Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.
Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.
Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.
Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.
Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
1 September 2020
Dodoma, Tanzania
Bila Uwoga SUGU ailipua TUME ya UCHAGUZI, Amtaja Katibu wa CCM, - "Amani ya nchi Ipo mikinoni Mwao"
Wabunge Wa CHADEMA Walioenguliwa na Wasimamizi wa Uchaguzi Katika Majimbo Mbalimbali Wamekutana Na Waandishi Wa habari jijini Dodoma Kuiomba Tume Ya Uchaguzi...
Kama tunavyojua, mwaka huu ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu na katika mchakato huo, Watanzania wote huwa na haki sawa ya kushiriki katika uchaguzi huo kwa kuchagua au kuomba kuchaguliwa katika nafasi mbalimbali zinazogombewa.
Katika Uchaguzi wa mwaka huu, kumetokea kuvunjwa kwa rekodi ya kujitokeza...
Wanajamvi,
Kwa wale ambao wamefuatialia “Tanzania demographics”, watakubaliana na mimi. Lakini pia kama upo Tanzania utaelewa ninachosema.
Lakini kuna mabandiko mengi ambayo nilikwishazungumzia kuhusu “Tanzania Demographics”, haswa kwenye thread za kuhusiana na “COVID-19”. Ambapo niliweka...
Ukiondoa akina Christopher Kasanga Tumbo wale wapinzani wa kabla ya CCM hakuna mpinzani wa sasa (hawa wa 1992) mwenye jeuri ya kukataa ofa ya uteuzi wa Rais.
Sina shaka baada ya uchaguzi, Tundu Lissu atamkumbusha Rais Magufuli kuhusu ahadi hii ya uteuzi. Tulimwona Prof. Kitila alivyowaponda...
Wanabodi salam!
Ninaomba kwenye huu uzi tujadili kuhusu ilani za vyama vya upinzani hasa vile ambavyo tayari vimeshatoa ilani zao.
CDM wao tayari wameshatoa ilani yao na sera yao kubwa ni
UHURU HAKI NA MAENDELEO.
ACT Wazalendo wao pia walizindua ilani yao jana yenye sera kubwa.ya "KAZI NA...
NOTES TO: POLICE FORCE,FBI,CIA,INTERPOL,TISS and ALL GOVERNMENTS SYSTEM all over the World.
"INNOCENT" special Video song to Police Officers, FBI,CIA,TISS and Governments Systems. Watch this animated song to change Police forces from Don Nalimison
Tunaelewa JKT Wana miradi wanayosimamia na yawezekana wanalipwa kujenga majukwaa ya CCM kwa ajili ya kampeni. Ila huu ni uchaguzi na jeshi ni chombo neutral katika issue kama hizi, tuliona Dodoma magereza wakitumia wafungwa kufunga bendera za chama, leo Singida JKT wanaingia mtaani kutengeneza...
ILANI YA CCM INATOA SULUHU YA MASWALI, ACT NA CHADEMA ZINALALAMIKA
Na Elius Ndabila
Nimefanikiwa kuzisoma Ilani za vyama vitatu, yaani Ilani ya CCM, ACT Wazalendo na CHADEMA. Nikiwa ninazipitia Ilani hizi nimegundua utofauti mkubwa kwenye kujibu mahitaji ya Watanzania.
Ilani ya CCM kama chama...
Mimi huwa mara zote napenda kusema ukweli. Niwe kazini, barabarani au nyumbani ukweli ndio ngao yangu.
Kwa hakika Mimi sitamchagua Magufuli wala mwana CCM yeyote kwa ngazi yoyote ile katika uchaguzi huu.
Ila kwa hali inavyoonekana Magufuli atashinda tena kwa kura za ndio. Hii imesababishwa na...
Kwa tulioko hapa nchini 'Malawi ya Kaskazini' tunajua kuwa sasa Kampeni za Uchaguzi Mkuu zimeshaanza japo nimegundua kuwa kumbe kwa mara ya Kwanza Uchaguzi Mkuu wa hapa 'Malawi ya Kaskazini' umefanana mno 'Kiratiba' na ule Uchaguzi Mkuu ambao nimesikia kuwa unaenda Kufanyika pia kwa 'Majirani'...
SIku chache tu baada ya kampeni kuanza PAYE (pay as you earn) imepunguzwa na mishahara kuongezeka automatically, unafikiri nani hajui umuhimu wa demokrasia ya vyama vingi.
Jamani Demokrasia ya vyama vingi ni muhimu sana kwa maendeleo ya nchi, tusijiloge kufuta vyama vingi.
Tuweke rekodi sawa, Deo Mwanyika alihukumiwa kwa kukwepa kodi.
Michango ya NSSF ya Deogratius Mwanyika, aliyekuwa Rais wa migodi ya Pangea, North Mara Exploration na Bulyanhulu, imelazimika kulipa sehemu ya fidia ya makubaliano maalum kwa Serikali baada ya kukiri kufanya makosa.
Fedha kiasi...
UCHAGUZI US
Ni miezi miwili imebaki kwa Taifa kubwa la Marekani kufanya uchaguzi.
Wiki mbili zilizopoita Democrats na Republican vilifanya mikutano ya kuwathibitisha wagombea.
Mwaka huu kutokana na gonjwa la Corona, vyama vimefanya isivyozoeleka ''unconventional convention
Rais Trump akiwa...
WITO KWA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUKUTANA NA CHADEMA NA ACT WAZALENDO KUTATUA TATIZO LA KUENGULIWA KWA WAGOMBEA.
Tarehe 29 Agosti 2020, nimetoa wito kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi kukutana na Uongozi wa CHADEMA na ACT Wazalendo kwa lengo la kuzungumza na kutatua tatizo la kuenguliwa kwa...
Ndugu zangu wana JF,uhuru amani na haki viwe pamoja nanyi. Kwa kweli kila ikikaribia uchaguzi Mkuu wa nchi yetu ukiangalia mwenendo wa kijamii, kiuchumi na kisiasa wa nchi yetu huwa nakumbuka Nukuu ya Hayati Jomo Kenyatta alivyomwambia Mwl.Nyerere.
"Jomo kinyata alimwambia Nyerere mimi...
Mamlaka za uchaguzi ziweke mazingira sawa kwa wagombea woote bila kuegemee upande wowote.
Vyombo vya dola visikubali kutumika kisiasa.
Wagombea mtoe hoja na siyo lugha za matusi
Tukumbuke amani ya Taifa letu ni muhimu sana" .
Kwa hiki kipindi kifupi ambacho viongozi wa vyama mbalimbali wamekuwa wakitoa hotuba zao majukwaani, nimejifunza yafuatayo:-
(1)Kuna wagombea waliojiandaa kushinda Uchaguzi.
(2)Kuna wagombea waliojiandaa kushindwa Uchaguzi.
Wagombea waliojiandaa kushinda Uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2020...
Nimekuwepo tangu uchaguzi wa 1995 , nimejaribu Ku review chaguzi zote kuanzia hapo na zilizo fuatasijawahi kuona upuuzi unaofanywa na tume awamu hii wa kuwaengua wagombea wa vyama vya upinzani na kuwaacha wa chama tawala wapite un opposed.
Hapo kabla kulikuwepo matukio ya baadhi ya wagombea wa...
CUF NI CHAMA CHA WANANCHI KINATEGEMEA WANANCHI WENYEWE TUCHANGIE CHAMA CHETU TUWEZE KUSHINDA UCHAGUZI HUU NA TUTASHINDA
#HABARI Mgombea wa urais wa Tanzania kupitia CUF, Mchumi wa Dunia Prof. Ibrahim Haruna Lipumba Leo agosti 29, 2020 amezindua mpango maalum wa wanachama na wapenzi wa CUF...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.