Ifahamu historia ya uchumi wa Kenya kulingana na video ya kitaalam ya uchumi

The video is good but let me correct a few wrong things that was said in the video.
1. He said that Ethiopia has a bigger economy than Kenya. That is not true, Kenya has a bigger economy than Ethiopia.
2. He said that Lamu port was funded by China. That is not true. Lamu port was 100% funded by the government of Kenya.
 
Huo mkwara kuhusu kingereza utasababisha wengi wapite kimya....hehehe!! Maana lugha iliwapiga chenga tangu enzi zileee...

Big up sana Kenya, yeah! Tumewazidi kiuchumi Ethiopia na Tanzania licha ya wao kuwa na raslimali nyingi zaidi yetu ikiwemo idadi ya wau na ardhi kwao ni nyingi.
 
Hahaha. Nimetoa hilo kejeli kuhusu kiingereza maana naona tayari wameshatoroka.
 
Huo mkwara kuhusu kingereza utasababisha wengi wapite kimya....hehehe!! Maana lugha iliwapiga chenga tangu enzi zileee...

Big up sana Kenya, yeah! Tumewazidi kiuchumi Ethiopia na Tanzania licha ya wao kuwa na raslimali nyingi zaidi yetu ikiwemo idadi ya wau na ardhi kwao ni nyingi.
Kiingereza sio issue, hawapendi kuona ukweli kuhusu Kenya inayo onyesha Kenya is above Tanzania by far with hard facts yenye mtu hawezi pinga, so wanapita kimya kimya.,
 
Back
Top Bottom