uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. Roving Journalist

    GE2020 Ilani ya CHAUMMA ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani 2020 - 2025

    CHAMA CHA UKOMBOZI WA UMMA (CHAUMMA) ILANI YA UCHAGUZI (MANIFESTO) JULY 2020 IMETOLEWA NA HAMASHAURI KUU YA TAIFA CHAMA CHA UKOMBOZI WA UMMA MTAA WA KIJITONYAMA, KINONDONI DAR ES SALAAM JULY .2020 YALIYOMO 1.0 Utangulizi 1 2.0 HALI YA NCHI 2020. 3 3.0 Ajenda zetu katika uchaguzi wa...
  2. Kurzweil

    Upinzani waliomba Jeshi kususia uchaguzi nchini Venezuela

    Kiongozi wa upinzani Venezuela Juan Guaido amelitaka jeshi la nchi hiyo kuunga mkono hatua ya kususia uchaguzi wa bunge unaopangwa Desemba na kusaidia kuongeza shinikizo la kimataifa dhidi ya Rais Nicolas Maduro. Katika hotuba aliyorusha kwenye mitandao ya kijamii, Guaido ameuomba uongozi wa...
  3. Return Of Undertaker

    GE2020 Askofu Niwemugizi ataka walioenguliwa wote warejeshwe kwenye kinyang’anyiro, Uchaguzi uwe wa Haki

    ASKOFU NIWEMUGIZI ATAKA WALIOENGULIWA WARUDISHWE WOTE, UCHAGUZI UWE WA HAKI Mimi naamini kwamba amani msingi wake ni haki. Pale ambapo kuna haki, amani itatawala." Askofu Niwemugizi aiomba Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kutenda haki kwenye mchakato mzima wa kupata viongozi wa nchi oktoba...
  4. A

    GE2020 Barua ya Wazi kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuhusu Mwenendo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu (2020) za Mheshimiwa Tundu Lissu

    Ndugu mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Ninachukua fursa hii kukupongeza wewe na timu yako kwa kazi ngumu mnayoifanya. Mnafanya kazi zenu kwa weledi na kwa mujibu wa sheria. Hongereni sana. Kama inavyofahamika, nchi yetu hufanya uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani kila...
  5. Fantastic Beast

    GE2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yaanza kutoa matokeo ya rufaa za Udiwani na Ubunge zilizokatwa na wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa 2020

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeanza kutoa matokeo ya rufaa za udiwani na ubunge zilizokatwa na wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa 28 Oktoba 2020. Leo tume imetoa matokeo ya rufaa 55 kama ifuatavyo: 1. Imekubali rufaa 15 na kuwarejesha wagombea katika kinyang'anyiro cha uchaguzi. 2. Imekataa...
  6. TandaleOne

    GE2020 Takwimu hazidanganyi: CCM wameshashinda Uchaguzi kwa Idadi ya Kura za Kanda ya Ziwa

    Ni kama ambavyo wakati wote nimesisitiza kuwa Uchaguzi ni maarifa, mipango na akili, hakuna kitu kina guarantee ushindi katika mpambano wa kisiasa kama kuchanga karata zako vyema, na kwa kuitazama CCM chama changu, ni wazi kuwa Viongozi wake na Mgombea mwenyewe amejipanga vyema sana. Leo...
  7. Miss Zomboko

    Utafiti: Joe Biden (Democrat) ana nafasi ya kushinda katika Uchaguzi wa Marekani kwa 71.1%

    Joe Biden stands a 71.1% chance of winning the Electoral College, according to the Sept. 7 run of poll aggregator FiveThirtyEight’s election forecasting model. He is predicted to win 334 of 538 electoral votes. The model estimated Donald Trump’s chances at 28.4% According to the Sept. 7 run of...
  8. Mwanahabari Huru

    Askofu Mkuu Emmaus Bandekile akanyaga ardhi ya Zanzibar na kukemea hujuma na ukiukwaji wa haki katika Uchaguzi Mkuu

    Tarehe 7 Septemba 2020: Niliendelea kupaza sauti ili kutaka HAKI katika nchi. Nilionya na kutahadharisha kuhusu uwezekano wa kutokea kwa vurugu za kisiasa katika Visiwa vya Unguja na Pemba (Zanzibar) endapo Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) haitawarejesha Wagombea wa Upinzani walioenguliwa hasa...
  9. M-mbabe

    GE2020 Buberwa Kaiza: Vituko na makosa kwenye kampeni za uchaguzi jana Jumatatu 7/9/2020

    Vituko na Makosa kwenye kampeini za Uchaguzi jana Jumatatu 7/9/2020 Kituko: Jana Jumatatu, Septemba 7, maofisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), walikuwa wanatembelea baadhi ya NGOs ambazo NEC ilizipatia vibali vya kutoa elimu ya mpiga kura, kutathmini jinsi NGOs hizo zinavyotekeleza majukumu...
  10. A

    Vijana wa sasa tufikiri kuhusu haya

    Vijana sisi ni watu wenye nguvu sana katika Historia mambo mengi makubwa yalifanywa na watu wakiwa katika umri wao wa ujana mfano hao kina Malcom X, Marcus, Martin Luther, Mandela, Nyerere na wengineo Historia inawazungumzia mpaka leo kwasababu ya waliyoyafanya wakiwa vijana at their 20's and...
  11. R

