Aliyemleta kocha mpemba simba queens ni muhujumu uchumi

Kocha Mpemba hamna kitu kabisa.
Vijana wanazidi kuwa goigoi kila kukicha.
Toka aingie kila mechi wanafungwa. Na aliikuta timu imara chini Mgosi.
Hastahili kufundisha timu ya wanawake.
Timu haishindi toka aingie

Fatumadewji, fanya kweli haraka la kuna hasara kubwa mbeleni.
 
Upemba wake sio uliomfanya ashindwe ila Simba Queen hawakustahili kuwa mabingwa Miami uliopita.
Mechi ya Mwisho ya kuamua ubingwa Simba ili bebwa. Refa hakutaka kumaliza mpira mbaka alipo watafutia goli dk ya 109, Matokeo ya kubebwa ndio Yale yaliyo jitokeza kwenye michuano ya Nairobi.
 
Malalamiko Fc
Unakumbuka mechi ya mwisho ya Ligi na wasichana wa utopolo matokeo yalikuwaje.
Au nikukumbushe kidogo.
Mwanahamisi aliwafanya kitu gani kibaya.
Jumla mlipigwa bao ngapi ?

Kulalamika tu hata mechi huangalii
Ni kama mmelogwa vile.

Nairobi ulikuwa ni mchujo wa vilabu vya Afrika mashariki nikukumbushe.
Na kama sio huyo Mpemba wako wasichana wangetoboa vizuri tu.
 
Yule mpemba hakawii kuanza kuwalawiti binti zetu. Achunguzwe kwa umakini sana
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom