uchumi

  1. Jelavic

    JamiiForums Tanzania Mbowe hatofungwa ila anampisha Rais ajenge uchumi kwanza

    Kwa jinsi kesi inavyoenda na hukumu ndogo ndogo zinavotupiliwa mbali ni wazi tayari kuna malekezo ya wapi kesi ifike na mpaka ifike huko basi muda utakuwa umsogea sana rais atakuwa ameisha onesha muelekeo wake anatupeleka wapi. Wakati SSH anaingia na wapinzani wakaanza makongamano ya katiba...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Samia zuia mazao kwenda nje ya nchi, njaa inalinyemelea Taifa

    Mh. Ukiachilia mbali mfumuko wa bei wa ajabu kuwahi kutokea,,,nakuomba zuia mazao kwenda nje ya nchi ulinisuru Taifa na njaa,,mvua zimegoma kunyesha mahindi na mpunga vimeanza kupandishwa bei kiholela.Mh.nakuomba simama na wananchi angalau kwa hili njaa itakuletea mgogoro mkubwa katika utawala...
  3. B

    JamiiForums Tanzania DC Mwenda awafunda vijana jinsi miaka 60 ya uhuru uchumi wa Tanzania ulivyobadilika

    DC MWENDA AWAFUNDA VIJANA JINSI MIAKA 60 YA UHURU UCHUMI WA TANZANIA ULIVYOBADIRIKA Maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru mkoani Singida vijana wamefanya Kongamano Vijana na wametakiwa kuenzi miaka 60 ya uhuru wa Tanzania bara na miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanziba kwa kuangalia mabadiliko katika...
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya kunyongwa hadi kufa ndio Siri ya uchumi mkubwa duniani

    Mataifa ambayo uchumi wao uko juu sana duniani wana adhabu katili sana kwa watu wao wanaobainika kuhujumu uchumi kunakosababisha mtu afikirie mara mbili kabla ya kuiba mali ya umma. Hapa kwetu adhabu ya kumtia mimba mtoto wa shule ni kubwa kuliko aliyeiba hela za umma kwa mabilioni. Nani...
  5. OLS

    JamiiForums Tanzania Mbali na kuhitaji vijana wajiajiri, vitabu vya masomo ya biashara na uchumi ni vichache kwa shule za Advance level

    Kwa takwimu zilizopo katika tovuti ya TAMISEMI, vitabu vya masomo ya biashara kwa wanafunzi wa Advanced Level ambayo ni Accountancy, Commerce na Economics ni vichache ukilinganisha na vitabu vya masomo mengine Kwa mwaka 2021, kulikuwa na vitabu 378 vya Accountancy, 392 vya Commerce na 4,057 vya...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kauli za kuwaita mawaziri wapumbavu ama nonsense zitafutwa na Katiba Mpya

    Katiba yetu inampa Rais mamlaka makubwa sana nchi hii. Rais ni kama Mungu kwa mujibu wa katiba yetu. Mawaziri wanatwezwa lkn hawana cha kufanya. Wakijuzulu "mungu" anaweza kutafsiri hatua hii kama dharau na kuamua kuwashughulikia. Wanalazimika kuipokea kauli ya "mungu mtu" kwa mikono miwili...
  7. Von Bismarck

    JamiiForums Tanzania Hifadhi ya Rubondo yageuka kitega uchumi kwa askari game

    Kwanza nianze kwa kuwapongeza askari wa hifadhi za wanyamapoli walio waadilifu, kwa kuendelea kusimamia kulinda urithi wa maliasili tulizo nazo ikiwemo hifadhi ya Taifa ya rubondo. Kwa wasio ifahamu rubondo ni kisiwa kinachopatikana ndani ya ziwa Victoria. wilayani chato, Mkoani Geita...
  8. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na wenzake - Desemba 1, 2021. Shahidi asimulia alivyowekwa chumba cha mateso gerezani. Uamuzi kusomwa Desemba 14, 2021

    Leo tarehe 1/12/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe na wenzake inaendelea baada ya kuahirishwa siku ya Jumanne, tarehe 30 Novemba, 2021. Kujua kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri Mahakama Kuu divisheni ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, kesi ya Mbowe na wenzake - 30 Nov 2021...
  9. L

    JamiiForums Tanzania China kwa mtazamo wa mwafrika anayeishi China kwa karibu miongo miwili: China ya sasa ina mambo mengi ya kujifunza kuliko uchumi peke yake

    kasri ya kifalme mjini Beijing (Forbidden City) mandhari ya kisasa mjini Shanghai Kwa muda wa muongo mmoja sasa China imekuwa inatajwa kama nchi yenye uchumi wenye nguvu ambao unakaribia kuupita ule wa Marekani. Kwa watu wengi wa Afrika picha ya China kidogo ina mchanganyiko wa yale...
  10. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Zitto: Uchumi wetu ni duni sana