    GE2020 Ilani ya CHADEMA kuhusu Bima ya Afya ina ulaghai

    Katika uzi niliowasilisha awali nilizungumzia kuhusu athari ya ilani ya CHADEMA kwa ndoa na ajira; katika uzi wangu wa pili nilizungumzia kasoro za kiuchumi katika ilani za CHADEMA na ACT-Wazalendo. Katika uzi wangu huu wa tatu, nitazungumzia ulaghai kuhusu utekelezaji wa sera ya bima ya afya...
  12. Roving Journalist

    GE2020 Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za CCM jijini Mwanza - Septemba 7, 2020

    Leo mgombea wa Urais kupitia chama cha mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli yupo jijini Mwanza baada ya kuwasili jana ambapo yeye na chama chake wanatarajia kuzindua kampeni zao jijini humo kwenye uwanja wa CCM Kirumba kuomba ridhaa ya wananchi kuendelea kuongoza serikali. Mwaka 2015, Dkt...
  13. Doctor Mama Amon

    Asemavyo Andreas Schedler kuhusu Mbinu za kuchakachua mchakato wa Uchaguzi

    Andreas Schedler ni mwandishi wa kitabu kinachojadili mbinu mbalimbali za kuchakachua chaguzi za kidemokrasia. Kitabu hicho kinaitwa "The Politics of Uncertainty: Sustaining and Subverting Electoral Authoritarianism." Tafsiri yangu ya jina hili ni “Siasa za Hofu: Kupanda na Kushuka kwa...
  14. V

    GE2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Lissu niseme wazi leo umegusa maisha ya Watanzania walio wengi. - Bima ya afya kwa Watanzania wote. - Hakuna tena kuibia wafanyabiashara maskini kwa kuwatoa elfu ishirini kila mwaka. - Hakuna tena kukatwa asilimia 15 kisa mkopo. Tutakatwa asilimia tatu tu. - Elimu ya maarifa, kubadili...
  15. Analogia Malenga

    GE2020 Wagombea wa Ubunge wa NCCR na ACT-Wazalendo wajiunga CCM

    Wagombea wawili wa Ubunge katika Jimbo la Serengeti mkoani Mara wameacha kuendelea na kinyang’anyiro cha kupambania kupata ubunge wa Jimbo hilo na kuhamia CCM. Mmoja wa wagombea hao ni Daniel Daudi ambaye alikuwa anagombea kupitia, NCCR-Mageuzi na Amosi Roswe aliyekuwa anagombea kwa tiketi ya...
  16. M

    GE2020 Amani ni tunda la haki, bila wagombea hakuna Uchaguzi Mkuu

    Tukielekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020, tayari kumejitokeza viashiria vya kuvuruga na kuhujumu uchaguzi kunakofanywa na vyombo vyenye dhamana ya kusimamia uchaguzi na amani ya Taifa kwa maana ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) na Jeshi la...
  17. chinchilla coat

    GE2020 Dkt. Magufuli: Msifanye makosa kuchagua kiongozi kwa kujaribu, mtapoteza miaka mitano bure!

    Huko Magu, Dkt. Magufuli amesikia alitoa vitisho kwa wananchi baada ya kumkataa mgombea wa Udiwani kuwa akichaguliwa anawatelekeza wananchi. Dkt. Magufuli amewaambia hawatishi, anawaambia ukweli kuwa wasipomchagua watajuta kisha akaendelea kuongea Kisukuma.
  18. B

    Uchaguzi mkuu kanuni wapi au mambo valu valu tu?

    Mabibi na mabwana heshima kwenu. Uchaguzi ndiyo hivyo unajongea kampeni nazo zinaendelea. Kila mtu na kila chama na lake. Wakati wa teuzi palikuwa na fomu yenye kanuni za maadili ya uchaguzi. Nini contents za fomu hii? Ilikuwa vyema kilichomo kikafahamika kwetu wapiga kura pia. Ili tuweze...
  19. Naantombe Mushi

    GE2020 Mgombea Urais CCM kuhutubia kwa kisukuma huko Mwanza. Huu ni ukabila. NEC tunasubiri kuona hatua kali dhidi yake

    Hii ni aibu aisee, yaani inatia kinyaa sana niko namsikiliza anapiga kampeni Magu kila baada ya maneno matatu ni full kisukuma. Haileti picha nzuri kabisa, kwa sababu kampeni inarushwa Tanzania nzima, sasa kusema kwamba kama anamwaga sera, mtu wa kule Tanga anamuelewa vip? Huu ni udhaifu...
  20. T

    GE2020 JPM kwenye mabango, Tundu Lissu kwenye mioyo ya watu

    MAKALA hii nimeanza kuandika jana, nikiwa kwenye jukwaa la CCM, mjini Musoma. Mengi nimeyashuhudia kwa macho yangu, lakini kwa nafasi yangu hususan kwenye timu ya kampeni ya mgombea wetu nitajadili machache: Nimeshuhudia baadhi ya watu muhimu kwenye timu yetu wakifuatilia hotuba za Lissu kwa...
Back
Top Bottom