uchumi

  1. Opportunity Cost

    JamiiForums Tanzania Changamoto za kuwa uchumi wa kati ni maumivu ya kodi kuwa juu

    Wakati tunashangilia kuingia Uchumi wa Kati basi ujue Tulikuwa tunashangilia yafuatayo; 1.Nchi kuhama kutoka kupewa mikopo nafuu na ya mda mrefu na kukopeshwa mikopo ya Kibiashara. 2.Kukoma au Kupungua kwa misaada ya wahisani.kama misaada ya kibajeti nk 3.Kuanza kujitegemea kwa kila...
  2. shamimuodd

    JamiiForums Tanzania Kenya Vs Tanzania: Wapinzani vs Mbadala kukuza uchumi

    GTs, Hivi wapinzani wetu wataacha lini kufanya mikutano isiyokuwa na tija? Juzi hapa Zitto Kabwe kaitisha kikao cha majungu majungu, yaani mchumi mzima anaongelea eti tulikosea kukabiliana na Corona utadhani yeye mwenyewe hajioni kuwa ni mfaidika wa njia sahihi na bora ya kukabiliana na korona...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Serikali ifanye nini ili uchumi wetu uipiku Kenya na mataifa yenye uchumi mkubwa kuliko sisi?

    Kama inavyojulikana ni kwamba Tanzania ina kila sababu ya kupiga hatua kiuchumi kutokana na mahali ilipo. Hata hivyo mimi nilitarajia baada ya kuachana na siasa za kijamaa huenda tungeanza kuyapiku kiuchumi mataifa mengi yanayotuzunguka na hata yaliyo mbali. Ndipo najiuliza kama taifa tufanye...
  4. Riviera aika

    JamiiForums Tanzania SoC01 Maendeleo ndani ya Jamii ni chachu kubwa katika kuinua Uchumi wa Nchi

    Ni Vema tungeanza kwa kutambua maana halisi ya neno MAENDELEO. "Maendeleo ni mabadiliko yanayo onekana kuboresha hali ya binadamu na mazingira kwa ujumla".Kuna ngazi tatu za kimaendeleo; Maendeleo Binafsi,Maendeleo ndani ya Jamii na Maendeleo ya Nchi kiujumla.Aina zote hizi za maendeleo...
  5. V

    JamiiForums Tanzania SoC01 Uwekezaji wa Vijiji vya kisasa katika kuchochea ukuaji wa uchumi wa nchi na mtu mmoja mmoja

    Utangulizi Tanzania kiuhalisia bado ni nchi ambayo inategemea uchumi wake kukua kupitia vijiji vyake ambavyo shughuli za watu wake wengi hutegemea kilimo. Mbali na kutegemea kilimo zaidi na shughuli zingine, lakini bado vijiji vingine viko nyuma zaidi katika nyanja za kijamii, kiuchumi na...
  6. Msanii

    JamiiForums Tanzania BRT inahujumu uchumi kwa makusudi

    Sekta ya usafiri hasa wa abiria jijini Dar ilielekea kupata ufumbuzi baada ya Serikali kuwekeza kwenye mradi wa mabasi yaendayo kasi almaarufu Mwendokasi. Kinachoendelea baada ya hapo ni kwa wasimamizi wa mradi huo kuuendesha kama kampuni za Kipemba. Yaani wanafanyabiashara wanapojisikia...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Upandaji wa Mlima Kilimanjaro uboreshwe ili walemavu, wazee na wenye uzito kubwa waweze kufika kileleni

    MLIMA KILIMANJARO Mlima kilimanjaro ni fursa ya utalii inayoingiza kipato kwa Serikali na watu binafsi, lakini pia ni sehemu ya kuimarisha afya kwa mtalii kupitia kutembea, lakini mlima Kilimanjaro bado upo katika Hali ya kubagua wapandaji/watalii sababu mlemavu, wazee na watoto, hawapati fursa...
  8. smartdunia

    JamiiForums Tanzania SoC01 Jiongeze zaidi

    "Mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake",msemo huu uliobeba maana,yamkini unatumiwa na waswahili kufikisha ujumbe kwa watu kua watu wanatakiwa kuishi kulingana na uwezo wao wa kimaisha ulipoishia,lakini kwa upande mwingine tunapaswa kukubaliana kua matumizi ya msemo huu ni sahihi kwa asilimia zote...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama moja ya 'Literature' ya Uchumi inasema Masikini na Wajinga ni Muhimu katika 'Economy Stimulation', kwanini tunaupinga Ujinga na Umasikini?

    Katika hili lililo mezani ( nililolileta ) leo GENTAMYCINE nitakuwa Msomaji zaidi wa 'Comments' pamoja na 'Intellectual Arguments' zenu ili nami pia Kichwa changu na Ubongo wangu uimarike kwa uelewa wa Mambo makubwa, mazito na muhimu kama haya. Nataka hasa 'Critical Anaysis' zenu hapa.
  10. Jaji Tz

    JamiiForums Tanzania Air Tanzania (ATCL) kichocheo cha ukuaji wa uchumi Tanzania

    The Diplomat Air Tanzania (ATCL) ni shirika la umma na limekodishiwa ndege na serikali kutoa huduma kwa wananchi ,na kwa mara kadhaa hasa kipindi hiki cha corona halijatengeneza faida shirika kama shirika lakini faida ya ndege hizi ni kubwa hasa kwenye sekta nyingine za uchumi ikiwemo biashara...
  11. Kilenzi Jr

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kwanini ELIMU ya juu haitoi mchango kikamilifu kukuza uchumi wa nchi?

    Pamoja na kuongezeka kukubwa kwa wanafunzi wanaojiunga na elimu ya juu, vyuo vyingi vikuu vya Kiafrika havitoi wahitimu wengi, na wengi wao hawana stadi zinazohitajiwa kuinua maendeleo ya kiuchumi ya taifa katika karne ya 21. Kwa hiyo kizuizi kimoja kikubwa katika kukuza uchumi ni maamuzi...
  12. Fatma-Zehra

    JamiiForums Tanzania Chanjo, Lockdown, Uchumi na Mitego ya Kiintelijensia: Tanzania ya 2022

    Uwezo wangu wa kisiasa, kiuchumi, na ki-intelijensia ni mdogo sana. Naomba niliweke hili wazi mapema. Sisi ndiyo wale tunaouliza lini "Brazil itacheza na Manchester". Ninachompendea Mama, tofauti na JPM ni tabia yake ya kuwa brief. Hotuba ya Mama usipoiwahi basi utakuta amemaliza. Harudiirudii...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Tozo zote za simu zinapaswa kuondolewa ili kukuza uchumi

    Tozo zote za simu zinapaswa kuondolewa ili kukuza uchumi Kwa mujibu wa taarifa za mtandaoni inakadiriwa kuwa watu zaidi ya bilioni 5 ulimwenguni wanatumia simu za mkononi katika shughuli mbalimbali za mawasiliano. Mbali na kuwezesha mawasiliano huduma za simu zinatajwa kama kichocheo kikubwa...
  14. Kiwelesi

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kijana amka sasa!

    Karibu ndugu msomaji wa nakara yetu hii fupi, ninayo kuletea kwako wewe pamoja na jamii yote kiujumla hasa vijana ambao wanadhani kitokana na hatua hii ya serikali yetu wanaona kama ni kikwazo cha kutimiza ndoto zao hata malengo yao, na kubaki kulalamika bila kuchukua hatua. kwa muonekano huo...
  15. OLS

    JamiiForums Tanzania Tusiruhusu Covid-19 iathiri uchumi

    Julai 25, 2021 Wizara ya Afya imetoa muongozo wa kiafya ambao kimsingi haujaangalia ukali wa COVID19 na hali za maisha ya watu mtaani. Eti kinyozi anunue mataulo... ekhe wakati yeye vinyozi tuliozoea hata kubadili wembe ni ishu, hiyo mashine yenyewe kaiunga unga, ya moto hata mwenyewe...
  16. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mbinu bora za kujikomboa kiuchumi na kibiashara ili kujiletea maendeleo

    Moja kati ya vitu mahimu sana katika kuinua uchumi wa inchi pamoja na kuleta maendeleo kuanzia kwa mtu mmoja mmoja adi kwa taifa ni biashara, kuna biashara za aina nyingi nyingi kama vile maduka ya vyakula, magenge, nakadhalika. Kila biashara unayoiona, kuijua au kuimiliki usije kamwe...
  17. Stiv

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kuelekea Uchumi wa Wananchi

    PAMOJA TUNASHINDA Kumekuwa na mapambano na vita dhidi ya umasikini, nchi imekua ikibadilisha sera na kauli mbiu kila utawala mpya ukiingia, Licha ya jitihada zote hizo takwimu zinaonyesha ya kuwa kuna maendeleo ya serikali ki takwimu na watu wake wakisalia katika mkwamo ule ule wa umasikini...
  18. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Serikali ifanye nini kukuza uchumi wa viwanda nchini na kutengeneza ajira

    Ili kukuza uchumi wa viwanda nchini na ili viwanda viendelee kuwepo, kuzalisha na kutengeneza ajira kwa watanzania ni lazma yafuatayo yatekelezwe; Kuwekeza kwenye kilimo cha umwagiliaji, kama chanzo cha malighafi za kwenda viwandani Tanzania ni nchi kubwa sana na sehemu isiyoishi watu (mapori)...
  19. Nyamsusa JB

    JamiiForums Tanzania Ugaidi, Uhaini na Uhujumu uchumi ni kesi zitakazoshamiri sana kwa Wapinzani Tanzania

    Hizi ni kesi zisizokwepeka kwa Wapinzani Tanzania 1. Ugaidi 2. Uhujumu Uchumi 3. Uhaini Ukikoswakoswa na hizo basi utakutana na namba nne 4. Sio Raia wa Nchi. Safari bado ndefu.
  20. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ningeweza kupandisha uchumi wa Tanzania kwa kuwekeza katika bidhaa mpya zenye thamani kwa sasa duniani

    Kama kichwa cha bandiko hili kinavyojieleza kwamba. "Ningeweza kupandisha uchumi wa Tanzania kwa kuwekeza katika bidhaa mpya zenye thamani kwa sasa duniani". Ndugu zangu, Naomba nianze kwa kueleza sababu moja inayofanya Gross Domestic Product per capital yetu kuwa ndogo. Gross Domestic...
Back
Top Bottom