzibwa haraka ni maderava 100,000. Athari zilizotokea mpaka sasa ni Nandos kufunga baadhi ya migahawa yake wa kukosa malighafi. Mc Donald kuacha kuuza milk shake kwa kukosa supply...
  19. L

    JamiiForums Tanzania SoC01 Gereza ni Shule ya Uchumi

    GEREZA NI SHULE YA UCHUMI Gereza ni sehemu au makazi ambapo wakosefu wa sheria za nchi Fulani wamekua wakiishi kwa ulinzi na uangalizi mkali. Inafahamika kua gereza ni sehemu ya kuadhibu watu ambao wamekiuka maadili yaliyowekwa na jamii ya watu Fulani au nchi Fulani. Katika Maisha ya kawaida...
  20. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Ole Sabaya kupanda Kizimbani leo kesi ya Uhujumu Uchumi

    Aliye Kuwa mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya leo kuendelea na kesi ya Uhujumu uchumi na wenzake Sita. Mahakama ya hakimu mkazi Arusha inatarajia kumsomea mashitaka hayo Sabaya ambayo ni kesi inayo mkabili na wenzake Sita.
Back
Top Bottom