Emanuel Eckson
Member
- May 24, 2017
- 11
- 14
Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia ni miongoni mwa watu waliohudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe inayofanyika Leo Agosti 31, 2021 katika Mahakama kuu kitengo cha Uhujumu Uchumi Jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa TCD, Zitto Kabwe akiwa na mwenyekiti aliemaliza muda wake kwenye taasisi hiyo, James Mbatia, wakijadiliana na Afisa wa Siasa Ubalozi wa Marekani, Phil Nervig nje ya mahakama walipoenda kusikiliza kesi ya Freeman Mbowe