    Watanzania Milioni 31 ndio wenye uwezo wa kufanya kazi (nguvu kazi), kati ya hao 61.5% wanajishughulisha na Kilimo (ikiwemo uvuvi, ufugaji na misitu), 14.5% wanajishughulisha na Biashara, 3.7% wameajiriwa kwenye Viwanda na 1.4% kwenye uchimbaji wa madini. Uchumi wetu ni Duni sana
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anasema Uchumi wa Tanzania umekuwa sana na Watanzania sasa wana hela nyingi na Miradi mikubwa ipo na mingine inakamilika

    Kumbe Watanzania wakiwa katika Mgawo wa Umeme, Maji ya shida, Tozo za kila aina Kuongezeka na Mfumuko wa Bei na hata wa Bidhaa nao Kukua, Ajira kutopatikana, Benki zikitoa Mikopo kwa Riba Kubwa na Kiwango cha 'the haves' and 'the haves not' nchini Tanzania kikiongezeka kwa Kasi ndiyo tafsiri...
  12. Fatma-Zehra

    JamiiForums Tanzania Uchumi wetu unaweza kuanza kuanguka mwishoni mwa 2023: Rais Samia anahitaji "National Security Advisor" aliyebobea sana

    Shikamoo mama. Pole na majukumu. Bado ninaamini kuwa wewe una utu. Endelea kuwa na utu na siyo ulegevu. Majizi ni mengi kuliko idadi za pikipiki zilizoko mkoa wa Katavi. I love you. Naomba nikupe ushauri. Data zinaonyesha mambo yafuatayo: 1. Mwaka 2022 yawezekana kukawa na njaa Kali sana...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo uchumi unakua kwa kasi. Tumepunguza kiwango cha umasikini

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ni miongoni mwa Nchi 10 za Afrika ambazo Uchumi unakua kwa kasi. Pia, imekuwa na utulivu wa Mfumuko wa Bei na Thamani ya Fedha. Ameeleza, "Tumeona viashiria vya Maendeleo kwenye Maendeleo ya mtu. Tumeweza kupunguza kiwango cha umasikini...
  14. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Serikali inaweza kufanya nini kukabiliana na mdororo wa uchumi unaoikuta nchi kila Januari?

    Habari wakuu. Kawaida ni jukumu la serikali kukabiliana na mdororo wa uchumi haijalishi kilichosababisha. Sasa nchi yetu karibu kila mwezi wa january hupatwa na mdororo wa uchumi. Kwa wengine kurevover huchukua hadi miezi miwili maana huingia kwa wakopesha riba wa vichochoroni nk. Sasa hili ni...
  15. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Zitto anasema Magufuli aliharibu uchumi kwa miaka 5, msikilize hapa akiwa na Magufuli akimsifia hadharani

    Mimi ni mtu naependa consistency, mtu akishakua unpredictable siwezi kumuelewa. Leo Zitto anashinda mitandaoni anamsema Marehemu Magufuli kwamba aliharibu uchumi, hakuna kitu alichofanya na kumbebesha lawama zote za udhaifu ama inefficiency ya serikali ya awamu ya sita kwamba ilisababishwa na...
  16. MGOGOHALISI

    JamiiForums Tanzania CCM acheni Janjajanja. Mliua uchumi wa nchi miaka mitano iliyopita

    Miaka mitano mfululizo tuliona misifa na mipambio ya kumsifu mtukufu kuwa anafanya vizuiri. Ghafla eti kila kitu kimesinyaa na mnavunja rekodi kwa kuleta hadi mgao wa maji. Ukweli ni kwamba haya yote mliyasababisha miaka mitano iliyopita kwa kuacha kuusema ukweli mkahamia kusifu na kuabudu...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tuko Uchumi wa Kati tumepanda daraja na misaada kutoka kwa Wafadhili inapungua sana

    Rais Samia amesema kuingia kwetu katika uchumi wa kati ni kupanda daraja na wafadhili wanapunguza sana misaada kwa sababu sasa tunastahili kujitegemea kwa kiasi kikubwa. Rais Samia amesema hayo katika sherehe za miaka 50 ya hospitali ya Bugando na kuwataka watanzania wafanye kazi kwa bidii...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Mwalimu Nyerere: Watanzania uchumi mnaukalia

    Leo mtanzania analia lia na shida ya Umeme leo Mtanzania analialia na shida ya maji. Tuna ukanda wa bahari kwa zaidi ya kilomita 700 Tuna maziwa Makuu ya Afrika na tuna mito inayotiririsha maji tokea iumbwe Dunia Tuna gesi isiyomalizika Mtwara huko Kuna nchi hazina mvua hazina mito...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Watanzania wangechambua siasa na uchumi kama wanavyochambua mpira tungefika mbali

    Habari zenu wakuu, Bila kupoteza mda niende kwenye hoja yangu, miaka ya hivi karibuni kumekua na utitiri wa radio nyingi za masafa ya FM, kama tunavyojua dhima kubwa ya vyombo vya habari ni kuelimisha, kuhabarisha na kuburudisha jamii. Kwa upande wa Redio zetu za Tanzania vipindi vya michezo...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kweli Tanzania kutumia shilingi trilioni 1.7 kununua ndege?

    Someni hii:
Back
Top Bottom